NAPE NNAUYE unatuangusha VIJANA

Mnapoendelea kumjadili mnaendelea kumfundisha na kumpa umaarufu wa bure.

Mkuu
Hata ajadiliwe mara ngapi hawezi kuwa maarufu ndio kwanza anazidi kushuka maana anafikiria kama kingunge bana sioni tofauti ya Nape na hivyo vibabu vya Magamba
 
ndungu yangu nape


pole sana na majukumu, vijana ambao tuko chini yako tumeanza kukata tamaa maana tulitegemea wewe uwe tegemeo letu sasa umetugeuka umeanza kufata nyayo za mafisadi, umetukatisha tamaa umetukatisha tamaa, umeenza kuwa mtu msaliti, nini kimekubadilisha??

Nape badilika vijana bado wanakuitaji

unategemea nepi inyewayo?
 
Back
Top Bottom