Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nape hana mpya...kama anafikiri anaweza kuwaziba mdomo UAMSHO , aendelee na hizo propaganda zake. Harakati za ukombozi wa Zanzibar , zitaendelea kama kawaida .
Walipochoma makanisa walikuwa bado safi eti?!
Sasa wamechoma ofisi ya mume wa bosi wao ndio wanaonekana beyond repair
Umenena kweli, leo wamesahau kuwa chama chao, ndiyo kinaingiza dini kwenye siasa? Si mnakumbuka yule Imam wa Igunga alipokuwa akihamasisha waumini wake, wampigie kura Kafumu wa CCM na wasimpigie wa Chadema, kwa kuwa viongozi wa Chadema wamemvua kilemba, mkuu wa wilaya bi Fatuma, wakati Imam huyo akifanya kampeni hiyo ya hatari, magamba wote nchi nzima walikuwa wakishangilia, badala ya kulaani tendo hilo linaloweza kusambaratisha Taifa!!Ina maana J.K na CCM mmeshatosheka na udini mlioupanda mara tu? Waacheni tu endeleeni kuvuna mlichopanda. Na bado.
Harakati za kihuni kama hizo zitaendelea lakini mtaumia wenyewe. Huo ujambazi wa hao uamsho utawatokea puani.
Amani Karume ndio mwanzilishi aw Uamsho aifute yeye mwenyewe. Tanzania 1 Serikali 1
Kwa hapa namuunga mkono Nape.Taifa Kwanza!
Umenena kweli, leo wamesahau kuwa chama chao, ndiyo kinaingiza dini kwenye siasa? Si mnakumbuka yule Imam wa Igunga alipokuwa akihamasisha waumini wake, wampigie kura Kafumu wa CCM na wasimpigie wa Chadema, kwa kuwa viongozi wa Chadema wamemvua kilemba, mkuu wa wilaya bi Fatuma, wakati Imam huyo akifanya kampeni hiyo ya hatari, magamba wote nchi nzima walikuwa wakishangilia, badala ya kulaani tendo hilo linaloweza kusambaratisha Taifa!!