Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,265
- 105,436
Kiranga,
Nadhani DC ni administrator. Mbunge ni mwakilishi. No redudancy.
Tungefanya DC anachaguliwa na wananchi, na DC ndiye mbunge huyo huyo, tuna merge kazi mbili hizi.
If you ask me kwa nchi masikini kama yetu DC ni uzushi tu. Hiki ni cheo cha kikoloni, kama kuhamasisha wananchi mbunge anaweza kufanya, administration nyingine zinaweza kufanywa na wafanyakazi wa serikali wa wilayani bila ya haja ya kuwa na DC na mbunge at the same time. Our hierarchies are full of redundancies, utaenda mkoani nako utakuta mkuu wa mkoa.
Najua Afisa Afya wa wilaya anafanya nini ambacho hakunamwingine anaweza kufanya wilayani.
Vivyo hivyo kwa Afisa Kilimo wa wilaya etc.
Sioni kimsingi kwa nini tusitoe madaraka zaidi kwa serikali za chini na kufanya mbunge ndiye awe mkuu wa wilaya.