Nape: Marufuku kutumia ofisi za serikali kutimiza matakwa ya kisiasa...

wewe unavyoisemea Chadema huwa ni msemaji wa CDM yetu? au unatuonyesha jinsi gani ulivyo mnafiki na unavyodandia mambo yasiyokuhusu'

Hapa kuna kuwasemea chadema? kwi kwi kwi teh teh teh. Hapa kuna kuwapa darsa tu.
 
Jamani taarifa ya habari Leo usiku huu Nape kama kawaida yake akiongea kwa kufoka akiwa Mufindi amesema watumishi wa serikali wanaotumia ofisi za umma kutekeleza matakwa ya vyama fulani vya siasa sasa marufuku.

Source: TBC

Jamaa kajisahau tofauti kati ya chama na serikali hajui anafikiri ni kitu kilekile ndo maana anabwabwaja mpaka basi
 
Nape ameathiriwa sana na mfumo wa chama dola, ni vigumu kumbadilisha kwa maneno!!
Atabadilisha mtazamo wake 2015!
 
Nape anahitaji maombi na msaada kutoka kwa wana magamba wenzake. wamemsusia kila kitu sasa anakurupuka tu ('CCM haitakufa hata nikibaki mwenyewe'). Anahitaji muongozo.
Kilichobaki sasa ni yy kueneza sumu ya kukimaliza 'chama chake'.
 
Jamani taarifa ya habari Leo usiku huu Nape kama kawaida yake akiongea kwa kufoka akiwa Mufindi amesema watumishi wa serikali wanaotumia ofisi za umma kutekeleza matakwa ya vyama fulani vya siasa sasa marufuku.

Source: TBC

yuko sahihi kinadharia lakini kivitendo/uhalisia ni siasa tu, kwani wao ndo wa kwanza wa kuwateua watu kushika nyazifa fulani kwenye ofisi za umma kwa vigezo vya kuwa makada waaminifu wa CCM. Wengi wakurugenzi, maofisa wa jeshi na wakuu wa idara mbalimbali wamelishwa viapo na ccm kufanya kazi kwa maslahi si UMMA bali maslahi ya CCM. Hivyo ashindwe na alegee, na kama anamaanisha awashauri magamba kuacha tabia ya kuteua watendaji serikalini ili na sisi tulio chini yao tuanze kuwajibika kwa umma
 
Hivi ccm wanazama kwenye mto gani? Maana mda huu wako vuluu vuluu, kila mmoja anajaribu kutafuta mti wa kujinasua

poleni sana mliopanda meli isiyokuwa na baharia
 
Anafanya kazi yake ipasavyo, huyo mmoja anawatosha.


Mnamuona anavoongea bila mpangilio?
Ilikuwaje mkama akamwambia asiende Igunga anawaharibia chama?
Inakuwaje Mzee Makamba aseme kageuza chama kuwa kampuni yake?
 
huyu huyu nape si ndiye huwa anaenda ikulu kwenye vikao vya cc ya magamba?,au ikulu sio ofisi ya umma?
 
Mimi ni mmojawao, mii ofisini kwangu kama net ipo masaa yote jf browser lazima iwepo naomba Nape apewe ripoti hii, na usiku kama hivi kwenye simu. Nape kama una wivu meza wembe
mkuu acha roho mbaya wewe , ameze wembe ili iweje mkuu
 
Jamani taarifa ya habari Leo usiku huu Nape kama kawaida yake akiongea kwa kufoka akiwa Mufindi amesema watumishi wa serikali wanaotumia ofisi za umma kutekeleza matakwa ya vyama fulani vya siasa sasa marufuku.

Source: TBC

Mara hii keshasahau kuwa CC ya chama chake akiwemo mwenyewe walikwenda IKULU kukutana na MWENYEKITI wa chama chao ? ni haki?
 
Nape ndio msemaji wa CCM(Chama tawala kinachounda serikali)watendaji wa serikali wanapokosea Chama kilichowapa mamlaka kinahaki yakuwakosoa...Fikiria kwa ubongo kijana..
 
Back
Top Bottom