Nape Nnauye atulizwa, ateuliwa DC Masasi

Hakuna hongera, CCM wote mafisadi tu, hakuna msafi ndani ya CCM, wote majambazi, october 31 hatudanganyiki, Slaa juu zaidi.
 
Hivi hii nchi inaendeshwa na walevi, wapumbavu, wendawazimu au punguwani maana sielewi. Kampeni zimepamba moto DC anachaguliwa wa nini kama si kula hela ya serikali. Nyie ngojeni Dr. Slaa ashinde mtaona kilichomfanya kuku akakosa manyoya mnatuchosha na mambo yenu!! Nimechukia kama nilie vile hii nchi kama baloon lilolojazwa maji halafu unaliachia toka mlimani ukiliagizia safarii njema uone kama litafika linakokwenda.. ccm mna dhambi nyinyi walahi hivi kwa nini dunia haishi leo
 
Nape nnauye ateuliwa kuwa d.c wa masasi!!!!
Hili ni changa la macho la Kikwete kwa Nape. Dr. Slaa akitinga ikulu ifikapo Novemba mosi atafumua uteuzi wa wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya wote na wale mamistress wote watawekwa bench!!! Huu ni usanii wa hali ya juu ili awasaidie kukampeni
 
Ninafikiri akikubali hii nafasi, anajidhalilisha. Wewe unaonaje? After all, Ukuu wa Wilaya maana yake nini? Wilaya isipokuwa na Mkuu wa Wilaya inaathirika namna gani? Kuwa Mkuu wa Wilaya "is as good as useless, if one is being honest to him/herself".
wakuu wa wilaya ni watu muhimu sana na wana fanya kazi nzito kuhimiza maendeleo vijijini wananchi wa vijijini wapo tofauti na nyinyi wa mijini...hawalimi hadi waambiwe limeni...hawapeleki watoto shuleni hadi watishiwe polisi....hawazai hospitali hadi watishiwe polisi...hizo ni baadhi ya kazi za mkuu wa wilaya..ujuwe mbunge hathubutu kuhimiza hilo kwani anaogopa kukosa kura...jua huyo mtu ni muhimu haswa vijijini!
 
Nape nnauye ateuliwa kuwa d.c wa masasi!!!!

kuna haja ya kubadiri katiba, hapo jk kayabaka na kuyanajisi matumizi ya ofisi kwani yeye alitakiwa
asifanya jambo lolote la kiserikali, maana kwa sasa nchi haina raisi wala serikali
sasa kafanya hivy kama nani?????
 
NANI SASA ALIYECHONGA, WATU WAMEMPONGEZA KWA SABABU WANAMJUA NI MPIGANAJI WAKWELI NA HUWA ANASIMAMIA UKWELI SIKU ZOTE!

Nami nampongeza, kila laheri, aishi vizuri tu na ndugu zangu wa CUF maana naamini mwaka huu kusini yote yao!!

Wewe kusini unapajua au unasikia kwenye vyombo vya habari tu?hakuna jimbo hata moja litakaloenda kwa CUF KUSINIna si kwa sababu wabunge wa C.C.M wapo fit bali tu hao wa CUF hawana nguvu,hawajulikani na hata kufanya kampeni hawana nguvu...wote wanafanya kampeni kwa kutumia baskeli imagine jimbo lina vijiji 120...na baskeli?hizo sera utauza vipi hata kama zinauzika!vijiji vyote hivyo si ****** yatauma?
 
kuna haja ya kubadiri katiba, hapo jk kayabaka na kuyanajisi matumizi ya ofisi kwani yeye alitakiwa
asifanya jambo lolote la kiserikali, maana kwa sasa nchi haina raisi wala serikali
sasa kafanya hivy kama nani?????

Hakuna wakati ambapo nchi haina raisi. Kipindi kimoja cha raisi kinaisha pale kingine kinapo anza. So JK bado ni raisi mpaka hapo atakapo apishwa kwa mara ya pili na kuendelea au atakapo apishwa mwingine. Soma vizuri katiba mkuu.

By the way serikali siku zote ipo. Usidhani serikali ni viongozi wa kuchaguliwa tu kuna watumishi mbali mbali wa ngazi zote za serikali ambao bado wapo na kuendeleza shughuli za serikali.
 
ongera saana nape-ukafanye kazi kwa mujibu wa sheria,jina lako litazidi kung'ara.mungu akujalie afya njema ktk utendaji wako wa kazi
 
ONGERA SANA NAPE, sasa ni wakati wa kuwaonyesha mafisadi maana ya uongozi ni nini? Sisi wana harakati tupo nyuma yako pliz usi tu let down kwa kumezwa na mafisadi au kuendekeza uchama na umimi na kusahau uzalendo na utaifa. Umeonyesha kuwa wewe ni kiongozi unaeweza kukemea wasio kemewa ndani ya chama, hata na mwenyekiti wa chama, lakini wewe ukawakemea mchana kweupe.Wewe ndiye uliye mnyooshea kidole EL bila hofu wala woga na kumwambia acha kupoka mali ya Vijana, si wazee hata vijana wenzako hawakuamini. Ndio maana unaona unapongezwa na watu wa itikadi zote na wa vyama tofauti USITUANGUSHE, wala kumdhalilisha mzee Nnauye wewe ndie Simba wake huku duniani. Nape ulimkemea EL hadi mama Nnauye akasema hakufahamu wewe si mtoto wa Nnauye lakini ukumdhalilisha mama ukaka kimya ukijua ni nguvu ya mafisadi inamzidi nguvu mama. Uliendelea kumueshimu tu. huo ni mfano wa kiongozi mvumilivu mwenye kusimamia imani yake hata anapotengwa na familia yeye anafia imani yake na ukweli. Usirudi nyuma kijana mwenzetu. Ulipoambiwa ondoka CCM ulisema CCM ni chama cha makabwela chama cha wakulima na wafanyakazi japokuwa kimepoteza dira na muelekeo bado utotoka unaimani kuwa wana CCM wa ukweli mtawashinda nguvu mafisadi na vibaraka wao na kuwapoka chama na kukirudisha kwa wenye chama chao.Sasa ni wakati wa kujipanga na kupanga mashambulizi dhidi ya mafisadi ndani ya chama ili kuwapoka chama na kuikata milija yao ndani ya serikali. Hili CCM ya mwaka 2010 iwe tofauti na hii iwe CCM ya jembe na nyundo kiukweli ukweli. Ongera sana
 
Kwa uteuzi huu JK big up yaani kula tano, sasa kweli JK macho yako yameanza kuona na masikio yameanza kusikia, Ukisikia uteuzi uliofanya ndio uteuzi na si ule wa kuwabeba beba wanasiasa heti ni vijana wengine ni vijana kwa umri lakini kiakili ni vizee tu yaani havina msaada wowote kwako kutwa kukucheza shere.Kama karata JK umelamba Dume , kwa uteuzi huu nisipokupongeza hata nafsi yangu itanisuta
 
No dis intended kwa watu wa Masasi, lakini political correctness aside hii kama enzi za Stalin ni kama mtu umepelekwa Siberia, usisikike sikike sana mjini.

Unless wanataka kumtoa kwenye common circulation wakati wanamuandaa kwa vitu vingine baadaye.
 
Kwa uteuzi huu JK big up yaani kula tano, sasa kweli JK macho yako yameanza kuona na masikio yameanza kusikia, Ukisikia uteuzi uliofanya ndio uteuzi na si ule wa kuwabeba beba wanasiasa heti ni vijana wengine ni vijana kwa umri lakini kiakili ni vizee tu yaani havina msaada wowote kwako kutwa kukucheza shere.Kama karata JK umelamba Dume , kwa uteuzi huu nisipokupongeza hata nafsi yangu itanisuta
Hebu tufafanulie hao vijana kwa umri lakini vikongwe ndio kina nani?
 



- BRAVO MHESHIMIWA NAPE MNAUYE, rais wa sasa alianzia hapo hapoa jirani TUNDURU, Waziri wa sasa wa nje anatokea HAPO HAPO KARIBU SANA, well kazi kwako ndugu yangu MUNGU AKUBARIKIE UFIKE UNAKOTAKIWA YAANI MBALI SANA, maana ulikotoka ni karibu kulinganisha na unakokwenda.

Respect.


FIELD MARSHALL ES - WAZEE WA SAUTI YA UMEME!
 
Back
Top Bottom