Nape mbona arusha hauji?

Mtabe

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
675
96
Waraka huu ni kwa katibu wa itikadi na uenezi wa nyinyiemu namuuliza kuwa mbona arusha hauji? Tunakusubiri sana huku, naomba kuwasilisha!!!!!!!!!!!!!
 
Unautani wa ngumi kwa Bwana Nape wewe.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Hehee, yaliyompata iringa amekoma,. Arusha sio pa mchezo hukusi yushaifukia ccm zaman.
 
Siku huyo jamaa akitia timu Arusha ujue wanafanya mikutano ya ndani! Hawezi kufanya mkutano wa hadhara Arusha. Hilo nakuhakikishia. Nilisema mwanzo na leo narudia. Ccm hawawezi kufanya mkutano wa hadhara Arusha. Hata JK mwenyewe hawezi. Alipigwa picha akifanya mazoezi ndani ya eneo la Ngurdoto hotel, wanachama wake wakadanganywa alikuwa akikatiza jiji la Arusha. Nakwambia siku akifanya mkutano wa hadhara jijini Arusha kama Nape alivyofanya sokoni Iringa, nipigie uniulize maneno haya!
 
Nna hamu sana kumwona uso kwa uso huyu kijana. Karibu sana Arusha Nape, utakuja lini?
USHAURI WA BURE: Tafuta gari la vioo kama lile analotumia PAPA ndipo uhutubie Arusha vingnevyo dental formula yako itakuwa at stake! Arusha hawataki UONGO!.
 
Nape msema ovyo, hawezi katiza mikoa hiyo aliyoitusi kipindi cha nyuma!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hasira zake kwa mikoa hiii ndiyo inakitia doa CCM na kutokubalika kwake kiujumla.:rain:
 
mi mwenyewe kwa miguu yangu....nitakutembeza uone mandhari ya jiji la kitalii.....wallah tena Nape....unakuja lini.....?...karibu sana......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom