Nape Nnauye: Jamani kuna watu wanataka kunitoa roho...

...Katibu mwenezi wa CCM Nape Nnauye ameibuka na madai mazito akiwa kwenye mikutano ya chama chake kanda ya ziwa kwa kusema kuwa kuna watu wanataka kumuua kwasababu ya msimamo wake aliouita thabiti wa kupambana na ufisadi ndani ya chama uliopewa jina la kujivua gamba.

Nape aliendelea kusema anawafahamu hao watu na akasema hawezi kurudi nyuma kamwe...aliendelea kusema kuna watu wanamtafuta kwa hali na mali ili kummaliza kabisa na kumtoa katika dunia kwa kutumia pesa zao,na akasema ana hakika Mungu yupo pamoja nae na ataendelea na mapambano maana hata YESU alipoingia Yerusalem kwa mara ya kwanza alikuta watu wakifanya biashara kwenye hekalu na akachukua hatua ya kusafisha hekalu kwa nguvu.......

Muono wangu:

Ni kutafuta umaarufu wa kijinga...
Sasa ww nae hueleweki, umeleta mada ya nini NAPE anasema , then matusi, so what? Tuliza munkari kaka? Usivae ufuasi wa CHAMA badala ya utanzania, tafakari hoja otherwise mwishoe utajikuta hata unataka kula chakula chenye chapa ya CHAMA.
 
Sasa na wewe unaongea nii hapa??
mtoa mada katukana wapi?

kenge wanaoishi pembeni ya mito bwana!! akili NEHII!!!
 
yanayotokea ccm kwa sasa ni sawa na wakati ule mrema mkiti nccr mageuzi.jk kashindwa kukiendesha chama.matokeo yake kila mwana ccm anakimbilia vyombo vya habari kutoa malalamiko!
 
...Katibu mwenezi wa CCM Nape Nnauye ameibuka na madai mazito akiwa kwenye mikutano ya chama chake kanda ya ziwa kwa kusema kuwa kuna watu wanataka kumuua kwasababu ya msimamo wake aliouita thabiti wa kupambana na ufisadi ndani ya chama uliopewa jina la kujivua gamba.

Nape aliendelea kusema anawafahamu hao watu na akasema hawezi kurudi nyuma kamwe...aliendelea kusema kuna watu wanamtafuta kwa hali na mali ili kummaliza kabisa na kumtoa katika dunia kwa kutumia pesa zao,na akasema ana hakika Mungu yupo pamoja nae na ataendelea na mapambano maana hata YESU alipoingia Yerusalem kwa mara ya kwanza alikuta watu wakifanya biashara kwenye hekalu na akachukua hatua ya kusafisha hekalu kwa nguvu.......

Muono wangu:

Ni kutafuta umaarufu wa kijinga...

Hana umaarufu wowote Nnape. Sana sana anajichimbia kaburi lake mwenyewe. Hivi anavyowatukana Watanzania bila kujali ni Wana-CCM au CHADEMA anategemea nini. Ajue kabisa kuwa kwa sasa anapigwa VITA nje na NDANI ya Chama chake cha Magamba. Bila shaka amesikia kile alichokizungumza kijana mwenzake Millya kule Arusha.

Hii vita ya ufisadi anayodai anapigana ndani ya CCM ni uongo mtupu!!!Atueleze ILIKUWAJE KULE IGUNGA wakamtumia ROSTAM AZIZI kwenye kampeni za Ubunge na akawakodishia na zile Helikopta 2 pamoja na kupiga kampeni sambamba na Rais Fisadi mstahafu Bwana Mkapa.

Nape akome kabisa kuwatukana watu wa Mwanza na Watanzania wote kwa ujumla wao. Yeye asubiri kitanzi tu!
 
...Katibu mwenezi wa CCM Nape Nnauye ameibuka na madai mazito akiwa kwenye mikutano ya chama chake kanda ya ziwa kwa kusema kuwa kuna watu wanataka kumuua kwasababu ya msimamo wake aliouita thabiti wa kupambana na ufisadi ndani ya chama uliopewa jina la kujivua gamba.

