Nape mnafiki? Sasa amsifu Rostam hadharani huko Igunga

Ni kichefuchefu na kuwafanya watanzania hawana akili- Leo mnataka angoke asiwachafua kesho mnataka mkoge uchafu
Nape pia alilia sana na kuzimia kutokana na kitendo cha RA kujiuzulu ....ah ha ha ha hatudanganyiki!!!!!!

Inawezekana kabisa, kwenye misiba inasemekana wachawi nao hujifanya kulia sana, wakati huenda wamehusika kumuua marehemu.

You have to give the devil his due. Rostam alikuwa fisadi upande mmoja lakini upande mwingine ni mwanamaendeleo na mchangiaji mkubwa sana. Amesidia miradi mingi sana ndani ya Igunga na hata nje yake. Kwahiyo sidhani kama kuna tatizo tukimpa sifa zake ingawa ni kweli ameshiriki kwenye ufisadi mkubwa sana.
Hizo sifa kwa nini sasa hivi ndiyo apewe na siyo wakati akina na Nape na timu yake walipokuwa wakimlipua kwenye majukwaa nchi nzima? Kwa nini wakati huo hawakueleza hata moja zuri la RA zaidi ya ufisadi wake? Tufikie mahali tukubali kwamba kinachofanyika kwa sasa na ccm ni UNAFIKI MKUBWA.

Hapo sioni Unafiki wowote!

Rostam aliamua kuwa Accoutable (ni watanzania wachache sana wanaoweza kuachia madaraka-Oly Rostam & Lowasa hav done that)

Alifanya mambo mengi sana Igunga na kila mwana Igunga anayakubali- ndio maana tulishuhudia vilio siku ile alipokuwa anatangaza kung'atuka.

Kitendo cha Nape kumsifia kwa aliyoyafanya ni sahihi kabisa.

Ulitaka amponde kwa aliyowafanyia watu wa Igunga ambayo yanaonekana wazi wazi?

Wewe ulianzaisha hii thread ndio mnafiki mkubwa na hujui unalozungumza.

wewe ndo mnafiki unatetea wezi eti ni ujasiri kujiuzulu kwa wizi, mwizi ni mwizi tu awajibishwe asiwajibishwe

Kweli nimeamini ccm ni mafia sana! yaani hapo Igunga wako teyari kutumia njia zozote zile na ikiwezekana hata kulitumia jeshi( jwtz) ili mradi tu
wabebe hillo jimbo. Jamani ccm lol!

hahahahahaha siasa nchi hii (Tanzania)zinastaajabisha sana.na zinakuwa na mvuto kila siku na straring ni NAPE v ROSTAM v LOWASSA v WANANCHI.juzi tuu hapa alikuwa mstari wa mbele kusema kuwa huyu jamaaa ni fisadi ni gamba na adhma yake imepata kutimia sasa kwa yule fisadi au gamba kujiondoa katika nyadhifa zote ndani na nje ya chama.Sasa anaanza kujikomba tena kwa Fisadi au Gamba alilokuwa analipigia kelele liachie ngazi jamani WHAT IZ WRONG WITH THIS NAPE?JAMAA WALIDHANI UCHAGUZI KWASASA HIVI NI RAHISI KUSHINDA BILA HUYO MTU?JAMANI TUEPUKE NA UNAFIKI WA CCM PALE INAAPOANZA KUWA KATIKA HALI YA UCHAGUZI.

ULOSEMA NIYAKWELI MKUU IGUNGA BILA CCM INAWEZEKANA NA NAPE NI MROPOKAJI ZAID YA MAKAMBA NA PIA AJUE TZ YA KALE SIO YA LEO WANANCHI TUMEELIMIKA

Hapo sioni Unafiki wowote!

Rostam aliamua kuwa Accoutable (ni watanzania wachache sana wanaoweza kuachia madaraka-Oly Rostam & Lowasa hav done that)

Alifanya mambo mengi sana Igunga na kila mwana Igunga anayakubali- ndio maana tulishuhudia vilio siku ile alipokuwa anatangaza kung'atuka.

Kitendo cha Nape kumsifia kwa aliyoyafanya ni sahihi kabisa.

Ulitaka amponde kwa aliyowafanyia watu wa Igunga ambayo yanaonekana wazi wazi?

Wewe ulianzaisha hii thread ndio mnafiki mkubwa na hujui unalozungumza.

wewe ni mbumbumbu kwa kuwa hujui unachopinga?

unajua hakuna mtu asiyejua kuwa Nape ni mnafiki mkubwa kwasababu alianza na CCJ, baadaye kushindikana aka fight three twins waondoke chamani wakapita huko na huko wakieneza injili ya kujivua gamba, madhara yake ni RA kuachia ngazi sasa tena nape amnadi RA kuwa ni mzuri,anyway hii ni hatari kuwa na watu kama hawa mika 50 ya uhuru kuwa na watu vigeugeu.

,anyway hii ni hatari kuwa na watu kama hawa mika 50 ya uhuru kuwa na watu vigeugeu.

Vipi kuhusu Mbowe anayetukana kwenye mkutano Arusha kuwa PM ni mnafiki lakini asubuhi asubuhi anakuwa wa kwanza kugonga mlango kujipendekeza kwake? Au Marando anayesimama jukwaani kuwapinga mafisadi lakini anasimama mahakamani kuwatetea?Au Zito anayetuambia Barrick ni wezi na wauaji lakini baadaye anakaa nao na kukubaliana kupeana ufadhili wa mamilioni? SIASA unaijua au unaisikia?

Inaonesha Nape jembe sana... ndio maana wanazi wa CHADEMA wanamfuatilia kila akikohoa. Asingekuwa tishio nobody angemdiscuss hivi.

Kama haya uliyoyaandika ni ya kweli....ubaya wake ndani ya chama ni upi hata mkamwita gamba na kumshinikiza/kutishia kumtimua chamani?ama kweli Jaguar hakukosea kuimba "ccm vigeugeu!"...

KILE kidude CHA THANKS SIJAKIONA NAJUA HUTOJALI HATA HIVYO good

Kwa hiyo Nape alikuwa anawambia kina nani wasimbeze Rostam. Wananchi au viongozi wa ccm. Hivi kwa nini viongozi wa ccm wanakuwa waongo hata mchana. Ina maana Cc ya ccm iliyokaa Dodoma na kuamua kuwafukuza Rostam na wenzake walimanisha nini. Nape anajichanganya mwenyewe, ngoja tuone hizo serakasi za kebehi,uongo na ujanja ujanja zitamfikisha wapi.

Tatizo si CCM wala Nape, ni sisi watanzania tunaokubali kudanganywa na kugeuzwa geuzwa kama muhindi wa kuchoma.

Mimi katika hili nitamuona Rostam ndo bure kabisa!!kukubali kufanywa kama kitoto kidogo na kama anafaa kwa nini NAPE huyo huyo ndo alimfungia kibwebwe!!!

Huuu ni unafiki mkubwa kwa watanzania lakini si kwa ROSTAM maana anajua fika kuwa anatumiwa campaign zikiisha wana mdamp kabisa

wewe ndo mnafiki unatetea wezi eti ni ujasiri kujiuzulu kwa wizi, mwizi ni mwizi tu awajibishwe asiwajibishwe

Ama kweli ccm haina sifa kuwa chama cha maendeleo, unamtuhumu mwizi kisha unamsifia jukwaani, du kwa kweli hiyo danganya toto haswi, hatudanganyiki!

eti Nape ndio jembe la CCM kweli CCM wamekwisha ha ha ha ha mtu kama Nape ndio anashika headlines kwa upande wa CCM

Nimesoma hoja inayodaiwa eti ni unafiki wangu kwa kusema kuwa yapo mazuri yaliyofanywa na Rostam Igunga kwa kipindi chake cha Ubunge... Hii imenishangaza sana... Waswahili wanasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni! Hivi tunataka kuaminisha watu kuwa Rostam hakufanya chochote kwa kipindi chote cha Ubunge wake Igunga?? Kama kafanya hata kama ni kidogo KUSEMA UKWELI NI UNAFIKI? MI NADHANI TUWE OBJECTIVE VINGINEVYO mhhh...

Nape haya mambo ya kusifia majambazi yapo Tanzania tu. Kwa kauli zako za mwanzo kumhusu Rostam, ni unafiki kuanza kumsifia sasa. Na mmezoea kuhadaa watu, baada ya kujua kwamba mmewaudhi wana Igunga sasa mnakuja na propaganda za kumsifia Rostam, huu ni unafiki Nape.

Back
Top Bottom