Nape: Msimamo dhidi ya ufisadi hautabadilishwa

Nyani Ngabu, hivi kweli leo wataka nitaje upya au sijaelewa swali lako? Si nyie ndo mnasema mapacha watatu na wanafahamika?

Hivi si nyie wa chama cha magamba mlisema jf ni CHADEMA,unatafuta nini humu??
 
Field Marshall na wewe ni moja wao?Kama ndio na wewe unatafuta nini hu
 
- Saafi sana, Mkuu wa Dunia kama mwenyewe JF idumu sana!, Mheshimwia karibu sana kila unapopata nafasi turekebishane Uwanja Wa Damu!

Es!

Ndugu Nape Moses Nnauye

Ulivyo anza hapo juu kuwa umeamua kuja mwenyewe! natilia shaka sana hilo,

Pili, hivi ni kwa nini kama ccm mnawajua mafisadi msiwafukuze mara moja kwenye kikao cha NEC kilichopita? sote twajua hizo siku tisini sijui mpaka July ni Gimmick tupu! inakuaje mafisadi waombwe wajiondoe? yaani chama cha mapinduzi kinasujudia mafisadi wajitoe wenyewe! ujasiri na uthubutu wa kufanya maamuzi magumu upo wapi? umepotelea wapi? au ile kauli ya ni nani aliye msafi ndani ya ccm awe wa kwanza kuturushia jiwe! kama wanavyotamba mafisadi na ccm inajigonga kuwachukulia hatua za haraka kwa sababu wanaogopa kuanikana hadharani na ndio sababu ya kutaka fadhila ya mafisadi wajitoe wenyewe!

Nape, mtakuwa serious lini na kufanya maamuzi magumu, huwezi kuwaomba mafisadi fadhila ya wao wenyewe kujitoa then utuhadae sisi wananchi kuwa wewe na chama chako ni wapambanaji, labda wapambanaji wa maneno lakini ubavu hamna hata kidogo, nani mwenye nguvu hapa ya kupambana na mwenzake kimantiki? anaeombwa au anae omba?

Tatu, ningependa kupata ufafanuzi zaidi kuhusu kauli yako kuwa hukuweza kujiunga na CHADEMA kwa kuwa ni chama cha wachagga! sababu kubwa ya wewe kutajiunga na chadema ni wachagga! kulikoni wewe na wachagga kaka?

Nne, kwani sheria za nchi hii zinaruhusu chama cha kikabila au kidini kupata usajili wa kudumu? kama sivyo inakuwaje serikari ya chama cha mapinduzi imeshindwa kuvifutia usajili vyama vyote vya kikabila na kidini badala yake mmejikita kwenye propaganda hizo hatari ambazo misingi yake ni kuwagawa watanzania na kuleta machafuko ya kidini ama kikabila! siwezi kuamini kuwa chama cha mapinduzi kipo desperate kiasi hiki cha kuhatarisha umoja na mshikamano wetu ambao waasisisi wa taifa hili wamepigana usiku na mchana kuulinda umoja wetu.

Ninayo mengi sana bwana Nape, nitafurahi angalau nikipata ufafanuzi wa hayo kwa sasa. Nashukuru.
 
Nimeamua kuja mwenyewe. Nashangaa wakati mwingine maana ni hapa ndo watu walisema Nape kashazibwa mdomo kama vile yale ni maamuzi ya Nape binafsi.
Jana nimewakumbusha tu watuhumiwa na wapambe wao si busara kujifariji kuwa maamuzi yatabadilishwa nje ya vikao, na vikao vyenyewe ni lazima iwe ama NEC au Mkutano Mkuu(Congres) na si vinginevyo.
Kuna hoja hapa eti kwamba Nape anabwabwaja tu, hakuna vitendo, let's be objective,hivyo vitendo ni vipi? Taarifa ya utekelezaji wa maamuzi haya itatolewa kwenye kikao kijacho cha NEC na si siku 90 kama wanavyojaribu kueleza hapa. Tumelieleza sana hili la siku,WAANDISHI TENA BAADHI ndo walitafsiri siku tisini kutoka kwenye ratiba ya vikao vya NEC ambavyo Dodoma tulikubaliana tentively tunaweza kukutana July ndo wakahesabu na kusema siku tisini. Lakini hakuna kikao kinakutana exactly kwa muda ulopangwa,kuna flexibility.
Ushauri subirini NEC ikutane mtuseme tukishindwa kufukuza.

Nape Naomba unijulishe yafuatayo bila kuzunguka
i) Ni wakina nani ni mafisadi ndani ya chama chenu? taja kwa majina, wacha kuwa fisi
ii) Je baada ya kuwafukuza CCM, je mtawavua uwanachama, mko tayari uchaguzi wa wabunge urudiwe kwenye hayo majimbo ya mafisadi?? maana si vema chama kuwa na wabunge ambao ni mafisadi.

Nape kama untaka kufika mbali kwenye siasa wacha bla bla bla, kuwa mkweli hata 25% ya maneno unayongea. Please usiwe kama Tambwe H. Wacha uwoga kijana
 
Nimeamua kuja mwenyewe. Nashangaa wakati mwingine maana ni hapa ndo watu walisema Nape kashazibwa mdomo kama vile yale ni maamuzi ya Nape binafsi.
Jana nimewakumbusha tu watuhumiwa na wapambe wao si busara kujifariji kuwa maamuzi yatabadilishwa nje ya vikao, na vikao vyenyewe ni lazima iwe ama NEC au Mkutano Mkuu(Congres) na si vinginevyo.
Kuna hoja hapa eti kwamba Nape anabwabwaja tu, hakuna vitendo, let's be objective,hivyo vitendo ni vipi? Taarifa ya utekelezaji wa maamuzi haya itatolewa kwenye kikao kijacho cha NEC na si siku 90 kama wanavyojaribu kueleza hapa. Tumelieleza sana hili la siku,WAANDISHI TENA BAADHI ndo walitafsiri siku tisini kutoka kwenye ratiba ya vikao vya NEC ambavyo Dodoma tulikubaliana tentively tunaweza kukutana July ndo wakahesabu na kusema siku tisini. Lakini hakuna kikao kinakutana exactly kwa muda ulopangwa,kuna flexibility.
Ushauri subirini NEC ikutane mtuseme tukishindwa kufukuza.

Nimekukongea thanks kwa sababu ya mstari wa mwisho tu sio vinginevyo

ila punguza kubwatuka
 
Wakuu,

Tuliwahi kuweka doc moja hapa
https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/2670-bot-scandal-tulikotoka-tulipo-tunakoelekea.html

ambayo ilikuwa detailed kwa kina juu ya wahusika wote wa EPA na nahisi wengi hawakuigundua section hii. Sasa nimeonelea niziwasilishe katika mtiririko ambao hata ambao hawajajisajili wanaweza kuona wahusika hao na kujiuliza KWANINI hawajachukuliwa hatua. Au wamerejesha? Tutajuaje?

EPA00.jpg
EPA01.jpg

Wamiliki wa makampuni haya WANAFAHAMIKA! Tunaweza kuwataja hapahapa na hata mahala wanapoishi.

Nape anzia hapo sio kumungunya maneno na kubwatuka
 
CCM nilishaacha kuwaamini siku nyingi sana...sitashangaa hiyo July mafisadi wakipewa siku 120 tena. Yaani watu wazima na akili zenu timamu mnajua kabisa kuwa ufisadi ndo unaokigharimu chama chetu halafu mmeshawafahamu mafisadi wenyewe mnaogopa kuwatimua mara moja hadi muwape siku 90 (au 120) wajipime na kujiondoa wenyewe???? This is a big joke. Ni sawa na kumwona nyoka mkali chumbani kwa watoto halafu unampa siku 7 awe ameondoka vinginevyo utamwua....mmmmh some thing is seriously wrong somewhere.
 
Nape ... are you a patriot or a parrot ....too much blah blahh blahhh

there are wrong calculations you are trying to do ..... the above testimony is completely lunatic and mimicking

first we will not believe the anti ufisadi war until you have the power to confiscate all the money and wealth that have been swindled by the said mafisadi

what you are doing is a lenient undercover job to safeguard the said financial oligarchies of whom you can not dare to talk

i suppose that you could have been a smart boy by denying the propaganda job you have been given and continue with the DC role

Wewe unachuki binafsi na Nape. JF Senior Expert Member unakuwa na lugha za kitarabu tu. Nape unaeleza vizuri kabisa.
 
Hivi si nyie wa chama cha magamba mlisema jf ni CHADEMA,unatafuta nini humu??
Wewe ni Senior Member, unastahili kusamehewa kwa unayopost bila kujua.
Join Date : 17th April 2011
Posts : 140
Thanks 0 Thanked 10 Times in 9 Posts

Rep Power : 2
 
Nimeamua kuja mwenyewe. Nashangaa wakati mwingine maana ni hapa ndo watu walisema Nape kashazibwa mdomo kama vile yale ni maamuzi ya Nape binafsi.
Jana nimewakumbusha tu watuhumiwa na wapambe wao si busara kujifariji kuwa maamuzi yatabadilishwa nje ya vikao, na vikao vyenyewe ni lazima iwe ama NEC au Mkutano Mkuu(Congres) na si vinginevyo.
Kuna hoja hapa eti kwamba Nape anabwabwaja tu, hakuna vitendo, let's be objective,hivyo vitendo ni vipi? Taarifa ya utekelezaji wa maamuzi haya itatolewa kwenye kikao kijacho cha NEC na si siku 90 kama wanavyojaribu kueleza hapa. Tumelieleza sana hili la siku,WAANDISHI TENA BAADHI ndo walitafsiri siku tisini kutoka kwenye ratiba ya vikao vya NEC ambavyo Dodoma tulikubaliana tentively tunaweza kukutana July ndo wakahesabu na kusema siku tisini. Lakini hakuna kikao kinakutana exactly kwa muda ulopangwa,kuna flexibility.
Ushauri subirini NEC ikutane mtuseme tukishindwa kufukuza.

Mie nimefurahi kukuona hapa na natumai haitakuwa mara yako ya mwisho kuja kuchangia chochote kile knachohusu CCM ambacho Watanzania wengi wangependa kukifahamu. Kuhusu kujivua gamba tunasubiri kuona hizo juhudi za ndani ya chama kwa kujisafisha au kwa msemo mliotunga wenyewe "kujivua gamba" sijui mnategemea hii safari ya kujivua gamba itawachukua muda gani mpaka pale mtakapoweza kuwatangazia rasmi Watanzania kwamba CCM sasa ni safi na gamba tumeshalivua.

Watanzania wengi tunategemea safari hii itakuwa fupi na itadhihirisha nia ya kweli ya CCM kujisafisha na kuweza kurudisha heshima iliyokuwepo miaka ya nyuma kwa chama hiki amayo kwa sasa imepotea kutokana na tuhuma nzito mbali mbali zilizofanywa na watendaji wa juu ndani ya CCM.

Nimeamua kuja mwenyewe.
Mkuu Nape,
Mimi nimefurahi kukuona umekuja. Uwanja huu kwa muda mrefu uluhitaji mtu makini wa kuisemea CCM badala ya kukaa pembeni na kulalamika, au kuwaachia watu ambao badala ya kuisaidia CCM walizidi kuidhalilisha.
Najua kazi uliyonayo hapa ya kukisemea, kukitetea, na hata kuongoza ushawishi ili watu wakikubali CCM siyo kazi ndogo. Siyo kazi ndogo kwa sababu chama chenyewe kimezama kwa matope.
Uwe mvumilivu, JENGA HOJA, Epuka majibizano ya jazba, na be honest.
Wewe ni mtanzania mwenzetu, kwa pamoja tunahitajiana ili kuikwamua nchi yetu toka hapa tulipo kwenda mbele.
 
Utasemaaaaaaaaaaaaaa
Hutawafanya kituuuuuuuuuuuuu
Ndo wamekuwekaaaaaaaaaaaaaa
Wewe na ****** wakooooooooooo
Hamna lenu hata kidogoooooooooooooo
 
Kwanza U-DC nlishaacha siku nilipoteuliwa katibu wa NEC. Kwahiyo kupanda majukwaani kwasasa si tatizo.
Kuhusu nilichofanya Masasi, sijisifu lakini nenda leo au tafuta mtu aliyeko Masasi atakuambia, na hakika si rahisi kunisahau pamoja na kukaa miezi nani tu.
Maneno gani yanageuzwa? Hata hiyo siku ya kikao na wahariri, tulielezea kilichotokea,tatizo watu wanachukua maneno ambayo hayajatolewa ufafanuzi, na jana nimesisitiza UAMUZI na MJADALA WA NEC VIME REKODIWA kwa MOVING kamera na ndo maana wanaosema ni maamuzi ya Nape na Chiligati si wajumbe wa NEC. Bado nashauri subirini tushindwe kuwafukuza....

Ni ngumu sana kupima mkuu wa wilaya kafanya nini maana post hii haitofautiani sana na balozi aliye nje ya nchi. Uwajibikaji wa maendeleo katika wilaya yapo zaidi kwa mkurugenzi wa wilaya au manispaa
 
Nape kuwa tofauti na wasiasa wengine.

Sijawai kuskia mwanasiasa anakiri wa kitanzania kosa na kua apologise. Juzi Juzi nimesikia na kusoma kauli zako za ukabila juu ya CDM nadhani hazifai kutolwa na mtu aliye katika postion.

Mjifunze kutoka wa wansiasa wa nje wanapoksea wanakiri na ndiyo mambo kama hayo yatakufnya uwe strong zaidi. na munekane mko honest.

Otherwise tunasubiri hayo magamba yavuke alafu tuone next step. isije ikawa mtu anatolewa kuwa sterling wa movie anakwenda kuwa producer
 
Back
Top Bottom