Nape Nnauye anajiita 'Mtoto wa Kuli'

Status
Not open for further replies.

TUMBIRI

JF-Expert Member
May 7, 2011
1,933
1,199
41135_151424024879019_100000342668655_346661_7019432_n.jpg

Ndugu zangu leo nimepita kwenye FaceBook wall ya Nnape Nnauye nimekuta amejipachika jina la Nape Nnauye (Mtoto wa Kuli). Kwa kuwa mimi nilipata kumjua vizuri Baba yake, Mzee Moses Nnauye na kazi alizokuwa anafanya nabaki kujiuliza hivi Nape anajua vizuri maana ya neno 'KULI' au analitumia tu kama vile akiamua kujiita 2Pac!

Tumshauri Nape jamani aachane na hilo Jina!

Source:
Welcome to Facebook - Log In, Sign Up or Learn More
 
kaota ndevu ila bado hajakua, maajabu mtoto wa kigogo anajifananisha na mtoto wa mlalahoi
 
kuli aka mbeba mizigo labda ndo kazi yake ya mwanzo,mbona mwalimu anaendelea kuwa mwalimu tu hata akiwa Raisi
 
Mtoto wa kuli, anataka kumficha nani huyu vuvuzela. Amekosa cha kuropoka anaanza kujisemea mwenyewe. Tumwache tu hadi 2013 atataja majina yake yote na ya baba yake mzazi.
 
41135_151424024879019_100000342668655_346661_7019432_n.jpg

Ndugu zangu leo nimepita kwenye FaceBook wall ya Nnape Nnauye nimekuta amejipachika jina la Nape Nnauye (Mtoto wa Kuli). Kwa kuwa mimi nilipata kumjua vizuri Baba yake, Mzee Moses Nnauye na kazi alizokuwa anafanya nabaki kujiuliza hivi Nape anajua vizuri maana ya neno 'KULI' au analitumia tu kama vile akiamua kujiita 2Pac!

Tumshauri Nape jamani aachane na hilo Jina!

Source:
Welcome to Facebook - Log In, Sign Up or Learn More

Si Nape bali viongozi wote wa ccm. Mtaji wao mkuu ni kulaghai wakeshahoi kwakujifananisha nao ili wawawin.
JK naye alikuwa akijiita mtoto wa mtaani. Ni vitu vya kawaida kumkuta kigogo na tajiri au fisadi akilia lia kuwa ana vijisenti tu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom