Nape Masasi kamuacha nani?

LWAKAPISI

Member
Mar 31, 2011
46
4
Huyu nnape ni dc ila takribani wiki 2 sasa yupo kwenye siasa je huo u-dc kampa nani?maana muda wote huo sijasikia anatangazwa kuzindua mradi wowote wilayani masasi.na je itakuwaje mwanasiasa kama huyu mambo wilayani yaemde vizuri kama sio kisiasa zaidi?wana masasi mpo wapi?peoples power
 
hivi dc akienda likizo nani huwa anabaki? i mean sisemi kwamba ni sahihi kuzunguka huko katika gamba la CCM lakini haimaanishi hamna mtu
 
sense ya mtoa mada sio ni nani aliyebaki huko masai kama inavyosomeka, bali ni kuhoji juu ya ucanganya siasa na utendaji.
kwili unategemea kuna jambo mbalo ni against a makubaliano ya ccm liktakalo fanywa masasi??
 
Huyu nnape ni dc ila takribani wiki 2 sasa yupo kwenye siasa je huo u-dc kampa nani?maana muda wote huo sijasikia anatangazwa kuzindua mradi wowote wilayani masasi.na je itakuwaje mwanasiasa kama huyu mambo wilayani yaemde vizuri kama sio kisiasa zaidi?wana masasi mpo wapi?peoples power

Chama bado kimeshika hatamu.
 
Hivi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ni nani vile?
 
sense ya mtoa mada sio ni nani aliyebaki huko masai kama inavyosomeka, bali ni kuhoji juu ya ucanganya siasa na utendaji.
kwili unategemea kuna jambo mbalo ni against a makubaliano ya ccm liktakalo fanywa masasi??

ooh kama ni hivo sawa, sasa mbona ka-single out masasi? RCs na DCs wote ni wanasiasa, zile ni vyeo vya kisiasa
 
Mkuu wa wilaya hata hasipokuwepo hakuna kinachokosekana, wanaofanya kazi ni madiwani na mkurugenzi. Kama hakuna semina, warsha na makongamano ya kufunga na kufungua mkuu wa wilaya yuko idle. Ndo maana tuanapendekeza hivi vyeo vya RC na DC vifutwe vinaiongezea mzigo serikalini bure.

Kwa hiyo Nape kuwepo au kutokuwepo masasi hakupunguzii au kuongezea chochote wilaya ya masasi.
 
Kwa hapa tz cheo cha DC na RC havina umuhimu wowote hata mbwa anaweza kupewa hivyo vyeo na akaperform vizuri tu. Ndio maana jamaa anazunguka majukwaa ni kuinadi ccm kule kaacha koti lake linafanya kazi!
 
Huyu nnape ni dc ila takribani wiki 2 sasa yupo kwenye siasa je huo u-dc kampa nani?maana muda wote huo sijasikia anatangazwa kuzindua mradi wowote wilayani masasi.na je itakuwaje mwanasiasa kama huyu mambo wilayani yaemde vizuri kama sio kisiasa zaidi?wana masasi mpo wapi?peoples power

Mara ya mwisho nilimuona kwenye facebook akiwa ameenda kupata kikombe kwa babu wa Lupaso!! Inaonyesha wakuu wa wilaya hawana kazi ndio maana Nnape anapata wasaa huo! Lakini mbona hata kuna mikoa haina wakuu, DSM, Iringa, Kilimanjaro, nk lakini mambo yanaenda tu!!!
 
Nikipata majukumu rasmi ya Mkuu wa Wilaya Hapa JF nitakuwa kwenye nafasi ya kumuhukumu NAPE.
 
Huyu nnape ni dc ila takribani wiki 2 sasa yupo kwenye siasa je huo u-dc kampa nani?maana muda wote huo sijasikia anatangazwa kuzindua mradi wowote wilayani masasi.na je itakuwaje mwanasiasa kama huyu mambo wilayani yaemde vizuri kama sio kisiasa zaidi?wana masasi mpo wapi?peoples power

Amemwachia Katibu Tarafa
 
Kwa hapa tz cheo cha DC na RC havina umuhimu wowote hata mbwa anaweza kupewa hivyo vyeo na akaperform vizuri tu. Ndio maana jamaa anazunguka majukwaa ni kuinadi ccm kule kaacha koti lake linafanya kazi!

Hapana Mbwa hawezi hapo umeongea vibaya.
 
mwajiri wake kwenye u-DC ndiye mwanjiri wake CCM. Hivyo afanye kazi za udc au za ccm mishahara yote miwili inabakia pale pale.kwa hiyo ipo haja ya kupunguza madaraka ya rais hasa katika kuteua wakuu wa wilaya na mikoa. haki hii iende mikononi mwa wananchi wachague wenyewe wanaye mpenda. Tatizo hapa ni katiba, nani wa kumchukulia hatua kwa kutokuwepo kazin kwa wiki 2 mfululizo?
 
WANAISHI DAR MKUU,
kwa ili swali alina kichwa wala miguu, kwani makao makuu ya serikali ni wapi? na serikali inaishi wapi? kama huyo mkuu anampango wa kutetea hoja za maendeleo angeanza na serikali ambayo imefanya udhululaji kutoka dodoma mpaka DAR na wana mpango wa kwenda dodoma
Hai na DSM.
Kwani wa Igunga, Rungwe Magharibi, Bunda, Kigoma mjini na wengine wengi wanaishi wapi?
 
Huyu nnape ni dc ila takribani wiki 2 sasa yupo kwenye siasa je huo u-dc kampa nani?maana muda wote huo sijasikia anatangazwa kuzindua mradi wowote wilayani masasi.na je itakuwaje mwanasiasa kama huyu mambo wilayani yaemde vizuri kama sio kisiasa zaidi?wana masasi mpo wapi?peoples power

Kwa kupata cheo kikubwa kama katibu mwenezi, automatically wilaya iko wazi maana chama ndo kimeshika hatamu. Mkumbuke Shigela alipokua DC Lindi, alipoteuliwa uvccm alikuja fasta akaiacha wilaya wazi pia. ....Tunaangalia penye ulaji, wananchi na miradi yao watajiju!
 
Napata wasi wasi kama DC wa Masasi bw Nape Mnauye anawataumikia ipasavyo wananchi wa huko kwa mujibu wa uteuzi wake,maana kila kukicha yeye na vyombo vya habari tu kupiga propaganda za chama.Ni vema basi angechagua moja (kama bado ni DC) kikutumikia chama chake kuliko kupoteza resources (maana analipwa mshahara,marupuru,usafiri etc) kutoka kwenye kodi zetu kwa kazi asiyoifanya.

Ni wazo tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom