Nape na kauli za"kinyago kisichomtisha mchongaji"

Feb 9, 2012
65
15
Bwana Nape Nnauye anasema eti wanaohamia upinzani hawawapi pressure kwa kauli kwamba hakuna chama cha upinzani kilichoanza bila wanachama kutoka CCM na kinyago wachonge wenyewe halafu kiwatishe?

Hivi ana maanisha nini? Ni wao ndo wanaanzisha upinzani au wamekosa counter act measures? Mh!!
 
Nape huo ni ulevi wa machana kweupe! CCM ina wanachama ml.6. Watanzania tupo takribani ml.40.

Je wanachama wote wa vyama vya upinzani wametoka CCM?

Nina wasiwasi kama nape alikuwa anafanya vizuri darasani hasa katika somo la hesabu!
 
Back
Top Bottom