Nape Nnauye na jezi za Maombolezo za CDM

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
830
184
Tumweleweje Nape na nguo zetu za Chama tena zile tunazovaa wakati wa Misiba/Maombolezo na wakati wa majozi na shida.
 
Tumweleweje Nape na nguo zetu za Chama tena zile tunazovaa wakati wa Misiba/Maombolezo na wakati wa majozi na shida.

Hivi Mkuu, kuna rangi imelaaniwa hadi kuwa ya ishara ya msiba? Kama ndivyo, fikra zetu ndo msiba kabla ya rangi tuidhaniayo.
 
Hebu tupe picha kaka tuione,kazi ya magamba ni kuiga Kama kasuku nnaona siku hizi wanajitahidi sn kukamua kiduku
 
Who cares? Nguo zenyewe ndo za hicho chama? hata avae bafuni au shambani the difference is the similarity
 
Back
Top Bottom