Nape: Marando futa kauli kuwa CCM tuna mashine ya kutunga SMS za kihuni...

........Nape amemtaka Marando afute kauli au adhibitishe kauli yake. Nae Mwigulu kaonyesha kimemo alichoandikiwa na kamanda Mbowe na kusema kuwa kilikuwa na lugha kali sana, na amesema kuna siku kamanda Mbowe alienda akampiga biti live akiwa na Chiligati.

Source : ITV

Haha.. Nimependa hapo Mwishoni "Kamanda Mbowe alimfuata na kumpiga BITI mbele ya chiligati".. Nini chiligati bwn hata ingekuwa mbele ya JK unapigwa BITI tu kama unafanya vitu vya ajabu.
Sasa na leo kaongea kwa upole anaogopa kupigwa BITI...
 
Pengine wewe na wenzako ndo hamnijui vizuri. Ntawakumbusha kiduchu, muulize Marando nilimfanya nini kwenye mdahalo wa Tanzania Tuitakayo! Marando yupi mnayemtetea hapa? Huyu ambaye akipanda jukwaa la siasa nahubiri watuhumiwa wa pesa za EPA ni mafisadi, halafu akivaa kola ya Uwakili anasimama mahakamani kuwatetea?! ( najua mtasema yeye wakili, kwahiyo atatetea hata muuaji, ndo maana anatetea kampuni haramu ya Mzee Mtei?!! Nauliza Marando huyuhuyu aliyekurupuka nilipomsema Katibu Mkuu wake wa Chama Dr. Slaa kuwa halipii kodi mshahara wake wa 12mii., akadai nilikula pesa za EPA kupitia mteja wake mmoja, alipobanwa na huyo mteja akakurupuka tena KWA MAANDISHI, akaomba radhi na kudai ALOTUMWA NA CHAMA CHAKE KUNICHAFUA KWA KUWA NILIMCHAFUA KATIBU MKUU WAKE..
we Nape unakimbe sana, we ni mtoto wa kigogo wa ccm aliyeko madarakani? Punguza kiherehe...
 
Pengine wewe na wenzako ndo hamnijui vizuri. Ntawakumbusha kiduchu, muulize Marando nilimfanya nini kwenye mdahalo wa Tanzania Tuitakayo!

Marando yupi mnayemtetea hapa? Huyu ambaye akipanda jukwaa la siasa nahubiri watuhumiwa wa pesa za EPA ni mafisadi, halafu akivaa kola ya Uwakili anasimama mahakamani kuwatetea?! ( najua mtasema yeye wakili, kwahiyo atatetea hata muuaji, ndo maana anatetea kampuni haramu ya Mzee Mtei na ataka watanzania waamini ni Chama cha siasa ?!!

Nauliza Marando huyuhuyu aliyekurupuka nilipomsema Katibu Mkuu wake wa Chama Dr. Slaa kuwa halipii kodi mshahara wake wa 12mii., akadai nilikula pesa za EPA kupitia mteja wake mmoja, alipobanwa na huyo mteja akakurupuka tena KWA MAANDISHI, akaomba radhi na kudai ALOTUMWA NA CHAMA CHAKE KUNICHAFUA KWA KUWA NILIMCHAFUA KATIBU MKUU WAKE.

SITAKI KUAMINI MARANDO MZEE NINAYEMUHESHIMU SANA NI WAKILI ANAYEWEZA KUTETEA MAMBO ASIYOYAJUA NA KUYAAMINI???! huko naomba nisifike nakaamini hivyo, kwani itakuwa mbaya sana.

2015 si mbali. This time mpaka kieleweke
 
pole sana NUPE na NCHOMBI wako....mtakufa bado vijana sana....na hii ni kutokana na kujifanya kwa nyie ndo mnaibeba ccm,mnalazimika kufanya mambo hata ambayo hampaswi kufanya.km ni kukana ilipaswa ifanye hivyo ikulu
 
Namhurumia nape, wajanja walisha lishitukia hilo zigo la ccm,lakini yeye anajitia kuliokoa lisizame kumbe linamzamisha yeye pia.
 
Nape:inakuwajea iwe nongwa kwa marando kuwatetea mafisadi mahakamani.unatueleza nini kuhusu serekali ambayo huwa inamtetea muuaji mahakama kuu kwa kumkodia wakili kwa kutumia hela za walipa kodi wa tz?.huku wakihubiri majukwaani kuwa wasiuwe na wa kiuwa wanawatetea mahakamani kana kwamba walicho kifanya ni kizuri?.unatufundisha nini unaposema kuwa dr silaa halipii kodi mshahara wake.unatakakutuambia kuwa serekali ya chama chako ni dhaifu wala haijui wajibu wake na imeshindwa kazi?.kwani kazi ya kukusanya kodi si ya dr silaa wala hakuna mtumishi yeyeto ambae huwa anajikata mshahara wake anakwenda kukabidhi serekalini km kodi.kampuni haramu ya mtei ni ipi hiyo?.km ni cdm ni chama cha siasa kimesajiliwa na msajili wa vyama pamoja na ccm baada ya kutimiza vigezo vyote vilivyo hitajika na vyote viko kwenye kapu 1 ccm ikiwa no1.sasa kama cdm imekuwa kampuni haramu ccm ilio anzishwa na nyerere na karume unaiweka wapi?.wakati vyote vimesajiliwa km vyama vya siasa na viko kapu moja?.au ndiyo kusema nyani halijui.....
 
