M Mjenda Chilo JF-Expert Member Jul 20, 2011 1,467 513 Aug 1, 2011 #1 Nilimsikia Nape akiwaahidi wandishi kuwaita leo saa tano. Tupeni kilichojiri wadau. Tunataka kujua kama yai limepasuliwa na kijiko au mwiko
Nilimsikia Nape akiwaahidi wandishi kuwaita leo saa tano. Tupeni kilichojiri wadau. Tunataka kujua kama yai limepasuliwa na kijiko au mwiko