Nape nakupongeza

MJIMPYA

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
506
272
Kwa sisi wapiga kura tusio na ushabiki wa vyama au viongozi, tunafurahishwa kuona siasa balanced.
Tulizoea kusoma habari za upande mmoja hasa hapa JF, lakini baada ya JK kumteua kijana Nape ameleta changamoto.
Kwa sasa hata wale waliozoea kutoa tuhuma kila siku, sa hivi wako makini kupanga hoja zao maana wanajua yuko wa kuwajibu. Hivo hivo hata CCM kwa sasa nadhani hawawezi kujisemea tu make wanajua wako wanaofuatilia kuona kosa.
So mkuu Nape nakupongeza na ukiwa na nafasi wape vijana ili mlete siasa zenye mvuto na si za kizee tu.
 
Siasa zipi zilizo balanced ambapo Serikai ya CCM inayaongezea makampuni ya madini misamaha ya kodi ili hali bajeti yetu inawategemea wafadhili kwa kiwago kikuba kiasi hichi? Sasa nini maana ya kuwa Sekreterieti imara ya chama kama inashindwa kutoa uongozi kwa Serikali yake. Kifupi CCM imejijengea utaratibu wa kuwa na Serikali isiyisimamiwa ipasavyo na chama hivyo akina Nape ni matarishi wa vinaka uchumi waliowekwa Serikalini na CCM.
 
(Hapo kwenye red) anawajibu mwenyewe au ni wale vijana walioajiriwa kwa jukumu hili!? ....loh, hata tangazo la kazi hii sikuliona popote, ningeomba pia
Kwa sisi wapiga kura tusio na ushabiki wa vyama au viongozi, tunafurahishwa kuona siasa balanced.
Tulizoea kusoma habari za upande mmoja hasa hapa JF, lakini baada ya JK kumteua kijana Nape ameleta changamoto.
Kwa sasa hata wale waliozoea kutoa tuhuma kila siku, sa hivi wako makini kupanga hoja zao maana wanajua yuko wa kuwajibu. Hivo hivo hata CCM kwa sasa nadhani hawawezi kujisemea tu make wanajua wako wanaofuatilia kuona kosa.
So mkuu Nape nakupongeza na ukiwa na nafasi wape vijana ili mlete siasa zenye mvuto na si za kizee tu.
 
Kwa sisi wapiga kura tusio na ushabiki wa vyama au viongozi, tunafurahishwa kuona siasa balanced.
Tulizoea kusoma habari za upande mmoja hasa hapa JF, lakini baada ya JK kumteua kijana Nape ameleta changamoto.
Kwa sasa hata wale waliozoea kutoa tuhuma kila siku, sa hivi wako makini kupanga hoja zao maana wanajua yuko wa kuwajibu. Hivo hivo hata CCM kwa sasa nadhani hawawezi kujisemea tu make wanajua wako wanaofuatilia kuona kosa.
So mkuu Nape nakupongeza na ukiwa na nafasi wape vijana ili mlete siasa zenye mvuto na si za kizee tu.

"In wartime, truth is so precious that she should always be attended by a bodyguard of lies." – Sir Winston Churchill (1874-1965) Prime Minister of the United Kingdom
 
Nimeona ni vyema nimpe angalizo K/mwenezi wa chama cha CCM ndugu Nape, Ni ukweli kwamba CCM ilipofikia sasa kujivua Gamba haiwezekani ila ninaloliona mbele ya chama hiki ni kifo cha mende.

Nimesoma Gazeti la mwanahalisi tuhuma nyingi wanazorushiana waheshimiwa mbalimbali wanaowania kiti 2015 kupitia chama hicho ni dalili ya kujiangamiza kabisa. Membe against Lowasa, Uswahiba wa Lowasa , Kinana, Membe, Rostam na Sita uliokuwepo awali umegeuka kuwa wadui miongani mwao.

Mara tunasikia Lowasa amedhamiria 2015, Sumaye asemi lolote lakini bado yumo, Sitta, Membe mwenyewe, Mwandosya japo yuko kimyakimya, Uwezi ukaacha kumzungumzia Kigoda maana alikuwa swahiba mkubwa wa Beni, na pengine bado anauchungu wa kudondoshwa na wengine wengi. Kinachoendelea sasa ni kupigana vijembe ndani ya Chama hicho. Nakumbuka Msekwa alipojaribu kumunyooshea kidole EL kuwa harakati zako za 2015 zitakiharibu chama, yeye alijibu kwani kuna dhambi kufanya hivyo au kuna mtu mumemuandaa ? Msekwa akanyamaza

Hayo machache tu, leo hii Nape unazungumzia kujivua gamba kwa kuondoa mafisadi ndani ya chama chako wakati jambo dogo la kukijenga chama ili kitengamae limekushinda ?

Yapo mengi yanayoonyesha chama hicho kuendelea kuwa Imara ni jambo lisilowezekanika, mtafanyeje ili CCM iaminiwe na watanzania ?
 
Si utumie facebook yake unaandika porojo kwa lipi alilofanya unajua nape ni mbaguzi mpayukaji mropokaji
 
Jana nilikuwa namtazama EDWARD LOWASA akichangia hoja bungeni kwa mara ya kwanza toka ajiuzulu, lengo ilikuwa kupima nguvu na uwezo alionao ndani ya ccm baada ya propaganda ya kilivua gamba iliyoanzishwa dhidi yake ukweli ni kwamba Nape anajihangaisha na ukweli wa mambo ni kwamba waliompa hii kazi hawana nia njema na future yake kwani watammaliza mtoto wa watu kisiasa namuonea huruma kwani bado kijana mdogo anapaswa ajiulize kwanini wakubwa wake akiwamo mwenyekiti wake hathubuti kunyanyua mdomo dhidi ya LOWASA? Nape nakushauri swala la kuvua gamba wamekutupia zigo huwawezi hata kidogo wamekudhidi umri na hata ushawishi wewe endelea na kazi zingine za chama ambazo hata hivyo zinaboa kwani wananchi wamekata tamaa na nyie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom