Nape na Chiligati kusimamia kampeni CCM Igunga

zamwamwa

Member
Jun 16, 2011
46
10
Habari kutoka ndani ya vikao vya CCM zinasema kampeni ya CCM Igunga itaongozwa na Capt. mstaafu wa jeshi la wananchi wa Tanzania John Zephania Chiligati na Mwanasiasa kijana Nape Moses Nnauye.

Natamani kuziona kampeni hizi, eeh mola nijalie uzima nishuhudie jinsi ngamia anavyopita kwenye tundu la Sindano
 
Kama ni kweli wakienda hawa tu bila ya polisi na mizengwe ya kijinga basi watashindwa kwa mbaaaaaaaaaaali wala hata wasijaribu .Hizi joke zenu acheni bwana .Hao watu ni watupu mno hata akiwapo JK bado mtupu .Wizi na matumizi ya polisi ndiyo yanayo wapa ushindi kila siku .Waweke tume ya uchaguzi iwe ya wote uone moto huo .
 
MBONA Chama Cha Demokrasia na Maandamano kimeshashindwa HATA KABLA mpambano KUANZA? SHERIA ZA uchaguzi haziruhusu KUANZA kampeni KABLA ya MUDA na Chandimu washaanza kampeni mapema, they wonna be knocked out technically..... Uchaguzi ushaisha....poor CDM
 
anayekatiwa rufaa kwa kuanza kampeni kabla ya muda ni mgombea, sasa kama unamjua mgombea wa chadema alieanza kampeni basi unaweza
kumweka wazi ingawaje unaonekana kuanza kuogopa kivuli cha mgombea wa CDM kabla hata ya kumuona mhusika mwenyewe.
 
Back
Top Bottom