Nape: Nilisoma kwa shida (Live channel ten)

kimboka one

JF-Expert Member
Jan 23, 2010
734
85
nape live chnl 10,amenishangaza eti amesoma kwa shida,wkt baba yk alikuwa kiongozi tena anasema hajawai kushikwa mkono mtu.wadau kwali?
 
Anapigwa maswali magumu sijui kama BP itamwacha,ameanza kujibu maswali kitoto kitoto halafu amegusia biblia wakati chama chake na yeye ni wachafu wa kutupwa
 
Mwambie a-define shida?
kipimo chake cha shida kimekaaje?
Si alisoma nje huyu?

Ujue mimi kula mihogo kwangu ni ufahari, wakati huo huo mwingine kuendesha LandcruiserVX V8 bado anaona ni shida.
 
Kwani alifafanua 'shida' maana yake nini? Labda alikua anapigwa below kila leo, nako ni kusoma kwa shida. Sio rahisi kua slow learner jamani!

fikiria uko udsm, halafu unafundishwa na Kadege, CL, kila ukifanya mtihani anakukamata, hapo hujarudi kwa Mwami na SO zake, bado hujaenda kwa Banner na PS zake, kila semister una kuwa na sapp 3, unadhani utasoma kwa raha? Lazima iwe kwa shida. so Nape labda alikuwa hivyo
 
Nape ni kilaza tokea muda,maybe anasema hivyo kwa vile alipata div 4 form four
 
fikiria uko udsm, halafu unafundishwa na Kadege, CL, kila ukifanya mtihani anakukamata, hapo hujarudi kwa Mwami na SO zake, bado hujaenda kwa Banner na PS zake, kila semister una kuwa na sapp 3, unadhani utasoma kwa raha? Lazima iwe kwa shida. so Nape labda alikuwa hivyo

Kumbe wewe Nguini?naona umeorodhesha masomo ya Nguini....au utakuwa Mwalimu uliyeopt kwenye SO na PS?
 
nape live chnl 10,amenishangaza eti amesoma kwa shida,wkt baba yk alikuwa kiongozi tena anasema hajawai kushikwa mkono mtu.wadau kwali?
Nape alisoma ila hakuelimika ndio maana anashusha credits za babake aliyelipigania hili taifa
 
Kweli huyu mjinga kweli asinge dharau ualimu, yeye kama mwanasayansi mbona pamoja na wenzake wameshindwa kuleta mapinduzi ya kisayansi. Wenzenu wamehama wanaishi kwenye sayari nyingine we bado jembe na nyundo unajiita mwanasayansi. Hajui kuwa mwanasayansi mzuri ni mwalimu anayeondoa pumba kwenye kichwa cha mtu. Watanzania wanaojiita wanasayansi mtafute jina jipya kwani mmesoma The history of science.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
If he tries to calm down and use his head, he would be matured soon. Wamempa mtihani ambao akifaulu ndio utampeleka kutoka kwenye uvulana kwenda kwenye kuwa mwanaume
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Degree kasomea India!Na favour kibao kwa jina la the late Brig Moses Nnauye.
Aache masihara anaijua shida uyo?
 
nape live chnl 10,amenishangaza eti amesoma kwa shida,wkt baba yk alikuwa kiongozi tena anasema hajawai kushikwa mkono mtu.wadau kwali?

umeshangaaaaaaaa nini sasa....!!!!??? kwani nape kusoma kwa SHIDA ni ajabu....!!!???

baba yake kuwa kiongozi inahusiana nini na kusoma kwake yeye (NAPE) kwa shida...?? hujui kuwa hayati mzee moses nnauye alikuwa ni mwadilifu wa kutosha...?? hakupenda kuitumia nafasi aliyokuwanayo kwa manufaa yake binafsi, watoto wake (nape akiwemo) wala watu waliomzunguka. na maanisha kuwa mzee nnauye alikuwa na unyererelism na ndo maana hata makongoro nyerere au madaraka wakikwambi kama alivosema nape utaendelea kushangaa tu kwa kuwa wewe ni mtu wa kushangaa shangaaa....!!

haya endelea kushangaaaa hapo, maaana hata haya maandishi naona bado unayashangalia tu.....!!!

I think kuna tofauti kubwa ya kuweza na kuwezeshwa.....na shida hukomaa pale unapowezeshwa mahali usipopaweza........ugumu utokanao na mtiririko huu hauna mwisho......na huku maishani ndo huwa mgumu zaidi ya ugumu wenyewe anaoutamka

Avumilieeeee
 
Nape alisoma ila hakuelimika ndio maana anashusha credits za babake aliyelipigania hili taifa
Baba yake hakupigania hili taifa,bali alikuwa mwambaji( kwaya ) kama alinyo komba. Mwl.alimpenda sana kwani alikuwa mwamasishaji mzuri ndani ya chama.
 
Baba yake hakupigania hili taifa,bali alikuwa mwambaji( kwaya ) kama alinyo komba. Mwl.alimpenda sana kwani alikuwa mwamasishaji mzuri ndani ya chama.

unamaanisha mzee Nnauye alikuwa m-bana pua!!
 
We kweli kilaza! Unaweza kupost upuuzi huu? Watu wangapi wamefanya civil engineering alafu wapo mjini wanakula nyasi?
Kumbe wewe Nguini?naona umeorodhesha masomo ya Nguini....au utakuwa Mwalimu uliyeopt kwenye SO na PS?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom