Nape naye ang'atuka ugombea NEC, adai anajikita kusimamia uchaguzi (HAKUNA UTHIBITISHO)

Status
Not open for further replies.

Honey K

JF-Expert Member
Sep 14, 2008
629
72
Nape ameamua kutogombea ujumbe wa NEC kwenye uchaguzi wa ndani ya chama hicho mwaka huu, baada ya kugombea kwa miaka kumi mfululizo na kushinda, sasa ameamua kutogombea ILI APATE MUDA WA KUSIMAMIA UCHAGUZI HUO VIZURI NDANI YA CHAMA...........

"Si rahisi kuwa refa na mchezaji kwa wakati mmoja, ukatenda haki ipasavyo, hivyo nimeona bora kutogombea ili nipate muda wa kutosha kusimamia mchakato, ili haki itendeke zaidi" alisema Nape.


Source. Habari Leo
 
mbona kinana amesema amewaachia vijana?sasa vijana wanasema wanasimamia uchaguzi!hiki ni kizungumkuti.


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
uchaguzi upi hio ??
kwani uchaguzi utakuwa unafanyika kila mwaka ???
nani aliye mteua hiyo post na hakuna wengine kwanini wastaafu wasisimamie chaguzi ??

awe wazi ana lake jambo, tutasikia mengi t
u
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom