Nape nnauye bado anafanya utoto katika demokrasia hapa nchini mwetu.

Tugutuke

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
501
165
Nimetembelea kwenye page yake pale Facebook nikakuta hiki. "Ona sasa kwa kuwa kuna Sudan kusini na Sudan Kaskazini,basi kuwe na Tanzania na Tanzania Kaskazini?? Kataa ubaguzi,ikatae CHADEMA!" mwisho wa kumnukuu. Je,ana malengo gani haswa huyu Gamba?!
 
onesha na wewe umesema nini kwenye peji yako na fesibuku juu ya kauli na nasari.
 
Sijafurahishwa na kauli ya nassari, sifurahishwi na kauli ya yeyote anayetumia udhaifu wa nasar kwenye hotuba ile kutaka kujinufaisha au kuendeleza utengano wa tanzania
 
nape ni mmoja wa wanasiasa wanaofanya kazi kama wacheza shoo wa muziki yan anafanya kazi ili awafurahishe kina jk na wapambe wengine lakini si kwa ajili ya wana ccm wala watanzania wote nape yupo kwa ajili ya kuwafurahisha watu hata kumi hawafiki si mtoto ila unafk unamtafuna sipendi mtu yeyote ambaye ni anakula au anaishi kwa kuji shoo shoo mbele ya watu wengine ndo apate ugali shame int
 
Nimetembelea kwenye page yake pale Facebook nikakuta hiki. "Ona sasa kwa kuwa kuna Sudan kusini na Sudan Kaskazini,basi kuwe na Tanzania na Tanzania Kaskazini?? Kataa ubaguzi,ikatae CHADEMA!" mwisho wa kumnukuu. Je,ana malengo gani haswa huyu Gamba?!

Kama unaona anafanya utoto why the hell do you bother????? You are part of the problem because you are now causing unnecesary reverberation......after all it is facebook
 
Anajitahid aje kumpiga chini katibu mkuu wa sasa Wilson Mukama na akishindwa kufanya hivyo anaendeleza harakati za kuianzisha CCJ.!!! Pole sana Nape tushahamia CHADEMA haturudi tena.
 
Binafsi nadhan kinachomfanya Nape awe mtumwa na kibaraka wa mafisadi ni ubinafsi tu alionao kwan ukwel wa uozo wa chama chake anaufahamu kilichobak anajipanga tu kimaisha kwan anaelewa pia kuwa 2015 tutakapochukua nchi hakuna mtu atakayemuajir katika nchii ukizingatia tutamfungulia kes lukuk za kushiriki kuihujumu nchi hii.
 
Nimetembelea kwenye page yake pale Facebook nikakuta hiki. "Ona sasa kwa kuwa kuna Sudan kusini na Sudan Kaskazini,basi kuwe na Tanzania na Tanzania Kaskazini?? Kataa ubaguzi,ikatae CHADEMA!" mwisho wa kumnukuu. Je,ana malengo gani haswa huyu Gamba?!

Nape ni mwana CCM na maneno hayo kayaongea mbunge wa CDM sasa hebu fafanua ubaya wa kauli hii ya Nape
Nimejaribu kurudia kusoma zaidi ya mara 10 sioni tatizo la kauli hi ya mawana magamba huyu
Hivi akili yako inakutuma asemeje? aseme vua gamba vaa gwanda..............you must be kiding dude
 
Back
Top Bottom