Nape ngoja nikusaidie,,,,

Mbinu kubwa ya CCM ilikuwa kuhakikisha wananchi wanabaki masikini. "who feeds you controls you". ndo maana wanamwaga pesa nyakati za uchaguzi/ wananunua kura kwa kutumia pesa toka kwa nchi za Magharibi zinazonufaika na wao kuwepo madarakani
 
anaenda kijijini kuwadanganya wazee na vibibi ambayo hawajui kitu akiwaambia inflation imeshuka sana wanapiga makofi hawajui hata ni nini wanafikiri labda ni mafuta ya taa.

wao wanaangalia zile kanga na kofia na tisheti wanazopewa na Nape mengine hawana time nayo ,..hawa ndio watu anaowapenda Nape, si mmeona hapa tumembana anaanza kusema oo njooni na Majina yenu halisi mara aoo mwanaume unajificha nyuma ya ID sasa hizi nazo hoja?

ccm wanapenda sana kulipa visasi anataka uje na ID yako ili akujue akulishe sumu kama walivyomlisha mwakyembe .
ccm walivyo na roho mbaya wanaweeza kunywa uji wa mgonjwa mahututi
Nape moyo wake uko chadema bado kitambo kidogo,si ndiye mwanzilishi wa CCJ?
 
Mimi napenda kumshauri aache tabia ya kupaka ambi mwilini mwake. Dume zima linajichubia?.
 
Nape uzi ni ule, andaa wembe uwanyoe wapinzania, usikubali kusikiliza ushauri wa CDM siku zote hawana jema kwa chama chetu
 
nape uzi ni ule, andaa wembe uwanyoe wapinzania, usikubali kusikiliza ushauri wa cdm siku zote hawana jema kwa chama chetu

kama lema mnamgwaya chadema ndo mtaiweza....mikutano yenu imejaa matumiz ya pesa.hii yote ni kwa sababu hakuna sapport ya wananchi,,
 
Nape ni mkurugenzi wa propaganda na uenezi wa CCM....propaganda ni porojo kwa kiswahili...porojo ni maneno mengi yasiyo na tija na machache yenye tija...kueneza ni kuwafikishia watu....hii ndio kazi ya Nape.
Hayo ya ubunifu...ni kumchanganya kijana wa watu...mtamfanya akimbilie CCK safari hii!
 
Nakumbuka kitambo kidogo vituperation vya gari viliitwa chama kumaanisha ccm bit now maeneo hayo yote yanahitaji bendera na matador ya chadema! Ccm ni majangili, ili warudishe imani kwa watz watujibu yafuatayo, 1. Richmond ilitoka wapi na nani anahusika na awakibishwa.2.Dowans ni ya nani na ile lesions ifutwe na wahusika wafungwe wote kwa kosa la uhaini,3. Mikataba ya kinyonyaji ya Madini ifutwe na wahusika walioiuza nchi kwa kupewa mawemakubwa ya dhahabu na migodi southafrica washitakiwe4. Chanzo halisi cha mulipuko ya mabomu dar vijulikane na wahisika wahitakiwe kwa ufisadi ma mauaji,5. Isue ya meremeta iwekwe. Wazi ma wahusika washughulikiwe,6. Mawaziri wa swami zote mbili waliotuongezea umaskini kwa wizi wao na uzembe then wakajiuzulu washitakiwe wote7. Mawaziri na viongozi wote sentence itajiri wa kutosha na uliojaa wizina Mashine la watz wafilisiwe,8. Kero za ajira zishugulikiwe9. Kero za maisha kupanda zishughulikiwe,Then wake kutimiza zileahadi zaidi ya 90 walizotoa wakati wa uchaguzi Mr Meli. Kubwa ktk kila ziwa n.k
 
Jamani mnataka nape asisafiri Hela za kuendeleza ujenzi wa ghorofa lake atoe. Wapi? haangalii lutimiza sera Wala ahadi . Mmesahau hii ni ccm maslahi?
 
Nape uzi ni ule, andaa wembe uwanyoe wapinzania, usikubali kusikiliza ushauri wa CDM siku zote hawana jema kwa chama chetu
kama wapinzani hawana jema ccm wana jema gani?watu tunataka nafuu ya maisha na sio ngonjera,mlituambia uagizaji MAFUTA kwa pamoja bei ingepungua mbona imekuwa kinyume?ccm haishauriki na wala haibadiliki
 
Back
Top Bottom