Nape mjibu Makamba kuwa kwanini unaifanya CCM mali yako?

Issue si lugha bali ni ujumbe kufika so ufafanuzi kwa kiongozi Makini achilia uwezo wa mtoa oja wa kufikiria ni muhimu! By the way ulitaka afikrie zaidi ya hapo?Ebu mjibu hata kwa kiwango cha fikira zake.
 
Kunya anye kuku... akinya bata ooh kaharisha! Makamba enzi zake aliwahi kusema CCM ina wenyewe huku akiwapiga vijembe waliokuwa wakijiita wapambanaji wa ufisadi. Hapa hakuna wa kumfunga paka kengele! Kama ni kukiharibu chama alianza Makamba na fitina zake za kiswahili, anacholalamika sasa ni matokeo ya yale aliyoyaacha. By the way malalamiko ya Makamba aliyatolea kwenye kikao cha Halmashauri kuu ya chama na siyo magazetini, so Nape hapaswi kumjibu magazetini na kama ni ujumbe ulishafika.
 
mbona alijibu au hamuangalia taarifa za habari nini, alikana makamba kumtaja jina alipokua anajibu, sasa sijui mnataka majibu ya aina gani mengine...Ila mkuu Nape CCM bye bye 2015
 
wabongo bana...sasa yeye cheo chake huko ccm maana yake ni msemaji wa chama..akiongea watu wanalalamika kua anafanya ccm yake...aah huyo makamba sijui alisomea chini ya mwembe??
 
Huyu jamaa nawasiwasi na uwanaume wake mbona anakimbia tuu mda woote!
HV huyu ndo msemaji wa MAGAMBA anashindwa kujibu hoja!
Ningekuwa Nape Ningemuiga Mnyika!
 
Please just use the language you know best.
Grammatical errors in your post above makes me sick.
Reading between lines is for Great Thinkers of which I doubt if you are one!
Hebu Kuweni na moyo wa shukrani, kuna sehemu umesema kichwa cha habari hakiendani na maelezo ya ndani, amekujibu, naona unaendelea kurukia mambo yasiyo na msingi, wewe hata ukikielewa kiingereza namna gani bado utabakia mweusi yule yule ambaye waingereza wanakufananisha na sokwe.

Huyu dada amemshauri nepi kitu cha msingi sana, kamshauri the best way ya kurespond kwa shutuma za mzee makamba, kwamba ahakikishe chama chake kinaisimamia serikali kuondoa kero zinazolalamikiwa na wananchi, au ulitaka amshauri nepi kukimbilia kwenye vyombo vya habari na kusema kwamba makamba ni mmoja ya wanaccm waliosababisha idadi ya kura za jakaya zilizotangazwa na na tume ya taifa ya uchaguzi 2010 zipungue? au kwamba makamba aliwakumbatia mafisadi kwa muda mrefu sana na kusababisha Gamba lao kushikamana na chama kiasi kwamba sasa imekuwa ngumu kuwaondoa sababu italazimisha kuondoa na ngozi?
 
Mbona mara zote umekuwa mwepesi kushobokea mambo yasiyo yamsingi wala tija kwa chama chako? mfano unapo komalia suala la Shibuda suala ambalo lina shughulikiwa na chama husika. Hakuna kiongozi hata mmoja wa CDM amepoteza muda wake kumjadili Shibuda sababu wanajua "it's not a big deal" Hivi unadhania mzozo wa Shibuda utawapatia credits magamba? Hebu jaribuni kubuni mbinu mbadala za kukiokoa chama chenu. Yaani wewe dogo hujui mpaka sasa kuwa unakiua chama.

Safari hii mnalo..na imekula kwenu..Tatizo hamjui kuwa chama kinakufa. Watu wanataka maji, barabara, huduma bora za afya n.k. Muda huu siyo wa propaganda wala ahadi kama mlivyozoea. Uchaguzi wa 2015 wenye nafasi ya kutoa ahadi ni vyama vingine na siyo CCM. Ninyi tunataka mtatueleza kwa miaka 50 mmefanya nini ili mpimwe kwa hilo. Propaganda chafu na fitina hazito wasaidia. Bahati mbaya kwenu bado muna amini katika hayo kama silaha ya kisiasa. Kwa taarifa yenu CCM ina chukiwa kuliko mnavyo dhania. Vijijini ambako palikuwa ngome yenu ya kujizolea ushindi wa bwerere baada ya kuwahonga pesa, vyakula, pombe za kienyeji, t-shirt, khanga, kofia na ahadi kemkem zisizo tekelezeka hivi sasa wana mwamko wa ajabu kufanya mageuzi.

Sasa basi 2015 pelekeni mbinu zenu hizo muone kazi. Kimsingi kuna kila dalili za kushindwa. mfano maswahiba wenu katika kufanikisha mbinu chafu kwenye chaguzi wenyeviti wa vijiji na mabalozi kitendo cha kukataa kugombea uongozi ni pigo kubwa na kiashiria nini kitatokea siku zijazo. Nani atafanikisha mikakati yenu? mfano mwingine ni kwamba zaidi ya 70% ya population ya nchi hii ni vijana ambao wengi wamefikisha umri wa kupiga kura na hawa ndiyo wanaongoza kuichukia CCM na wanaihama. Je, mnatarajia nani atawapatia ushindi, wazee?

Ushauri wangu jiandaeni kuwa kambi rasmi ya upinzani, mkichelea nafasi hiyo itachukuliwa na CUF au NCCR. Msipoteze muda wenu kufikiria kudumu kwenye dola. Wenye maono tumekwisha liona hilo.

Ccm kuwa chama cha upinzani itakuwa bado pia ni mafanikio (ndoto) kwani unafikiri atakaebaki kukiongoza ni nani na wote in wachumia tumbo? Ukichunguza wanachama wake wengi wamejiunga kwa lengo la kutumia chama kujinufaisha aidha kwa wizi au kufanikisha biashara zao.

Kwa taarifa yako ccm itakaposhindwa tu ujue huo ndio mwanzo wa ccm kuwa historia. Kama huamini ninayoyasema nenda Kenya kaulize KANU iko wapi. Kwani KANU nayo ilikuwa kama ccm tu kwa kila kitu.
 
Plz read btn the lines and not rush to comment.Don't u know that the guy waste time by concentrating on issues not of his concern? Makamba accused him, so he should answer him and not deal with matters of less concern. Other addition are issues he should rely upon. So I'm skeptical of ur level of understanding..
Usishangae, ni kawaida ya waswahili kusoma heading tu.

wavivu kusoma.
mimi nime :A S-coffee: na :photo: nimeiona pia!
 
Mbona mara zote umekuwa mwepesi kushobokea mambo yasiyo yamsingi wala tija kwa chama chako? mfano unapo komalia suala la Shibuda suala ambalo lina shughulikiwa na chama husika. Hakuna kiongozi hata mmoja wa CDM amepoteza muda wake kumjadili Shibuda sababu wanajua "it's not a big deal" Hivi unadhania mzozo wa Shibuda utawapatia credits magamba? Hebu jaribuni kubuni mbinu mbadala za kukiokoa chama chenu. Yaani wewe dogo hujui mpaka sasa kuwa unakiua chama.Safari hii mnalo..na imekula kwenu..Tatizo hamjui kuwa chama kinakufa. Watu wanataka maji, barabara, huduma bora za afya n.k. Muda huu siyo wa propaganda wala ahadi kama mlivyozoea. Uchaguzi wa 2015 wenye nafasi ya kutoa ahadi ni vyama vingine na siyo CCM. Ninyi tunataka mtatueleza kwa miaka 50 mmefanya nini ili mpimwe kwa hilo. Propaganda chafu na fitina hazito wasaidia. Bahati mbaya kwenu bado muna amini katika hayo kama silaha ya kisiasa. Kwa taarifa yenu CCM ina chukiwa kuliko mnavyo dhania. Vijijini ambako palikuwa ngome yenu ya kujizolea ushindi wa bwerere baada ya kuwahonga pesa, vyakula, pombe za kienyeji, t-shirt, khanga, kofia na ahadi kemkem zisizo tekelezeka hivi sasa wana mwamko wa ajabu kufanya mageuzi.Sasa basi 2015 pelekeni mbinu zenu hizo muone kazi. Kimsingi kuna kila dalili za kushindwa. mfano maswahiba wenu katika kufanikisha mbinu chafu kwenye chaguzi wenyeviti wa vijiji na mabalozi kitendo cha kukataa kugombea uongozi ni pigo kubwa na kiashiria nini kitatokea siku zijazo. Nani atafanikisha mikakati yenu? mfano mwingine ni kwamba zaidi ya 70% ya population ya nchi hii ni vijana ambao wengi wamefikisha umri wa kupiga kura na hawa ndiyo wanaongoza kuichukia CCM na wanaihama. Je, mnatarajia nani atawapatia ushindi, wazee?Ushauri wangu jiandaeni kuwa kambi rasmi ya upinzani, mkichelea nafasi hiyo itachukuliwa na CUF au NCCR. Msipoteze muda wenu kufikiria kudumu kwenye dola. Wenye maono tumekwisha liona hilo.
Sikio la kufa halisikii dawa
 
Alie na miaka 15 leo 2012 atakuwa na miaka 18 ifikapo 2012. Sera za CCM zipo bado kwa wazee. Du hivi kweli CCM wanajua wanapokwenda?

Hapa labda wasirekebishe mapema daftari la wapiga kura. Na ndio njia pekee iliyobaki kwao sio kuiba kura tena.
 
Hebu Kuweni na moyo wa shukrani, kuna sehemu umesema kichwa cha habari hakiendani na maelezo ya ndani, amekujibu, naona unaendelea kurukia mambo yasiyo na msingi, wewe hata ukikielewa kiingereza namna gani bado utabakia mweusi yule yule ambaye waingereza wanakufananisha na sokwe.

Huyu dada amemshauri nepi kitu cha msingi sana, kamshauri the best way ya kurespond kwa shutuma za mzee makamba, kwamba ahakikishe chama chake kinaisimamia serikali kuondoa kero zinazolalamikiwa na wananchi, au ulitaka amshauri nepi kukimbilia kwenye vyombo vya habari na kusema kwamba makamba ni mmoja ya wanaccm waliosababisha idadi ya kura za jakaya zilizotangazwa na na tume ya taifa ya uchaguzi 2010 zipungue? au kwamba makamba aliwakumbatia mafisadi kwa muda mrefu sana na kusababisha Gamba lao kushikamana na chama kiasi kwamba sasa imekuwa ngumu kuwaondoa sababu italazimisha kuondoa na ngozi?

Mkuu naona wewe ndo umerukia mada bila kupata msukumo wa undercurrents.
Mtoa mad kaanza na kichwa cha habari kisicho na uhusiano wa moja kwa moja na habari yenyewe,tena kwa lugha ya kiswahili.
Baadaye akanijibu,kwa kiingereza kisicho sanifu,kuwa ninashindwa ku"read between the lines" na kwa kufupi kukashifu uelewa wangu.
That was personal na nikamjibu personally vile vile.

Mkuu debating is a skill.
Mtu ukienda personal ,utamkuta mwenzio mjuzi zaidi upande wa pili,itakuwa bahati mbaya kwako ukijikuta ufahamu wako ni duni, as in this case.
To be safekuwa factual and logical.
Above all I make no apologies kwa kukijua kiingereza, the worlds lingua franca.
 
Nina MASHAKA na uwezo wako wa kufikiri vizuri...

Sidhani kama pia na wewe uwezo wako wa kifikiri na kuzungumza mambo kama uko sawa kwa sababu hizi
1) Chama chako kina tegemea cheap popularity I mean depending on uneducated people na watu wafuata mkumbo
2) Wewe unaendekeza umasikini hakuna unacho kifany acha kupiga domo matendo yanaonekana kuliko maneno chama chako kilisha kufa mda mrefu ulio pita mpaka leo sijajua una tetea nini kama sio kuendekeza umasikini
3) Rafiki yangu mda umeisha CCM is no longer ............. ......... Nadhani jibu unalo kichwani mwako


TAFAKARI , CHUKUA HATUA
 
Back
Top Bottom