Nape na Suala la Vitambulisho vya Taifa; Maoni yake FB yajibiwa

Status
Not open for further replies.

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Licha ya kupewa ushauri wa maana hapa jf, nape kaendeleza post zake zisizojitosheleza, baada ya majuzi kupost "chuo kik8 cha dodoma", leo kaandika "mchango wa vitambulisho vya taifa/utaifa katika uchumi", kilichofuatia ajajibu hata post moja iliyohitaji msimamo/ufanunuzi wake.
 
Simuelewi huyu mtu, anaandika vitu ambavyo hata mtoto wa form 2 hawez kuandika
 
Nape ni kilaza. Huwezi kuwa mtu mwenye akili timamu unapiga picha Ofisi ya Mkuu wa Wilaya halafu unabandika FB. Au unajipiga picha unabandika eti maisha ni safari ndefu. I know him very well. Kilaza asiye na mfano. Najua amefika hapo alipo kwa ubini wa baba yake hanga lolote kichwani. Kama huyu anaonekana mpiganaji basi CCM imejifia siku nyingi
 
alinukuliwa akidai, ccm haikuwah kupata mtu makini wa kujibu hoja za cdm, kama huu ndiyo umakini wake, bas ccm imekwisha
 
Kama "umakini" ndio huu, tena kwa kijana mdogo kama yeye, basi si ajabu CCM kimebaki kuwa chama kinachopendwa na wajinga (70%), wachumia tumbo na basi tu wenye kuendeleza majina ya baba zao. Bora nilale zangu mimi. Kila nikilifikiria lichama hili chakavu na haya majitu yanayojiona yana akili kuliko watanzania wote nashikwa na hasira za ghafla
 
Nape ni kilaza. Huwezi kuwa mtu mwenye akili timamu unapiga picha Ofisi ya Mkuu wa Wilaya halafu unabandika FB. Au unajipiga picha unabandika eti maisha ni safari ndefu. I know him very well. Kilaza asiye na mfano. Najua amefika hapo alipo kwa ubini wa baba yake hanga lolote kichwani. Kama huyu anaonekana mpiganaji basi CCM imejifia siku nyingi

tatizo kila anachofanya mtu mnaona kosa...
hata kupiga picha na mkuu wa wilaya na kutundika facebook imekuwa kosa kwako??? umeona facebook page za mbowe na slaa lkn au macho yako yanaona upande mmoja tu ??
 
Takwimu zinaonyesha kati ya walipa kodi 14mill, wanaolipa kodi ni 1.5 mill only...moja ya tatizo ni mfumo wa ukusanyaji kodi na inadaiwa National Ids inaweza kuwa moja ya suluhisho...
 
Tatizo la CCM wanathamini makada waliokulia vijiweni pamoja na kubebana kindugu na uswahiba ndani!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom