Nape ni mahiri kuliko wakonwe CCM??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Bado na jiuliza hivi huyu mwanasiasa Nape Nnauye ni mahiri kuliko wakongwe aliowakuta ccm??Hivi nikisa gani leo atakuja nacho chakumlipua Dr (Phd) W.Slaa??Dr Slaa nikashifa zipi anazo zitakazo tingisha siasa za dr Slaa??Nimangapi Dr Slaa kayaeleza kwa serikali na wao kukiri nawengine kuwajibika??Mbona hatukuwahi kusikia Bomu la kumuyumbisha??Je leo Nape atakuja na Bomu gani jipya??Hivi anajilinganisha na Dr PhD??
Mimi bado sitaki kuamini maneno yake kwani najua mbio za sakafuni mwishowake huwa ni ukingoni!!Liliopo mbele ya Nape ni juu ya matamshi yake aliyoyatoa ya kuwapa siku 90 Mafisadi wa CCM wawe wamejiuzu nyazifa zao hapo ndo tutajua kweli anayoyasema anaweza kuasimamia!!.
 
Nikashfa gani kubwa ya dr zaidi ya mke alietelekezwa! Hv yeye anaweza kumzidi makamba kwa propaganda!?
 
Huyu dogo anatumiwa na kikundi cha mafisadi kukemea ufisadi.ndiyo maana hata mikutano yake imekosa mvuto,mimi namshauri nape arudi kwa mafisadi aombe pesa ya kuhonga wananchi ili aweze kujaza mikutano yake kama alivyokuwa akifanya jk wakati wa kampeni kubeba watu kuja kusikiliza usanii wake.pia nape tutapenda kujua alipataje nyumba ya urafiki kama si kwa njia za kifisadi?.kwanza hajui hata sera za chama chake kuwa ni kulinda mafisadi.nape rudisha kadi ya chadema.
 
Back
Top Bottom