Nape na Mwigulu Nchemba wako kijiji cha Nkinga-Igunga leo

Kuchasoni Kuchawangu

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
603
340
Mwigulu Nchemba leo anatarajia kuanza mkutano wake hapa Nkinga hivi sasa Nipo uwanjani kuwaletea kila kitu.endelea kufuatilia.
 
Mbona Mwigulu alilalamika sana kwamba wabunge wengine kutoka majimbo mengine walivamia jimbo lake la Iramba na kuendesha kampeni za kisiasa! atuambie sasa yeye huko Igunga ni kwake?
 
Hiki chama kwisha sasa,watu walioongoza vurugu,mauaji na matendo ya kihuni na kusababisha chama chao kipoteze kiti cha ubunge mahakamani,wanatumwa tena Igunga?!
 
Hiviii CCM bado wapo kweli, wale chama cha upinzani baanaaaaaaaa siku izi, kulalamika kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiingi utadhani TLP
 
Hiki chama kwisha sasa,watu walioongoza vurugu,mauaji na matendo ya kihuni na kusababisha chama chao kipoteze kiti cha ubunge mahakamani,wanatumwa tena Igunga?!

"Ni ujinga kudhani kuwa unaweza kutumia nguvu ile ile,watu wale wale na kupambana na tatizo lili lile ambalo kwa kutumia nguvu ile ile na watu wale wale ulishindwa kulitatua"
 
Tuambieni kama kuna ubwabwa tuanze kujongea, tukipiga mpunga tu tunaanza kutawanyika.
 
Aiseeee babaaangu u2pe picha mkuuu umesema mwigulu na pepi watakuwepo igunga???
 
Waache wajipendekeze pendekeze tuu, kivumbi kikianza tuna wa overtake kama wamesimama!
 
Mwigulu
Nchemba leo anatarajia kuanza mkutano wake hapa Nkinga hivi sasa Nipo
uwanjani kuwaletea kila kitu.endelea kufuatilia.

Nyimbo za Komba zinapigwa na vikundi vya akina mama wanaimba watu ni wachache sana.Ninashindwa namna ya kutuma picha mtaalamu wa kutuma picha kwa simu anisaidie.natumia nokia200 Asha.
 
Hakuna taarifa zozozte za kiitelijensia za kuwepo uvunjifu wa amani ili huo Mkutano upigwe marufuku na Jeshi la Magamba?
 
Hakuna taarifa zozozte za
kiitelijensia za kuwepo uvunjifu wa amani ili huo Mkutano upigwe
marufuku na Jeshi la Magamba?

Hali ni swari kabisa watu bado ni wachache sana.wanaJF nisaidie namna yakutuma picha kutumia simu niwaletee hapa jamvini.
 
Hali ni swari kabisa watu bado ni wachache sana.wanaJF nisaidie namna yakutuma picha kutumia simu niwaletee hapa jamvini.

Toka ónline piga picha nyinginyingi, zisave kwenye images yaani kwenye phone memory af ufungue mtandao unapo post utaona sehemu imeandikwa attachments. Bofya hapo kuna sehemu inakuja browse fungua hapo utaona folder la images unachugua moja moja unaupload. Zitakuwa online.
 
Back
Top Bottom