Nape, nini kauli yako kama msemaji wa CCM kuhusu wanachama wenu waliosaini petition ya kumng'oa PM?

everybody

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
337
103
Ndugu,

Nimekusoma sana ukitoa comments kuhusu wanachama wanaoikimbia CCM na kuhamia vyama vya upinzani hasa CDM na umediriki hata kuwaita "screpas". Je nini ipi kauli yako kuhusu wale wabunge wa CCM waliosaini petition ya kumng'oa Waziri mkuu? Je hao nao ni "screpas" kwa kwenda kinyume na msimamo wa wabunge wengine wa CCM waliokataa kusign?

Je chama kimewajadili hawa waliosign au mmetambua kwamba ilikua haki yao kusign kama ilivyokua haki ya wanachama wengine wa CCM walioamua kuhama?

Embu tueleze msemaji wa chama tawala please. Unaruhusiwa pia kutoa maoni yako binafsi kama Nape ikiwa hutaki kuongea kama msemaji wa CCM
 
huyu bwana mdogo Nape anajifichia FB siku hizi, kwa mtu yeyote anayeweza hebu tuombe atusaidie kumfikishia hii 'link' ya hoja hii huko huko anakojifichia siku hizi ili atupatie majibu haraka, pambaf!!
 
Ombi langu moja kwa Nape. Wewe ni kijana mdogo kabisa na juzi juzi tu ulikuwa umenyooka kabisa. Lakini nimeona picha zako kwenye Michuzi tayari tumbo kuuubwa kama mabosi wa polisi. Acha uvivu, fanya mazoezi wewe bado mdogo na punguza mavyakula otherwise utaanza kuchechemea kama Captain Komba!
 
tarumbeta haiamui ilie kwa kiwango bali ni nguvu za mpulizaji ndizo huamua, likipulizwa sana litatoa sauti kuuuuubwaa
 
Back
Top Bottom