NAPE; Mimi nakataa kabisa wewe si chanzo SAHIHI cha Habari!!

ukiona unaajiriwa kama dereva lakini ukitaka kushika usukani wa gari unakatazwa na kuambiwa ubebe mizigo jua wewe ni utingo tu.
pole yake huyu kijana kama bado anajiita ni mwenezi na alikatazwa kueneza igunga sijui uenezi wake ni wa marekani au ulaya.:lol::spy::juggle:
 
Naomba kurudia tena kwa kujinukuu:

......KUJUA VEMA udhaifu wake na kuufanya kuwa FAIDA kwako. Kila mwanadamu ANA udhaifu wake. Kanuni hii pia inayofanya kazi katika Nyanja mbalimbali za maisha mfano katika Biashara.

Wapinzani wa Nape wameujua vema udhaifu wake. Na nampa heko aliyewasaidia kuubaini. Udhaifu wa Nape ni mkubwa katika wepesi wa matamshi/maandishi mazito anayotoa katika hadhi yake kama Katibu Mwenezi. ......

Bonus thread:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/183637-nape-kamba-hukatika-pembeni.html
 
Kwa wale waliobahatika jana kusikiliza na vile vile kuona Taarifa ya Habari hasa kupitia TBC walimshuhudia Nape alivyokuwa akizungumza na waandishi wa Habari kwa majigambo na kwa nguvu akishurutisha kuaminika kwake na kutambuika kwamba yeye ndiye chanzo Sahihi kinachotakiwa kutoa habari kwa waandishi ili waandishi nao wapeleke kwa wananchi.

Hili binafsi nalipinga na sina haja ya kuliamini hata kidogo, toka Mwaka huu Bwana Nape amekuwa akitoa habari tka ndani ya vikao vya Chama na habari zote alizowahi kuzitoa Nape zimekuwa zikipingwa hadharani ama na wakuu wake ndani Chama hicho hicho ama Makada wenzie jambo linalonipelekea kuamini kuwa habari azitoazo Nape hazina ithibati na ni za kwake binafsi na hili ndilo hasa linalopelekea waandishi wa habari na hata wananchi kupoteza imani kwa Bwana na kuanza kuandika habari kwa hisia.

Lakini la pili lililonikera zaidi ni pale Nape alipozungumza tena kwa kujigamba kuwa viongozi wa CHADEMA wanakwenda kuonana na Mwenyekti ya Chama chao this is nonsense na upuuzi uliokithiri na upunguani vile vile na hili linatokana na kutoshirikisha vyema viungo vya mwili majibu haya ni ya jumla na hayawezi toka kinywani mwa mtu ambaye kinywa hicho hicho anakitumia kwa kusalimia watu na viongozi wake na kwa kuabudia........... Its ridiculous na vitu kama hivi ndivyo visivyohitaji Itikadi wakati mwingine.

Ninachoelewa (emphasis is mine) Viongozi wa CHADEMA wanakwenda kuonana na RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TZ period! Hii maneno ingine ni ubatili usio na tija.... And the president was happy kwa hilo kwa sababu watu wanakwenda pale kuzungumzia Taifa sasa wakati mwingine inakera sana yani kila kitu Chama, Chama, Chama.......
Hapa tatizo elimu na amewekwa hapo ili kuchanganya makundi ndani ya chama kwa matamshi yake ya hovyohovyo ili wenye malengo yao watimize kimyakimya,TIME WILL TELL
 
hivi hii mifano mizuri kama hii hawa dizaini za watu kama nape huwa wanaiona kweli!? Imenifurahisha sana mkuu
ukiona unaajiriwa kama dereva lakini ukitaka kushika usukani wa gari unakatazwa na kuambiwa ubebe mizigo jua wewe ni utingo tu.
pole yake huyu kijana kama bado anajiita ni mwenezi na alikatazwa kueneza igunga sijui uenezi wake ni wa marekani au ulaya.:lol::spy::juggle:
 
mo3.jpg


Labda anataka kujiimarisha katika jitihasa za kuijenga upya CCJ
huyu nae ni mwanasiasa au mwanafursa?
 
huyu nae ni mwanasiasa au mwanafursa?

Unamwona anavyoumiza kichwa kwa yanayojilia kikaoni baada ya kukimbia mjini Dodoma Leo kushusha mapigo ya Moyo, Yanayoendelea Dodoma huko sasa hivi makubwa, tusubiri hatima ya kikao. Hii picha ni kutoka Dodoma leo.

mo1.jpg
 
Back
Top Bottom