Nape na ombi lake kwa vijana...........

Wakuu salaam,

Nilikuwa kwenye kampeni ndo naingia Singida sasa.. Nimekuwa nikisoma maneno mengi sana juu ya Nape humu jf mengi kwakweli ni ya kunitukana na kunikejeli kiasi kwamba nadhani karibu ntaacha kuingia humu maana mwanzoni nilizoea ukiingia humu unakuta watu wanaongea vitu seriuos tena kwa ushahidi mkubwa sio kuokoteleza vijigazeti vya barabarani na kudai ndio ushahidi!!!!

Kinachonipa tabu mara nyingi kujadili hoja flani humu jf kwasasa licha ya matusi tena yasiyo hata na tija, lakini pia baada ya hoja kufafanuliwa pengine kinyume na mods wanavyotaka utaona hiyo thread inaondolewa....

Haya ya Mwanahalisi ni uongo wa ,chana peupe, hata watu wanaosoma hiyo stori na kujua nilikuwa wapi siku inayotajwa ya tarehe tisa ni aibu kubwa... Kama nasi humu tunaweza kuamini,basi tunaipeleka pabaya jf yetu

Nape umeshindwa kujibu hoja za kule FB, huku kwa maGT utawezana nako? Tizama ulivyojibu kama umekatwa kichwa? Toja majibu ya hoja zilizotolewa sio unatuletea majibu ya jumla jumla. Tatizo lako umezoea propaganda matokeo yake kusema ukweli unaona ni dhambi. Shem on you.

Wakuu salaam,
Nilikuwa kwenye kampeni ndo naingia Singida sasa.. Nimekuwa nikisoma maneno mengi sana juu ya Nape humu jf mengi kwakweli ni ya kunitukana na kunikejeli kiasi kwamba nadhani karibu ntaacha kuingia humu maana mwanzoni nilizoea ukiingia humu unakuta watu wanaongea vitu seriuos tena kwa ushahidi mkubwa sio kuokoteleza vijigazeti vya barabarani na kudai ndio ushahidi!!!!
Kinachonipa tabu mara nyingi kujadili hoja flani humu jf kwasasa licha ya matusi tena yasiyo hata na tija, lakini pia baada ya hoja kufafanuliwa pengine kinyume na mods wanavyotaka utaona hiyo thread inaondolewa....
Haya ya Mwanahalisi ni uongo wa ,chana peupe, hata watu wanaosoma hiyo stori na kujua nilikuwa wapi siku inayotajwa ya tarehe tisa ni aibu kubwa... Kama nasi humu tunaweza kuamini,basi tunaipeleka pabaya jf yetu
ndugu yangu nape unaendelea kufanya makosa yaleyale yanayoigharimu ccm kila mwaka,huwezi kuliita mwanahalisi ni gazeti la barabarani.kumbuka hili ni gazeti linalouza kuliko magazeti yote ya wiki,nigazeti linaloaminiwa na watanzania kwa sababu 1.limeripoti maovu mengi yakapingwa ila mwisho ilikuja kugunduliwa ni kweli.
2.walioripotiwa maovu yao na gazeti hili wakashtaki kulifungulia mashtaka waliishia gizani.
3.maadui wa mmiliki wake waliishiwa hoja wakaishia kummwagia tindikali.
4.waandishi wake wanaweka ushahidi wote katika kila habari.
5.lisingekaa miaka yote kama lingekuwa linazusha habari.
nape kama unataka heshima kidogo uliyobaki nayo iendelee kuwapo futa kauli hii mara moja,na kwa kukusaidia raia mwema,mwananchi na mwanahalisi wakiandika habari yoyote kwa sasa watanzania wanaiamini kwa aslimia 90.

wakuu salaam,
nilikuwa kwenye kampeni ndo naingia singida sasa.. Nimekuwa nikisoma maneno mengi sana juu ya nape humu jf mengi kwakweli ni ya kunitukana na kunikejeli kiasi kwamba nadhani karibu ntaacha kuingia humu maana mwanzoni nilizoea ukiingia humu unakuta watu wanaongea vitu seriuos tena kwa ushahidi mkubwa sio kuokoteleza vijigazeti vya barabarani na kudai ndio ushahidi!!!!
Kinachonipa tabu mara nyingi kujadili hoja flani humu jf kwasasa licha ya matusi tena yasiyo hata na tija, lakini pia baada ya hoja kufafanuliwa pengine kinyume na mods wanavyotaka utaona hiyo thread inaondolewa....
Haya ya mwanahalisi ni uongo wa ,chana peupe, hata watu wanaosoma hiyo stori na kujua nilikuwa wapi siku inayotajwa ya tarehe tisa ni aibu kubwa... Kama nasi humu tunaweza kuamini,basi tunaipeleka pabaya jf yetu

nape acha kuwa kama samaki aliyevuliwa, . . . .jibu hoja za gazeti husika na si kuja na majibu ya jumla na hoja nyepesi hapa!!!! Kukimbia kwako katika jamvi hili sitoshangaa kwani imekuwa ni kawaida yako, . .wewe ni nani ambaye hautaki kukosolewa??? Na ni kiongozi gani usiyependa changamoto????????? Kule facebook watu wakikukosoa tu unawapiga burn,...huu ni udhaifu mkubwa ambao sikutegemea kwani ni aibu kubwa, . . .sasa sera za chama chako utazieneza kwa nani kama watu hawa hawa ambao unatakiwa kuwa karibu nao unawakimbia, . ...

Nape ata mimi sina haja ya kukupa pole kwa manunguniko yako uliyo-post hapa,na sioni haja ya kuwalaum wale wanao shindwa kujizua hadi kufikia hatua ya kutoa maneno yasiyofaa juu yako kwan binadam tunatofautina jinsi ya kuweza kuvumilia mambo,na ukiona watu wanaanza kukutusi basi jua kuwa hiyo ndo dalili mbaya na ya-mwisho ya uvumilivu .Majibu uliyowasilisha hapa sion tofauti yake na majibu aliotoa Wassira uko Igunga.Kama ni huruma ulikuja kutafuta hapa JF haipo,nenda kajipange upya urudi na majibu ya hizo hoja.Hapa si mahala pa watu kulilia tu ili wahulumiwe wakati nchi mnaizamisha kwenye tope la ufukara kwaajili ya uzembe wenu.

Nape hii ni dalili ya kuchoka, nilichotegemea ni ujibu hoja kwa ufasaha ili tuelewe na kuchanganua na c kuishia kuponda gazeti na kutoa kauli za jumla zinazoongeza ambiguity, jaribu kumuiga hata Kabwe, mara nyingi kukiwa na suala la kumhusu akiibuka anajitahidi kulielezea jambo hilo kwa hoja si kulaumu na kujenga atmosphere ya kutaka uonewe huruma

Ndugu,
Kwanza hongera kwa kujitokeza kujibu angalau maswali yaliyokuwa yamejadiliwa hapa.
Pili, unatambua hii forum is for the GT. Unapokuja na majibu mepesi namna hiyo, unazidi kutuchanganya. Mwandishi wa gazeti amesema amekuhoji, hilo nalo ni uongo wa mchana? Kuna hoja ya kukatazwa kwenda Igunga, hiyo unasemaje? Unaweza kusema kauli tajwa za Mukama ni uongo. Lakini hoja za msingi za wewe kukaidi tamko lililokuzuia kwenda Igunga na mahojiano na mwandishi ulitakiwa kuziweka wazi ili tuutenganishe uongo na ukweli.

Mkubwa unachokisema ni sahihi tatizo la hawa wenzetu huwa hawajibu hoja zinazotelewa instead wanaruka na wanataka kueleza watu kuwa wanaonewa, kitu cha kukumbuka ndugu zangu ccm hali ni ngumu nchini kwenye kila kitu!!jaribuni kutafuta njia za kutatua matatizo jamani sio kulalamika.Sio kila kinachosemwa na upinzani ni uongo tuu wakati mwingine habari zinatoka kwa member wenu wenyewe wasiopenda kuona mambo yanavyokwenda kombo!!

hongera kwa kujitokeza na kujibu porojo za humu jf. go ahead broda, kuwa ndani ya chama cha magamba hakuondoi haki yako ya kuwa mwanamapinduzi halisi...na kukimbia tatizo sio suluhisho la tatizo..unaweza ukabaki ccm na bado ukawa mwanamapinduzi. tatizo la vijana wengi(ambao naamini wengi ni jobless) wanaamini kuwa chadema wakiingia madarakani basi mambo yote yatakuwa swadakta! na mbaya zaidi ni kuwa kuna watu wanapandikiza akili za matope kwa hawa vijana wenzangu......nawapa changamoto vijana wenzangu wa Tanzania, ni wakati wa kuanzisha youth movement ambayo haitahusisha ushabiki wa vyama vya siasa ili kusema kwa sauti ya pa1 ktk issue hot za kijamii kwa mustakabali wa nchi yetu. naombeni mnijibu swali hili, hivi nini kinakugarantee kwamba wakiingia/ukiwachagua akina fulani madarakani basi ufisadi utakwisha, huduma za jamii zitakuwa nzuri n.k? ni just kutokana na maneno yao majukwaani? c'on guyz, politicians ni zaidi ya mashetani......

wakuu salaam,

Nilikuwa kwenye kampeni ndo naingia singida sasa.. Nimekuwa nikisoma maneno mengi sana juu ya nape humu jf mengi kwakweli ni ya kunitukana na kunikejeli kiasi kwamba nadhani karibu ntaacha kuingia humu maana mwanzoni nilizoea ukiingia humu unakuta watu wanaongea vitu seriuos tena kwa ushahidi mkubwa sio kuokoteleza vijigazeti vya barabarani na kudai ndio ushahidi!

Kinachonipa tabu mara nyingi kujadili hoja flani humu jf kwasasa licha ya matusi tena yasiyo hata na tija, lakini pia baada ya hoja kufafanuliwa pengine kinyume na mods wanavyotaka utaona hiyo thread inaondolewa....

Haya ya mwanahalisi ni uongo wa ,chana peupe, hata watu wanaosoma hiyo stori na kujua nilikuwa wapi siku inayotajwa ya tarehe tisa ni aibu kubwa... Kama nasi humu tunaweza kuamini,basi tunaipeleka pabaya jf yetu

Nape huku huwa hawatukani mtu anayejibu hoja tatizo lako wewe huwa unakimbia!

hongera kwa kujitokeza na kujibu porojo za humu jf. go ahead broda, kuwa ndani ya chama cha magamba hakuondoi haki yako ya kuwa mwanamapinduzi halisi...na kukimbia tatizo sio suluhisho la tatizo..unaweza ukabaki ccm na bado ukawa mwanamapinduzi. tatizo la vijana wengi(ambao naamini wengi ni jobless) wanaamini kuwa chadema wakiingia madarakani basi mambo yote yatakuwa swadakta! na mbaya zaidi ni kuwa kuna watu wanapandikiza akili za matope kwa hawa vijana wenzangu......nawapa changamoto vijana wenzangu wa Tanzania, ni wakati wa kuanzisha youth movement ambayo haitahusisha ushabiki wa vyama vya siasa ili kusema kwa sauti ya pa1 ktk issue hot za kijamii kwa mustakabali wa nchi yetu. naombeni mnijibu swali hili, hivi nini kinakugarantee kwamba wakiingia/ukiwachagua akina fulani madarakani basi ufisadi utakwisha, huduma za jamii zitakuwa nzuri n.k? ni just kutokana na maneno yao majukwaani? c'on guyz, politicians ni zaidi ya mashetani......

AKILI ZAKO WEWE KAMA ZA KOBE NA JK ALIVYOAHIDI AJIRA KWA VIJANA ALIMAANISHA NINI!?
MWANGALIZIE KWA OBANA ANAVYOUMIZA KICHWA JINSI YA KUONDOA TATIZO LA AJIRA!
TATIZO LENU MAGAMBA MNAIGA VITU VYA KIJINGA NA KUACHA VYA MAANA aaaaah!

Wakuu salaam,
Nilikuwa kwenye kampeni ndo naingia Singida sasa.. Nimekuwa nikisoma maneno mengi sana juu ya Nape humu jf mengi kwakweli ni ya kunitukana na kunikejeli kiasi kwamba nadhani karibu ntaacha kuingia humu maana mwanzoni nilizoea ukiingia humu unakuta watu wanaongea vitu seriuos tena kwa ushahidi mkubwa sio kuokoteleza vijigazeti vya barabarani na kudai ndio ushahidi!!!!
Kinachonipa tabu mara nyingi kujadili hoja flani humu jf kwasasa licha ya matusi tena yasiyo hata na tija, lakini pia baada ya hoja kufafanuliwa pengine kinyume na mods wanavyotaka utaona hiyo thread inaondolewa....
Haya ya Mwanahalisi ni uongo wa ,chana peupe, hata watu wanaosoma hiyo stori na kujua nilikuwa wapi siku inayotajwa ya tarehe tisa ni aibu kubwa... Kama nasi humu tunaweza kuamini,basi tunaipeleka pabaya jf yetu

Nape young man, be a man enough to face challenge before you.
Ukiwa kama kijana ulikuwa na nafasi kubwa sana kuweza kuwa convince wenzio kukupa support kama usingekuwa unaongea usichokiamini - porojo. Wako wengi humu wanakushauri na kukuomba uwasikilize, na ushauri wao huwa wa busara mno ila wewe una stick to things which you don't believe in.
Jiangalie na ujipime kama umefanikiwa na vita yako ya kuwavua magamba 'mafisadi'. Ulipiga kelele licha ya watu kukuonya kwamba approach yako won't deliver.. Si umeona sasa?
Kuna mwana Jf kakutahadharisha kwamba chama cha magamba kikikuchoka kinakutupa km vile ganda la muwa, Akakupa mfano wa RA, kwamba majuzi mlimwona ni yeye anakinyima chama chenu popularity, ulimwandama hadi akaachia kila wadhifa ndani ya chama chenu akidai kuachana na siasa uchwara, na wewe alikutaja kwamba unapotosha dhana nzima ya kujivua gamba.
Pull yourself together, contemplate where things went wrong and find another approach - completely different from the one you opted to in the first place.

hongera kwa kujitokeza na kujibu porojo za humu jf. go ahead broda, kuwa ndani ya chama cha magamba hakuondoi haki yako ya kuwa mwanamapinduzi halisi...na kukimbia tatizo sio suluhisho la tatizo..unaweza ukabaki ccm na bado ukawa mwanamapinduzi. tatizo la vijana wengi(ambao naamini wengi ni jobless) wanaamini kuwa chadema wakiingia madarakani basi mambo yote yatakuwa swadakta! na mbaya zaidi ni kuwa kuna watu wanapandikiza akili za matope kwa hawa vijana wenzangu......nawapa changamoto vijana wenzangu wa Tanzania, ni wakati wa kuanzisha youth movement ambayo haitahusisha ushabiki wa vyama vya siasa ili kusema kwa sauti ya pa1 ktk issue hot za kijamii kwa mustakabali wa nchi yetu. naombeni mnijibu swali hili, hivi nini kinakugarantee kwamba wakiingia/ukiwachagua akina fulani madarakani basi ufisadi utakwisha, huduma za jamii zitakuwa nzuri n.k? ni just kutokana na maneno yao majukwaani? c'on guyz, politicians ni zaidi ya mashetani......

