NAPE na SITTA wakalia kuti kavu CCM

utoto huu CDM watakuja pata haya wakishindwa tu uchaguzi wa 2015....tafuta wachawi itaanza haraka bora CCm wameweza kuvumiliana kwa miaka 30+
Hahahaaa CCM wamevumuliana kina Rostamu? kweli wamevumilia.....mnavumiliana wakati mnavuana magamba acha uongo mweupe.
 
utoto huu CDM watakuja pata haya wakishindwa tu uchaguzi wa 2015....tafuta wachawi itaanza haraka bora CCm wameweza kuvumiliana kwa miaka 30+

Uvumilivu wa Wananchi ndio Umefanya Magamba Wakatufanya Maskini!! Kumbe Walianza Kutumia Masaburi Kufikiri Muda Mrefu!!!
 
Nape si alisema wanaompinga ni waasi?

sio tu waasi pia vilaza.CCM imekua ikiongozwa na watu mbumbumbu kama hao akina Guninita. Hoja zao hazina mashiko na wao ndio wamefikisha chama hiki hapa kilipo halafu wanasema tatizo ni NAPE.Wamtose Nape na Sitta waone cha moto.

Kwanza hao wenyeviti hata kwenye mikoa yao hawakubaliki na wamepoteza majimbo kibao halafu wanakua vipaza sauti vya mafisadi. Hivi Kikwete anasubiri kuambiwa na wenyeviti vihio kuwa ametukanwa? Naomba chama kichukue maamuzi magumu ya kuwatimua wenyeviti hao.

NAPE komaa ukipambana na mfumo wa kifisadi lazima hayo upambane nayo.
 
Back
Top Bottom