Nape na Arusha

CHEMPO

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
368
59
Napenda kukupongeza kiongozi wetu kwa kazi nzury uliyofanya wewe na viongozi wenzako hapo jagwani,mmeonyesha ukomavu sana,,sasa kiongozi wangu nape na sisi watu wa arusha tukutegemee lini kwenye viwanja vya nmc.ili tuwakate chadema kidomodomo..tuingie kwenye kambi yao kkama wao walivyofanya dsm majuzi...........
Natumaini utaweka tarehe vizury ili tujiandae kwa mikutano
ni hayo tu
 
Du du du du! Kweli mkuu Nape na ss huku Arusha tunahitaji sana hiyo"Vua gamba vaa uzalendo" kwan vijana wa Arusha tumehamasika sana na chama chetu mama CCM kwani ni chama pekee chenye nia na lengo la kumkomboa mtz na sio kama vyama vya upinzani vinavyopiga kelele.
KAKA NAPE KARIBU ARUSHA KWANI TUNA HAMU YA KUWAFUNIKA CDM.
 
mwana nyinyiemu pekee mwenye kichwa kigumu uliyebaki arusha
 
Ha'ha'ha'ha'ha'ha'ha kwani jangwani wamefanya nini pale zaidi ya CDM???mbona CDM walifanya mambo ya ukweli sana pale!! Kwa Chuga mwambie Nape aje aisome #.
 
arusha mnata hizo tshirt, kofia,kanga na 5000 pamoja na usafiri..nape karibu nmc na siyo sheikh amri abeid...
 
Thubutu Nape hawezi weka mkutano Arusha kwa kufanya kama alivofanya Dar. Watu wana akili zao atawakuta wapi watu wakuwajaza kwenye malori? Nape anazo za kuvukia Barabara
 
Kwani Dar kafanya nini Kipya uwanja haukufika hata nusu ule wa chadema,wamerikoroga wanangojewa kulinywa aibu tupu tupu uzuri wamejitangazia ujinga nchi nzima
 
Napenda kukupongeza kiongozi wetu kwa kazi nzury uliyofanya wewe na viongozi wenzako hapo jagwani,mmeonyesha ukomavu sana,,sasa kiongozi wangu nape na sisi watu wa arusha tukutegemee lini kwenye viwanja vya nmc.ili tuwakate chadema kidomodomo..tuingie kwenye kambi yao kkama wao walivyofanya dsm majuzi...........
Natumaini utaweka tarehe vizury ili tujiandae kwa mikutano
ni hayo tu

Alokudanganya Dar ni kambi ya CCM nani? hapa kuna wachumia tumbo tu. hakuna wanasiasa humu.
 
Napenda kukupongeza kiongozi wetu kwa kazi nzury uliyofanya wewe na viongozi wenzako hapo jagwani,mmeonyesha ukomavu sana,,sasa kiongozi wangu nape na sisi watu wa arusha tukutegemee lini kwenye viwanja vya nmc.ili tuwakate chadema kidomodomo..tuingie kwenye kambi yao kkama wao walivyofanya dsm majuzi...........
Natumaini utaweka tarehe vizury ili tujiandae kwa mikutano
ni hayo tu

Huko tunakuja wala usiwe na shaka.
 
Kwani Dar kafanya nini Kipya uwanja haukufika hata nusu ule wa chadema,wamerikoroga wanangojewa kulinywa aibu tupu tupu uzuri wamejitangazia ujinga nchi nzima

Huoni hata haya wala hujuwi vibaya. Hivi chadema mna kipi haswa cha kujivunia? Kudakia na kuiba hoja za CCM, mpaka Vua Gamba mnaishadidia utafikiri hiyo hoja mlianzisha nyinyi.
 
Ccm arusha ni kama kuku jike majogoo wa chadema lazima wampande aje kama haamini kama hajarudi Lumumba na kuanza kutaga
 
Kwani Dar kafanya nini Kipya uwanja haukufika hata nusu ule wa chadema,wamerikoroga wanangojewa kulinywa aibu tupu tupu uzuri wamejitangazia ujinga nchi nzima

Tatizo ni makengeza mkuu watu funika bovu ww unaona ni Mia tu, njoo ccbrt tukufanyie maarifa ya macho
 
cdm walishaharibu arusha kupitia kilaza wao lema ambaye alishindwa kutumia bahati kuweka arusha iwe vizuri na badala yake kutoa ahadi hewa zikiwemo za machingas complex tatu baada ya kuona hana uwezo ndipo akaja na mkakati wa kuanzisha fujo ili akija kuulizwa baadaye ajitetee kwamba kesi ndizo zimemkwamisha lakini pamoja na yote hayo ameendelea kuwapa vijana viroba na baadhi kuwagawia shilingi mia tano tano kila anapoanzisha shughuli kwa hali hiyo arusha ni laini kupita maelezo kwa ccm,nape jiandae
 
Back
Top Bottom