Nape Nnauye anatafakari kuhamia CHADEMA any time

msambaru

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
245
109
Habari kutoka watu wa karibu na MC shupavu wa ccm aka nape mkuu wa wilaya, anajuta kuwasema vibaya Makamanda wa CDM ili hali anataka kuhamia CDM, Hali hio imekuja wakati akionekana kukosa pozi la kuzima kasi ya M4C kila kona nchini. Ushauri wangu Bora debe la kokoto kuliko huu mzigo wa samadi.
 
Hivi operesheni sangara iliishiaga wapi mana naona sasa hizi mna album mpya m4c sokoni
 
Ivi JF siku hizi kuna nini?
 
Hivi operesheni sangara iliishiaga wapi mana naona sasa hizi mna album mpya m4c sokoni

siasa ni mbinu! na mbinu zinabadilika kulingana na adui unayepambana naye, operation sangara ilikuwa ku introduce chama kwa wananchi, matokeo si umeona idadi ya wabunge walioongezeka bungeni ukiachilia mbali uchakakchuaji pia si unajua bila usalama wa taifa, na tume ya uchaguzi cdm ilikuwa inaingia ikulu? sasaa hii M4C ni kuamsha awareness ya wananchi, kuwaomyesha matatizo ya magamnba na kuwaandaa kwa 2015! si unaona cdm ilishakomba Arumeru mashariki? si unaona watu wanavomiminika kujiunga na jeshi la ukombozi??
 
wabunge 48 kati ya .... kweli si haba lakini
 
Mode, this is not fair kwa jf!, angalau iwekee question mark na alama ya kushangaa ili ionekane wazi ni swali na uzushi!.
Kuiacha ilivyo, inaonekana ni definite kitu ambacho sii kweli!.

Ninavyoamini mimi, waganga njaa wa CCM walioko kwenye ulaji, hawawezi kuhamia CDM kwa sababu huko watakufa njaa!.
 
Hivi ni wewe PASCO au mwingine? Anyway thanx kwa ufafanuzi ..( kwenye Bold )
 
Kinachonifurahisha ni kwamba, wewe ni mshabiki na mpezni wa Albam zetu... Still wait soon as itaingia Bongo na kopi utaipata.. Rejao , Nape pia wanayo unaweza azima ukaisikia....
 
Huna kazi mpaka unaanza kuota asubuhi namna hii, ondoa upuuzi huu!
 
Kwakuwa akihamia CDM kibarua chake kitakuwa kimeota nyasi, asipate shaka, tutampa kazi ya kufua magwanda ya makamanda, mshahara nitamlipa mimi
 
Mode, this is not fair kwa jf!, angalau iwekee question mark na alama ya kushangaa ili ionekane wazi ni swali na uzushi!.
Kuiacha ilivyo, inaonekana ni definite kitu ambacho sii kweli!.

Ninavyoamini mimi, waganga njaa wa CCM walioko kwenye ulaji, hawawezi kuhamia CDM kwa sababu huko watakufa njaa!.

Pasco! Dah
 
mbumbumbu kama huyu hawezi kuja chadema, maana atakosa cha kufanya. Mwacheni Nepi aizike ccm yake kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom