Nape na Mwigulu Nchemba wako kijiji cha Nkinga-Igunga leo

Yaani hawa jamaa wanataka kujifanya nao ni Boys2Men kama enzi za JK na EL!!!

Ukichanganya akili ya Nnepi na Mchumba bila shaka utapata.......................!!!!!
Hawa jamaa 2 akili zao zinafanana kama pacha. Wana midomo michafu utafikiri wana chemba za vyoo midomoni mwao. Ni Rais na Mwenyekiti dhaifu wa chama kama Kiwete ndiye anaweza kufanya kazi na mazezeta kama hawa.

Hivi watu wa magamba wanafikiri kama Baba wa Taifa angelikuwa hai angekubali kufanya kazi na wapuuzi kama hawa???Thubutu yake!
 
[FONT=book
antiqua]Duh hiyo kauli ya first class economist
mh.Lameck Mkumbo mbona inatia mashaka yani hayo maneno yanaweza
kutoka kwenye kinywa chake tena mbele ya umati wa watu wanakimsikiliza
anamwaga sera yeye anamwaga ***** huo,watu wanataka kujua juu ya vituo
vya afya na maji safi na salama,vifo vya kina mama wajawazito vikipungua
sio masuala ya uchawi.Hivi zile bajaj za kubeba wagonjwa zilipotelea
wapi kweli nchi yetu inaharibiwa na wanasiasa
uchwara.
[/FONT]

wakuu tunajua serikali yetu haiamini uchawi,lakini kauli ya Mwigulu inasema cdm wanatumia uchawi.huwezi amini kuwa huyu ni mjumbe wa Cc na mbunge.anaema M4c ni kutoka ndoa ya mme na mke kwenda ndoa ya Jinsia moja.Kwani wanafadhiliwa na mashirika 5 kutoka nje na mojawapo ni la mashoga.
 
wakuu tunajua
serikali yetu haiamini uchawi,lakini kauli ya Mwigulu inasema cdm
wanatumia uchawi.huwezi amini kuwa huyu ni mjumbe wa Cc na mbunge.anaema
M4c ni kutoka ndoa ya mme na mke kwenda ndoa ya Jinsia moja.Kwani
wanafadhiliwa na mashirika 5 kutoka nje na mojawapo ni la
mashoga.

Mwigulu amesema hapa duniani raha zipo sehemu 3 1.kwa Yesu 2.kwa Mohamad 3CCM Hakuna raha mahali pengine.
 
Eee!! Hivi Mwiguru kumbe akili hana kiasi hiki!!?? Maneno gani anatamka mbele ya hadhara!! "Hata wanaomsikiliza hamnazo" wanangoja nini kumpopoa mawe!!? Stupidity never end!!
 
Mkuu mbona flow ya updates imepungua kam vile imekatika, kunani! Wamekunyang'anya nokia yako?
 
Mkuu mbona flow ya updates imepungua kam vile imekatika, kunani! Wamekunyang'anya nokia yako?

Niko salama mkutano umemalizika salama.Ila kabla ya kumalizika mkutano nilikuwa narecod, nimefuatwa na mabaunsa wawili wakinionya nisiwaharibie mkutano wao.Maana wamepata taarifa zangu kuwa narecod mkutano wao bila ruhusa yao.
 
Mwigulu Nchemba leo anatarajia kuanza mkutano wake hapa Nkinga hivi sasa Nipo uwanjani kuwaletea kila kitu.endelea kufuatilia.
Tumepata habari Dr. kafumu amepata ajali mbaya jirani na hapo Nkinga, taarifa hizo ni kweli?na vipi hali yake? pia kama Dr. kafumu amepata ajali na ni Mwanachama wa CCM je mkutano huo unaendelea? kama utaendelea itakuwa sio uungwana cha muhimu wangeangalia hali ya Dr. kwanza.
 
Niko salama mkutano umemalizika salama.Ila kabla ya kumalizika mkutano nilikuwa narecod, nimefuatwa na mabaunsa wawili wakinionya nisiwaharibie mkutano wao.Maana wamepata taarifa zangu kuwa narecod mkutano wao bila ruhusa yao.

pole kwa misukosuko, lakini hongera kwa ujasiri na moyo thabiti wa kizalendo wa kuhabarisha wengine na kuwapuuza wasemao uandishi wa habari lazima uwe na cheti toka TSJ halafu uvae na KIZIBAO eti ndio usipigwe bomu. Extract uliyorekodi yawe text utuwekee uhondo.
Respect in a highest order.
 
Tumepata habari Dr. kafumu amepata ajali mbaya jirani na hapo Nkinga, taarifa hizo ni kweli?na vipi hali yake? pia kama Dr. kafumu amepata ajali na ni Mwanachama wa CCM je mkutano huo unaendelea? kama utaendelea itakuwa sio uungwana cha muhimu wangeangalia hali ya Dr. kwanza.

kinachotuumiza ni sisi kutokuwa na muakilishi mjengoni kwa upuuzi wa kafumu na lichama lake, alivyo mpuuzi bado anataka kukata rufaa tuendelee kukosa sauti bungeni. Tunampa pole kwa ajali lakini aelewe hatufurahishwi naye.
 
Kuna thread iliwekwa hapa kuhusu Kafumu kupata ajali naona sisi tuliipenda ila mods wameipenda zaidi!
 
Kuna thread iliwekwa hapa kuhusu Kafumu kupata ajali naona sisi tuliipenda ila mods wameipenda zaidi!

wanaogopa kuambiwa amekutana na madaktari walio na hasira toka nyakati za mgomo na wamemtundikia dripu ya kimpumu.
 
Eee!! Hivi Mwiguru kumbe
akili hana kiasi hiki!!?? Maneno gani anatamka mbele ya hadhara!! "Hata
wanaomsikiliza hamnazo" wanangoja nini kumpopoa mawe!!? Stupidity never
end!!

Mkuu sisi tumeenda ili ninyi mliombali na Nkinga tuwajulishe.
 
Nape anapata wapi ujasiri wa kuzunguka nchi baada ya humiliation ya siku 90?
 
Tumepata habari Dr. kafumu
amepata ajali mbaya jirani na hapo Nkinga, taarifa hizo ni kweli?na
vipi hali yake? pia kama Dr. kafumu amepata ajali na ni Mwanachama wa
CCM je mkutano huo unaendelea? kama utaendelea itakuwa sio uungwana cha
muhimu wangeangalia hali ya Dr. kwanza.

Wakati Dr Kafumu yupo wodini Nchemba anamwaga matusi kwa viongozi wa Cdm na kwa Jaji aliyemvua Kafumu ubunge.Alichosema ajali hiyo ni uchawi wa Chadema.
 
Back
Top Bottom