Nape na ufinyu wa akili

kipisi

Member
Nov 5, 2010
39
56
Nape kama kiongozi wa juu wa ccm amekuwa akitoa kauli za ajabu sana, huyu kijana nashindwa kuelewa ni vipi alipewa hiyo post, kwa kiongozi wa juu kabisa wa chama hapaswi kutoa kauli za ovyo kama mlevi wa pombe za kienyezi, kumbe uvccm hawakufanya makosa walipo mtimua, ushauri wangu wa bure kwa nape, jenga hoja za nguvu, waambie watanzania nn ccm imefanya ndani ya miaka 50, kama utashindwa fanya hivyo nitaamini kwamba kweli umetumwa na ccj kuingamiza ccm.
 
Raza kishasema jk amefanya kosa la jinai kumuweka nape ktk safu ya utendaji kwa kuwa hana baraka za wanachama amebebwa kumliwaza
 
Majibu yake ni kama mlevi aliejisahau akalala choon, sasa akiamka majibu huwa hivyo!
 
Unajua binadamu tuna kawaida ya kutokubali kushindwa, lakini hasa binadamu wa kiafrika tunaona aibu mno kuukubali ukweli na hicho ndio kinachotokea kwa ccm na katibu mwenezi wake, hawa watu hawakubali kama ccm imekosa mwelekeo watajitutumua hata kama nyie mnaona wanaongea pumba lakini mwenzenu wapi, sasa munadhani kwa jinsi mambo yalivyo magumu huko serikalini na ccm munadhani Nape ataongea nini la maana.....na lakusikitisha ni katibu mwenezi sasa ni lazima aeneze hata kama ni matapishi ndio kazi yake, keshayaeneza sasa mutamfanya nini? lamsingi iombeeni Nchi yetu tufike 2015 salama tuangalie anayefaa atuongoze.
 
Back
Top Bottom