Nape Nnauye sasa atisha vyombo vya habari

.....Nape ana kichwa kidogo, waliomweka hapo alipo walikua na malengo yao, hawezi kudigest mambo, akitumwa anabwabwaja bila kuchuja, hivyo wanamtumia wanavyotaka, hana madhara.
 
.....Nape ana kichwa kidogo, waliomweka hapo alipo walikua na malengo yao, hawezi kudigest mambo, akitumwa anabwabwaja bila kuchuja, hivyo wanamtumia wanavyotaka, hana madhara.

- For a Great Thinker Kumjadili kiongozi mwenye kichwa kidogo na asiyeweza kudigest mambo, inasema nini kuhusu Great Thinker au I am missing something here?

William @NYC,USA: Le Baharia

Jambo naloshindwa kumwelewa huyu bwana ni mipaka ya nafasi yake kama katibu mwenezi wa chama wadau si kwamba anatakiwa awe beneti sana na kina Kapten Komba kuhakikisha nyimbo za kukisifu chama zinatungwa na kuimbwa vizuri pia kuunda vikundi vingine vya burudani nao mwisho wake ni hapo km anabisha akaribie kuchangia mada
 
- Na hiyo ndiyo kazi ya counterpart wake kule Chadema au? ha! ha! ha! yaani una maana tunamshupalia a leader ambaye kwa hili taifa role yake ni hiyo tu uliyoisema? Ndio ninauliza inasema nini kuhusu sisi Great Thinkers tunaomjadili?

William @..NYC,USA: Le Baharia!

Hufai wewe maana ni zao la ufisadi ! Jaribu uangukie pua Kama kikongwe babako Malecela Sam

Hata kana tunachuki kubwa kiasi gani lakini tuwe na heshima walau kidogo kwa wazazi wetu na wawenzetu!!!kuanguka uchaguzi ni sehemu ya siasa!kuna rais wa marekani anaitwa lincorn if iam not misstaken alianguka mara kumi na nne chaguzi mbalimbali kabla ya kushinda nafasi ya urais.siasa usimdharau mtu na tuheshimu watu wazima.
 
Back
Top Bottom