Nape aliendelea kusema anawafahamu hao watu na akasema hawezi kurudi nyuma kamwe...aliendelea kusema kuna watu wanamtafuta kwa hali na mali ili kummaliza kabisa na kumtoa katika dunia kwa kutumia pesa zao,na akasema ana hakika Mungu yupo pamoja nae na ataendelea na mapambano maana hata YESU alipoingia Yerusalem kwa mara ya kwanza alikuta watu wakifanya biashara kwenye hekalu na akachukua hatua ya kusafisha hekalu kwa nguvu.......

Muono wangu:

Ni kutafuta umaarufu wa kijinga...
Hakuna mtu anayehangaika na Mbwa koko, kumpiga risasi Mbwa anayekula kinyesi ni kuchezea risasi, people save their bullets.
 
...Katibu mwenezi wa CCM Nape Nnauye ameibuka na madai mazito akiwa kwenye mikutano ya chama chake kanda ya ziwa kwa kusema kuwa kuna watu wanataka kumuua kwasababu ya msimamo wake aliouita thabiti wa kupambana na ufisadi ndani ya chama uliopewa jina la kujivua gamba.

Nape aliendelea kusema anawafahamu hao watu na akasema hawezi kurudi nyuma kamwe...aliendelea kusema kuna watu wanamtafuta kwa hali na mali ili kummaliza kabisa na kumtoa katika dunia kwa kutumia pesa zao,na akasema ana hakika Mungu yupo pamoja nae na ataendelea na mapambano maana hata YESU alipoingia Yerusalem kwa mara ya kwanza alikuta watu wakifanya biashara kwenye hekalu na akachukua hatua ya kusafisha hekalu kwa nguvu.......

Muono wangu:

Ni kutafuta umaarufu wa kijinga...

Kama kweli Nape amefikia kukiri hivi.. hii habari ni ya kweli..Hebu tuacheni tofauti ya kisiasa.. Nape ni mtanzania na kijana mwenzetu, anahitaji msaada hasa.. NAMSHAURI na nimemtumia "inbox" alete hoja hiyo kama threads humu jamvini akitafuta ushauri wetu. naamini Humu Jamvini kuna vichwa vilivyotulia.. akija kistaarabu atapata msaada stahimilivu.. Kwanza Tu hata hapo alipo anaweza kuwa tayari inawezekana keshanasa "kitu" na kitu itamtafuna taratibu.. mara kesho tutasikia BP. mmm!
 
Sasa ww nae hueleweki, umeleta mada ya nini NAPE anasema , then matusi, so what? Tuliza munkari kaka? Usivae ufuasi wa CHAMA badala ya utanzania, tafakari hoja otherwise mwishoe utajikuta hata unataka kula chakula chenye chapa ya CHAMA.
Mkuu utakua umeacha prfl yako wazi mtoto wako ndo kaandika haya maneno.
 
Afadhari afe tu hata siasa uchwara na za majitaka zitakufa pia. Amepoteza kabisa mwelekeo wa Chama cha magamba ila kwa upande wa CDM ni advantage akiendelea kuishi kwasababu jamaa anaeneza matusi kila kukicha badala ya sera za chama chake. Na yeye anatishiwa kuuwawa wakati ndio muamrishaji wa Green Gurd kupiga na kuua watu?
 
Sasa ww nae hueleweki, umeleta mada ya nini NAPE anasema , then matusi, so what? Tuliza munkari kaka? Usivae ufuasi wa CHAMA badala ya utanzania, tafakari hoja otherwise mwishoe utajikuta hata unataka kula chakula chenye chapa ya CHAMA.

Dogo una bahati Invisible anakupenda laiti ningekuwa mimi ningekupa Permanent BAN tena kwenye Server usioione JF kamwe.
Hivi ulichoandika hapa juu unakielewa au ndio bangi za kuvuta bila kula??
 
Hajui analolifanya, ngoja wamwoneshe. Anatumiwa kama chambo kupaka mafuta CCM ambayo imejaa matope yaliyonatishwa kwa super glue.
 
Back
Top Bottom