Nape Nnauye mgongo haupindi??

Ukilaumu anayekimbiza msifie na anayemkibiza...........wachina ni watu wa tizi bana..............hivyo vibabu viko fiti sana...............
 
Sikuhizi nasikia anafanya mazoezi sana kwani tumbo lake pia limekuwa kubwa so asipojichunga kwenye kumbukumbu zijazo atasimama wima tu
 
If it was you, when would you bend? Before the Chinese, with the Chinese or after the Chinese? Remember you have no clue as to what will happen next, you have to wait and see what they are doing before you do the same!
 
KATIBU WA NEC,ITIKADI NA UENEZI CCM NAPE NNAUYE AKIWA SAMBAMBA NA UJUMBE WA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CHAMA CHA KIKOMONISTI CHA CHINA CPC LIU YUNSHAN AMBAYE PIA NI MKUU WA IDARA YA UENEZI YA CHAMA HICHO KATIKA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWENYE ENEO LA MAKABURI YA WATAALAMU WA KICHINA,ENEO LA MAJOHE,GONGO LA MBOTO,JIJINI DAR ES SALAAM JANA...CCM OYEEEEEE

388520_235185686545421_100001619734978_666682_2037661449_n.jpg
Mnafikiri hajui kama hapa ni Mombasa, huyo mtoto wa mjini ati.
 
KATIBU WA NEC,ITIKADI NA UENEZI CCM NAPE NNAUYE AKIWA SAMBAMBA NA UJUMBE WA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CHAMA CHA KIKOMONISTI CHA CHINA CPC LIU YUNSHAN AMBAYE PIA NI MKUU WA IDARA YA UENEZI YA CHAMA HICHO KATIKA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWENYE ENEO LA MAKABURI YA WATAALAMU WA KICHINA,ENEO LA MAJOHE,GONGO LA MBOTO,JIJINI DAR ES SALAAM JANA...CCM OYEEEEEE

388520_235185686545421_100001619734978_666682_2037661449_n.jpg

Umetumwa na Mukama Umseme Nape Maposhoooo
 
Back
Top Bottom