Nape Nauye na Wassira ndani ya TBC1

Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,220
4,056
Mikakati ya Chama cha Magamba
1.Kuimarisha ngazi za chini!
2.Kuongeza uwakilishi
3.Kuchukia hatua dhidi ya Ufisadi!
Endelea....
 
Mikakati ya Chama cha Magamba
1.Kuimarisha ngazi za chini!
2.Kuongeza uwakilishi
3.Kuchukia hatua dhidi ya Ufisadi!
Endelea....

Hapo wanapiga tu kelele we subri

Kujivua gamba kwa kuwapaka wengine matope bila kujiangalia match bado mbichi
 
Nape asipotekeleza kwa vitendo atakuwa amejimaliza kwani tulimpa heshima ya uCDM ndani ya CCM so he should have to prove kuwa yeye ni kisu kwa mafisadi
 
Waziri Wasira yupo TBC1 anazuzungumzia Muswada kuhusu Utaratibu wa Katiba Mpya...
 
nape asipotekeleza kwa vitendo atakuwa amejimaliza kwani tulimpa heshima ya ucdm ndani ya ccm so he should have to prove kuwa yeye ni kisu kwa mafisadi

atawezaje kutekeleza kwa vitendo wakati hana makali, amewekwa hapo ili kubridge gap kati ya vijana na wazee, kuwadanganya vijana wachache kuwa ccm inajali vijana, kuwadanganya wananchi kuwa ccm haikumbatii mafisadi tena. Kwangu mimi hii ni mission impossible kwa gharama kubwa.

Nape naye ni mganga njaa tu kama wengine hana lolote, ndiyo maana alipozwa kwa udc na sasa wanamtumia kama kilaka kwenye nguo kuukuu, kikwete pekee ndiye anajua anafanya nini na kwa masirahi ya nani? Ingawaje wengi tunajua anawadanganya watanzania wakati kwa sasa hawadanganyiki.
 
Anajitahidi kuongelea kuhusu makatazo kwenye muswada katika kifungu cha 19... Crap
 
atawezaje kutekeleza kwa vitendo wakati hana makali, amewekwa hapo ili kubridge gap kati ya vijana na wazee, kuwadanganya vijana wachache kuwa ccm inajali vijana, kuwadanganya wananchi kuwa ccm haikumbatii mafisadi tena. Kwangu mimi hii ni mission impossible kwa gharama kubwa.

Nape naye ni mganga njaa tu kama wengine hana lolote, ndiyo maana alipozwa kwa udc na sasa wanamtumia kama kilaka kwenye nguo kuukuu, kikwete pekee ndiye anajua anafanya nini na kwa masirahi ya nani? Ingawaje wengi tunajua anawadanganya watanzania wakati kwa sasa hawadanganyiki.

Hapo hakuna kitu wanapiga kelele tu, kwanini wasiwashitaki?
 
yuko anaongea jambo tbc,hoja ni kuhusu mchakato wa katiba mpya.anatetea vifungu vilivyokataliwa na wananchi
*MWANDISHI anayemhoji anaonekna kisanii zaidi kwa kumuuliza maswali yaliyoandaliwa rasmi.
*Ameandaliwa kipindi bila upande wa pili(challenger)
kipindi kimeisha na wameondoka studio yeye NAPE.(nepi)
 
Kweli nasikia huyo nyani. Analolote wala chochote. Tunataka kumambia huyo Wasira asome vizuri na kuelewa kwa sisi Watanzania tujamchagua Kikwete amejichagua na Ufisadi wake mwenyewe.

Wasira asituambie utumbo kwa sababu na yeye anatakiwa kuacha ngazi mzee atuache nafasi. Analinda pia TUMBO yake obviously he has talk nonsense to enable him continue dwelling on his position. WOTE NI MAFISADI TUU.
 
Watu wazima wanafanya mzaha kwenye mambo makubwa kama katiba bila ya hata aibu, historia itawahukumu.
 
Hana jipya,ana waambia wananchi wasiwasikilize wanaotoa elimu kuhusu muswada wa katiba cos wapo kwa ajili ya kupotosha,mbaya wa sura,matendo na maneno yake
 
leo ni ajabu TBC IKO HEWANI VIZURI NA WATARUSHA BUNGE LIVE,LAKINI MTANGAZAJI HAELEZI NINI KILITOKEA JANA NA WANANCHI KUKOSA FURSA MUHIMU KUMUONA W/MKUU AKIJIBU MASWALI YA PAPO KWA PAPO. KUPITIA CHOMBO HIKI CHA WALIPA KODI.
*KUNA MPANGO GANI WA SIRI UNAOENDESHWA KÀTI YA TBC NA SERIKALI?
 
yuko anaongea jambo tbc,hoja ni kuhusu mchakato wa katiba mpya.anatetea vifungu vilivyokataliwa na wananchi
*MWANDISHI anayemhoji anaonekna kisanii zaidi kwa kumuuliza maswali yaliyoandaliwa rasmi.
*Ameandaliwa kipindi bila upande wa pili(challenger)
kipindi kimeisha na wameondoka studio yeye NAPE.(nepi)

Wapo kimkakati lakini ni butu.
StarTV wapo Celina Kombani na Jaji F Werema live. Mada ni Muswada wa Marekebisho ya Katiba.
Naona huruma wanavyojikanyaga.
 
Toka majadiliano ya mswada wa katiba uanze kundi la CCM wanatetea huo mswada mbovu, nawashangaa na kujiuliza hivi wanafikiri katiba ni ya chama(CCM) au wanataka mabadiliko yawe mawazo yao ili waendelee kula bata ya nchi hii peke yao wakati sasa hivi watu wengi wameamka na hawataki tena mambo ya kipuuzi kwenye masuala muhimu
 
Back
Top Bottom