Pengine wewe na wenzako ndo hamnijui vizuri. Ntawakumbusha kiduchu, muulize Marando nilimfanya nini kwenye mdahalo wa Tanzania Tuitakayo!

Marando yupi mnayemtetea hapa? Huyu ambaye akipanda jukwaa la siasa nahubiri watuhumiwa wa pesa za EPA ni mafisadi, halafu akivaa kola ya Uwakili anasimama mahakamani kuwatetea?! ( najua mtasema yeye wakili, kwahiyo atatetea hata muuaji, ndo maana anatetea kampuni haramu ya Mzee Mtei na ataka watanzania waamini ni Chama cha siasa ?!!

Nauliza Marando huyuhuyu aliyekurupuka nilipomsema Katibu Mkuu wake wa Chama Dr. Slaa kuwa halipii kodi mshahara wake wa 12mii., akadai nilikula pesa za EPA kupitia mteja wake mmoja, alipobanwa na huyo mteja akakurupuka tena KWA MAANDISHI, akaomba radhi na kudai ALOTUMWA NA CHAMA CHAKE KUNICHAFUA KWA KUWA NILIMCHAFUA KATIBU MKUU WAKE.

SITAKI KUAMINI MARANDO MZEE NINAYEMUHESHIMU SANA NI WAKILI ANAYEWEZA KUTETEA MAMBO ASIYOYAJUA NA KUYAAMINI???! huko naomba nisifike nakaamini hivyo, kwani itakuwa mbaya sana.

aiseee Nape mnaipeleka wapi Nchi yetu???? msitake kutufanya sisi tulioko nje ya system kama wapumbavu; dhamana uliyokabidhiwa ni kubwa mno na ina maana sana kwa wananchi itumuie kwa faida ya watu wote bwana. kila siku kuibuka kwenye media mkiwataka hinosent people wazibitishe kauli zao ambazo wanazitoa na tunaziona zina ukweli ndani yake, wakifanya kweli wakazibitisha Nape mtaumbuka.na mtakosa pa kutokea, i'm telling you.
 
Sasa sijui nape atamburuza mahakamani kwa kesi gani?
Marando ni mjanja sana HE DIDNT NAME NAMES.
Namba ya simu ya scandnavia inahusika vipi na NAPE ,kwani yeye ni ispector general au DCI?.
Kuna watu humu wanadhani wakimguote nape na kumpa madongo inawaongezea VITAMIN.
Very low
Mimi ndiye nilye mention kuhusu namba ya simu ya nchi za scandinavia.
Ili uelewe wa nini nilimuomba Nape atupe maelezo naomba utafakari hili linalofanyika leo Kigoma.Mkutano mkubwa wa CCM ambapo Nape atakuwa pamoja na mawaziri wa serikali,kwa nini?Naamini utakuwa umenipata vizuri sasa,CCM ndo wenye serikali.
 
Nashindwa kuelewa kitu kimoja hapa.

Mabere Marando jana alisema kuwa anao ushahidi wa kutosha kuthibiisha kuwa kuna mtoto wa kigogo mkubwa serikalini alileta nchini mtambo wa sms proofing kutoka Israel.

Anaamini mtambo huo ndo unatumika kuwachafua wabunge wa chadema. Hapa CCM haijatuhumiwa bado. Nape au CCM ametuhumiwa kwa lipi hapa mpaka yeye msemaji wa chama (sio kama mkuu wa wilaya naamini) amtake Marando athibitishe?

Ikumbukwe kuwa Mwigulu hakutajwa na Marando kwa hiyo sitegemei Nape aingilie kati kumsemea Mwigulu kama mwanaccm. Nilitegemea msemaji wa serikali ndiye ambaye angetoa statement kama hiyo tena sio mkuu wa wilaya!

Mboma Nape unajihisi na wewe unahusika kwenye tuhuma za serikali?

Chifu Mabere Marando alichofanya ni kurusha jiwe kwenye umati ulio gizani. Sasa yule aliyepigwa na jiwe hilo ndiyo anajitokeza hadharani na kudai nani kampiga na jiwe!!
 
Inabidi anaedaiwa kutuma hizo msg aombe sana baya lolote lisimkute nchembi kwani atajikuta lokapu na hakuna mtu atakaeangalia sms spoofing wala nini,atakua suspect namba one.

u talking shit dadaa! Its like u have got pain in azz or something!
 
ccm wanaipata wapi jeuri ya kumpeleka mahakamani Mabere Marando?
Katika hili wataishia kuzunguka mbuyu kwakuwa wanajua Marando habahatishi!

Huyu Nape Vuvuzela ameipata wapi hiyo kauli kuwa Marando alisema kuwa ccm wana mashine ya kuhujumu SMS? Mimi nimemsikia Marando Live kwenye ile press conference, Alichosema ni kuwa"mtoto wa kigogo nchini" na wala hakuitaja CCM!!! Huyu vuvuzela anakurupukia mambo tu, haya tuone ampeleke Marando mahakamani.
 
Mimi ambaye nina allergy na TEKNOHAMA, ningependa wanaojua hii issue wanieleze kama kuchonga sms huko kunatumia mtambo/hardawre au software au vyote viwili.

Mimi ninaweza kumtumia sms mtu yeyote, nikiwa na akiwa popote ulimwenguni halmuradi tu niwe na nambari ya simu ya mtumiwa, bila yangu mtumaji kuonekana. It's just a case of phone set-up. Na ni rahisi zaidi kama utatumia skype.
 
Chifu Mabere Marando alichofanya ni kurusha jiwe kwenye umati ulio gizani. Sasa yule aliyepigwa na jiwe hilo ndiyo anajitokeza hadharani na kudai nani kampiga na jiwe!!

Wewe na vijana wenzako huko CDM hamuwasaidii hawa wazee sana sana mnawaabisha mbele ya jamii. Waambieni ukweli wamuonye huyo Tundu Lusu badala ya kutunga riwaya.
 
Wewe na vijana wenzako huko CDM hamuwasaidii hawa wazee sana sana mnawaabisha mbele ya jamii. Waambieni ukweli wamuonye huyo Tundu Lusu badala ya kutunga riwaya.

Wale wale...kila anayekosoa CCM ni CHADEMA, kila anayekosoa CHADEMA ni CCM!!
 
Wale wale...kila anayekosoa CCM ni CHADEMA, kila anayekosoa CHADEMA ni CCM!!
Thats not the point at all, wewe nina uhakika asilimia 100% unajua anachozungumza Marando ni uongo na hautamjenga yeye wala chama chake na unaweza kumshauri lakini unaendeleza maushabiki ya kipuuuzi.
 
kwani Marando alisema wahusika ni ccm au mtoto wa kigogo wa ccm, kwani Nape ndo huyo mtoto wa kiongozi wa juu wa serikali mpaka atoe kauli yeye?au kiherehere kinamsumbua?

Hapo ndipo ninapomshangaa Nape maana Marando alisema mtoto wa kigogo wa ccm na sio ccm? hawa jamaa hawako makini eti!!!!! ARRRGHH......
 
Pengine wewe na wenzako ndo hamnijui vizuri. Ntawakumbusha kiduchu, muulize Marando nilimfanya nini kwenye mdahalo wa Tanzania Tuitakayo!

Marando yupi mnayemtetea hapa? Huyu ambaye akipanda jukwaa la siasa nahubiri watuhumiwa wa pesa za EPA ni mafisadi, halafu akivaa kola ya Uwakili anasimama mahakamani kuwatetea?! ( najua mtasema yeye wakili, kwahiyo atatetea hata muuaji, ndo maana anatetea kampuni haramu ya Mzee Mtei na ataka watanzania waamini ni Chama cha siasa ?!!

Nauliza Marando huyuhuyu aliyekurupuka nilipomsema Katibu Mkuu wake wa Chama Dr. Slaa kuwa halipii kodi mshahara wake wa 12mii., akadai nilikula pesa za EPA kupitia mteja wake mmoja, alipobanwa na huyo mteja akakurupuka tena KWA MAANDISHI, akaomba radhi na kudai ALOTUMWA NA CHAMA CHAKE KUNICHAFUA KWA KUWA NILIMCHAFUA KATIBU MKUU WAKE.

SITAKI KUAMINI MARANDO MZEE NINAYEMUHESHIMU SANA NI WAKILI ANAYEWEZA KUTETEA MAMBO ASIYOYAJUA NA KUYAAMINI???! huko naomba nisifike nakaamini hivyo, kwani itakuwa mbaya sana.

Lakini wewe Nape ni katibu mwenezi wa ccm? au mtoto wa kigogo wa ccm? nahisi kama umevuka mipaka vile. Tujulishe kusudi hata mimi nikituhumiwa nikutumie Sir.
 
Hivi hakuna chama chama cha umoja wa watoto wa vigogo ccm na serikalini wampeleke huyu jamaa mahakamani? Maana wote wanaolalamika na kutaka kauli zifutwe si watajwa kuwa wameingiza huo mtambo!
 
u talking shit dadaa! Its like u have got pain in azz or something!
why wait till i go offline then unajifanya kunirushia madongo?

You act like a coward.
After hebu jiulize kwanza nini kimekufanya unitusi,au huna point,au ni frustration za maisha?
Kijana life is not as simple as you think.frustration zako peleka kwa babako
 
Back
Top Bottom