i dnt thnk kama uliqualify kupata hyo job ulonayo manake thnkin capacity yako ni ndogo cna,hii nch ni ye2 haimaanish una kaz au hauna,as long as u were born here u nid 2 atleast enjoy u a presence,kama siasa ni ushetani wala ucngejibu manake Nape wako nae umeshamkashifu,b smat young comentor,mimi nasapot kifo cha ccm mia kwa mia,nape anatumika na sa ingne anaweka unafik bt ukwel n kwamba kama asingepewa vyeo alivyo navyo sasa,sa hv angekua chadema na angekua ana2supot kwa hoja safi ila njaa ikamfanya a2salit we dnt care manake nguvu hii n ya Mungu na c ya kupandikizwa wala kuhongwa,nina iman kubwa ya maisha tofaut na mazur zaid ya haya endapo chadema au chama kngne kikishika hatamu c cafu tena anyway.manake tz itakua na siasa za kuleta maendeleo na si hz za kutafuta mbnu za kuwadidimisha wapinzan

Wakuu salaam,

Nilikuwa kwenye kampeni ndo naingia Singida sasa.. Nimekuwa nikisoma maneno mengi sana juu ya Nape humu jf mengi kwakweli ni ya kunitukana na kunikejeli kiasi kwamba nadhani karibu ntaacha kuingia humu maana mwanzoni nilizoea ukiingia humu unakuta watu wanaongea vitu seriuos tena kwa ushahidi mkubwa sio kuokoteleza vijigazeti vya barabarani na kudai ndio ushahidi!

Jibu hoja wewe Nape Nnauye acha kutafuta huruma hapa, je hujazuiwa kushiriki kampeni Igunga?
je yaliyo andikwa ni owongo? tuthibitishie. pia usituchagulie magazeti yakusoma.... Au ndio muendelezo wa siasa uchara?

Kinachonipa tabu mara nyingi kujadili hoja flani humu jf kwasasa licha ya matusi tena yasiyo hata na tija, lakini pia baada ya hoja kufafanuliwa pengine kinyume na mods wanavyotaka utaona hiyo thread inaondolewa....

Haya ya Mwanahalisi ni uongo wa ,chana peupe, hata watu wanaosoma hiyo stori na kujua nilikuwa wapi siku inayotajwa ya tarehe tisa ni aibu kubwa... Kama nasi humu tunaweza kuamini,basi tunaipeleka pabaya jf yetu
jibu hoja wewe na usituchagulie magazeti yakusoma....

Jamvi hili mara kwa mara limekuwa likitoa ushari wa dhati kabisa kwa Nape pamoja na kuwa yeye pia ni mdau humu nimeshindwa kuelewa ni kwamba haelewi au amekuwa sikio la kufa......... Nimechukua baadhi ya maneno au majibu ya Wilson Mukama (Katibu Mkuu wa CCM) dhidi ya Nape ili hoja hii ikae sawa (Source Mwanahalisi)

1. Taarifa zinamnukuu Mukama akimueleza Nape " ............nimeambiwa umekwenda Igunga, wakati Kamati Kuu ya Chama imekuzuia kwenda huko. Unataka nini? Mbona unataka kutuharibia uchaguzi? alifoka Mukama

2. Mukama kwa hasira alihoji, "Nape kwa nini umekwenda Igunga? Alipojaribu kujitetea kwamba alikwenda huko kuhani, Mukama alisema, "Nani amekutuma? Nani amekuruhusu? Kijana tafadhali usituharibie uchaguzi"

3. Mukama akamuuliza Nape, "Nimeambiwa unajiandaa kwenda Igunga, mbona wewe kijana husikii?

Nyongeza ya Hayo; Baada ya ufunguzi wa Kampeni Mukama akiwa mwenye furaha, aliwaambia baadhi ya viongozi na wanachama wa chama hicho, "Tumefanikiwa sana katika mkutano wetu huu, kuna watu wengine bwana hawana Discipline (nidhamu), hawana adabu wanajiona wanaweza kuvuta watu kwenye mkutano. Mwiguru Nchemba anafanya kazi nzuri sana. Ameratibu mkutano huu vizuri Kampeni zimekwenda vema. Ni kijana mwenye busara sana yule"

Kwa kauli hii ya Mukama kuna maswali ya kujiuliza;Mosini watu gani hao wasio na nidhamu na adabu? Pili ni nani anayefanya kazi mbaya? Tatu ni kijana yupi asiye na busara kama za Nchemba?

Mwandishi (Alfred Lucas) anasema, alipowasiliana na Nape ili kuthibitsha haya au kukanusha majibu ya Nape yakawa haya "Alfred, mimi sina la kusema juu ya hilo, Nape akauliza, Jamani mimi kijana mwenzenu nimewakosea nini? Niambieni basi"

Binafsi sina shaka hata kidogo juu ya maneno ya Wilson Mukama kwa Nape hayo yanathibitika si tu kwa Alfred Lucas bali wenye uwezo wa kufahamu tunafahamu haya kuwa ni ya kweli labda mazungumzo ya Nape na Alfred ndiyo ninayoweza kusema kuwa siwezi kuyanenea ila vile vile Alfred hana sababu yeyote ya kudanganya juu ya majibu aliyoyatoa Nape.

Swali langu wanajamvi; is this not embarassement? Hivi ni mpaka Malaika ashuke ndo Nape atapata uelewa au? What else do he want........ Ni kweli kwamba anahitaji vijana wamwambie alichowakosea au? (Mtu kama Mwita si lazma ajibu hili)

Kumbe unazungumzia ile habari ya kutengenezwa kwa sababu za kibinafsi!

Niliisoma hiyo habari na mimi nimeshangaa! Nape kujidai kote JF kuwa yuko Igunga. Kumbe ni kujipendekeza na wala hakutumwa, bora yule baunsa angempiga pale baa, akome majitambo yake.

Wishful thinking.

Wakuu salaam,

Nilikuwa kwenye kampeni ndo naingia Singida sasa.. Nimekuwa nikisoma maneno mengi sana juu ya Nape humu jf mengi kwakweli ni ya kunitukana na kunikejeli kiasi kwamba nadhani karibu ntaacha kuingia humu maana mwanzoni nilizoea ukiingia humu unakuta watu wanaongea vitu seriuos tena kwa ushahidi mkubwa sio kuokoteleza vijigazeti vya barabarani na kudai ndio ushahidi!

Kinachonipa tabu mara nyingi kujadili hoja flani humu jf kwasasa licha ya matusi tena yasiyo hata na tija, lakini pia baada ya hoja kufafanuliwa pengine kinyume na mods wanavyotaka utaona hiyo thread inaondolewa....

Haya ya Mwanahalisi ni uongo wa ,chana peupe, hata watu wanaosoma hiyo stori na kujua nilikuwa wapi siku inayotajwa ya tarehe tisa ni aibu kubwa... Kama nasi humu tunaweza kuamini,basi tunaipeleka pabaya jf yetu

Ndugu yangu Nape hayo ndo mambo ya humu JF. We have stooped too low such that, what used to be the most reliable source information is now a venue for grapevine and other peety issues and in some cases a forum for vilification and character assassination na kama ulivyosema, hoja ikijibiwa kwa ufasaha tena katika namna ambayo mjadala uliopamba moto unaonekana ni ovyo, hiyo thread huondolewa au clarification husika inanyofolewa. Kwa ujumla mambo mengine yanayoivunjia heshima JF yana baraka za Mods wenyewe and this is because they are no longer impartial or balances as other people would call it. Lakini hiyo isikukatishe tamaa Nape, persistence ndoyo inayotakiwa and over time, watu wataweza kuchambua pumba na mchele!

Unajua Nape, wewe sasa hivi ni tishio siyo tu kwa mafisadi, alkini pia kwa wale ambao walikuwa wanatumia matatizo ya CCM kama political capital ya kuimarisha vyama vyao na kwa vile idara ya uenezi iliyopita ilikuwa na udhaifu wa kukosa ujasiri wa kupambana kwa hoja, kuingia kwako kumewaweka baadhi ya watu katika wakati mgumu maana ile falsafa ya jino kwa jino sasa imetimia. Na kwa hakika ujiandae kusikia mengi kutoka katika majarida na magazeti ambayo pengine yanachochewa na misimamo ya watu wengine wenye maslahi binafsi na pengine chuki binafsi dhidi yako au uongozi wa juu wa nchi na chama.

Wakuu salaam,
Kinachonipa tabu mara nyingi kujadili hoja flani humu jf kwasasa licha ya matusi tena yasiyo hata na tija, lakini pia baada ya hoja kufafanuliwa pengine kinyume na mods wanavyotaka utaona hiyo thread inaondolewa....

Haya ya Mwanahalisi ni uongo wa ,chana peupe, hata watu wanaosoma hiyo stori na kujua nilikuwa wapi siku inayotajwa ya tarehe tisa ni aibu kubwa... Kama nasi humu tunaweza kuamini,basi tunaipeleka pabaya jf yetu

Nilikuwa kwenye kampeni ndo naingia Singida sasa.. Nimekuwa nikisoma maneno mengi sana juu ya Nape humu jf mengi kwakweli ni ya kunitukana na kunikejeli kiasi kwamba nadhani karibu ntaacha kuingia humu maana mwanzoni nilizoea ukiingia humu unakuta watu wanaongea vitu seriuos tena kwa ushahidi mkubwa sio kuokoteleza vijigazeti vya barabarani na kudai ndio ushahidi!

Acha kutupa majibu ya jumla jumla with your escape excuses, kiongozi wa kweli na mwenye busara na yule anayeweza kusoma fikra za anayetofautiana naye na kumpa majibu ambayo yataondoa mashaka yote. Kwa hiyo ni vyema kama ungekaa kimya mpaka hapo ambapo unaona unayo majibu ya kutupa na sio kuanza kutoa kilio kama mtoto mdogo humu ndani. Sasa ninaanza kuwa na wasiwasi na upeo wa uchambuzi wako hoja na ujibuji wa hoja.

Mhe. Nape wewe ni disappointment kwetu sisi vijana wenye kutaka kuona hii nchi inachukua taswira mpya ya mabadiliko (''sio kwamba ni wanachadema maana inaonekana mnaogopa CHADEMA hadi mnashindwa kutekeleza ahadi zenu za kutuletea meli, kujenga barabara za juu kwa juu, uwanja mpya wa ndege na blaaaa, blaaaa''). Ni ukweli usiopingika kuwa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imenufaika chini ya mwavuli wa CCM wakati wa Nyerere. Ni J.K.Nyerere pekee ndio tunaweza kumwita kiongozi wengine wote waliokuja ni watawala, ambao wanachofikiria ni matumbo yao namna ya kugawana keki ya Tanzania. Hivi wewe Nape haya hayakupi uchungu???? Kama hayakupi uchungu hakika una roho ya zaidi ya chuma, huna nini cha kujivunia na serikali yako ya CCM zaidi ya kupeleka kaburini miradi yote ya Tanzania iliyobuniwa na J.K. Nyerere???

Hivi undhani kuwa chadema lazima uwe na kadi? Huo msimamo wa kupuuza kila kitu ndo uchadema wenyewe maana hata huyo Nyerere mnamsifu kwa sababu tu mnajua mkimponda mtaoneka wendawazimu na hamtaungwa mkono! Sioni chochote ulichoongea hapo kinachohitaji response ya Nape!

Nape, kwani kauli zako kwa wapinzani wako zinatia moyo. Nani kakuambia unahitajika humu? Madudu yako yanatosha tu kujadiliwa humu na huna ulazima wa kuingia humu, Fb panatosha. Ukitaka uheshimiwe uwe unaongea kwa busara na sio kupakana kauli chafu.

Ni kweli kuwa CCM wamekuchoka kiaina. Na wanakujua kuwa wewe na kundi lako ni wasaliti. Wanachofanya ni kukutumia kama nguo ya ndani na itafika siku watakumwaga. Tofauti yako wewe na uwt ni kuwa wewe unatumika hadharani na hadharani utatupwa. Kwa misingi hiyo usitake tukuonee huruma ilhali huna huruma

Acha kujitia msemaji wa wengine wewe! Hoja hapa ni jinsi JF inavyotumiwa na watu wa aina yako wewe, kwa kushirikiana na magazeti yaliyonunuliwa kumaliza watu. You are better than the gabbage you have just subsribed in this forum.

Back
Top Bottom