Nape mnauye, uv-ccm, u-dc na sasa ndani ya sekretarieti ya chama!

bwegebwege

JF-Expert Member
Jul 30, 2010
1,071
185
Hivi huyu Nape Nnauye si ndiye yuleyule waliwachachafya wenzake ndani ya UV-CCM kuhusianana na mkataba wa jengo la Umoja wa Vijana...hadi CCM wakamto akwenye kinyang'anyro cha uongozi kwa kuwa "hafai"??

Huyu si ndiye yule yule JK alimpa U-DC (huku ndani ya Chama alishaitwa muasi na mwenye jazba na mwenye siasa za kulipiza kisasi??

Si ndiye huyu throughout the Campain tulikuwa tunafuatilia "vijembe vyake" hadi kwa wana-CCM wenzie kupitia ukurasa wake wa Facebook?

Hivi ndiye huyu huyu tena leo CCM wanamuona anafaa kupewa uongozi...uenezi wa siasa za chama?

Hebu msitake nicheke mie...najionea vituko tu
 
Back
Top Bottom