Nape: Marando futa kauli kuwa CCM tuna mashine ya kutunga SMS za kihuni...

Nape ameingiaje kwenye hii issue ya mtambo wa sms-spoofing? Ni kitu gani kilichomfanya Nape aone kwamba madai ya Marando yanamhusu yeye Nape?
 
kwani Marando alisema wahusika ni ccm au mtoto wa kigogo wa ccm, kwani Nape ndo huyo mtoto wa kiongozi wa juu wa serikali mpaka atoe kauli yeye?au kiherehere kinamsumbua?

Hata mimi nimeshangaa...hajaulizwa anatoa jibu,,akiulizwa atajibu nini?
'vox populi,vox dei'
 
Marando alikurupuka,ndio maana serikali ikiwapeleka wezi mahakamani yeye anaenda kuwatetea,huyu ndio wakili wa costa mahalu alietuibia akiwa balozi nje ya nchi.hata hizi kauli anazotoa ni utetezi dhaifu mno.
 
Hivi kina Slaa na Mbowe walipodai wanasukiwa mipango ya kuuwawa Jeshi la polisi na Waziri mwenye dhamana ya mambo ya ndani alikomalia kuwa lazima kina Slaa wahojiwe na polisi...
Sasa kwenye hii movie ya Nchemba, mbona naona jamaa hawamuiti naye akathibitishe madai yake ya kutishiwa kwa jumbe fupi za simu???
 
Inabidi anaedaiwa kutuma hizo msg aombe sana baya lolote lisimkute nchembi kwani atajikuta lokapu na hakuna mtu atakaeangalia sms spoofing wala nini,atakua suspect namba one.
 
​mzee mtei alichakwepa kulipa kodi kama nyie ccm wezi na wanafiki wakubwa tunao mwaka huu
 
........Nape amemtaka Marando afute kauli au adhibitishe kauli yake. Nae Mwigulu kaonyesha kimemo alichoandikiwa na kamanda Mbowe na kusema kuwa kilikuwa na lugha kali sana, na amesema kuna siku kamanda Mbowe alienda akampiga biti live akiwa na Chiligati.

Source : ITV
ooh..kumbe alimpiga bit live.THIS ONE ALSO IS A POTENTIAL SUSPECT IF ANYTHING HAPPEN TO NCHEMBI.
 
nape, kwanza maliza vita yenu ndani ya chama lowasa,vijisenti na master rostam utalijua jiji umechezea pabaya kuna habari nzuri nazipata kutoka lumumba hakuna mtu anayezalaulika kama wewe kila kukicha ni kufungwa scuf ukishapona ccm sasa dandia hoja za chadema kwishney ccm r.i.p
 
tumewashika pabaya ni patamu hapo mlie tu na mtajiju tunazidi kupaaa
marando alikurupuka,ndio maana serikali ikiwapeleka wezi mahakamani yeye anaenda kuwatetea,huyu ndio wakili wa costa mahalu alietuibia akiwa balozi nje ya nchi.hata hizi kauli anazotoa ni utetezi dhaifu mno.
 
Pengine wewe na wenzako ndo hamnijui vizuri. Ntawakumbusha kiduchu, muulize Marando nilimfanya nini kwenye mdahalo wa Tanzania Tuitakayo!

Marando yupi mnayemtetea hapa? Huyu ambaye akipanda jukwaa la siasa nahubiri watuhumiwa wa pesa za EPA ni mafisadi, halafu akivaa kola ya Uwakili anasimama mahakamani kuwatetea?! ( najua mtasema yeye wakili, kwahiyo atatetea hata muuaji, ndo maana anatetea kampuni haramu ya Mzee Mtei na ataka watanzania waamini ni Chama cha siasa ?!!

Nauliza Marando huyuhuyu aliyekurupuka nilipomsema Katibu Mkuu wake wa Chama Dr. Slaa kuwa halipii kodi mshahara wake wa 12mii., akadai nilikula pesa za EPA kupitia mteja wake mmoja, alipobanwa na huyo mteja akakurupuka tena KWA MAANDISHI, akaomba radhi na kudai ALOTUMWA NA CHAMA CHAKE KUNICHAFUA KWA KUWA NILIMCHAFUA KATIBU MKUU WAKE.

SITAKI KUAMINI MARANDO MZEE NINAYEMUHESHIMU SANA NI WAKILI ANAYEWEZA KUTETEA MAMBO ASIYOYAJUA NA KUYAAMINI???! huko naomba nisifike nakaamini hivyo, kwani itakuwa mbaya sana.
Siku ya ukombozi wa Taifa teule la Watanzania tazama yaja. Naam ile saa I karibu, Mungu mwenye enzi atakapo yafuta machozi yetu na kututoa toka katika makucha ya wanyang'anyi wa serkali dhalimu isiyojali wananchi wake.

Wanasiasa wa nchi hii mnaiendesha nchi hii kwa nguvu za kishirikina, najua kwa hili hapa jukwaani utapinga lakini hukumu itapita nafsini mwako. Moja ya mbinu mnazotumia ni kurubuni akili za Watanzania kwa mbinu chafu za kisiasa, vilevile kutoa kafara ndugu zetu na ndio maana ajali haziishi.

Yule tunayemuita muasisi wa CCM na Taifa ndio alikua wa kwanza kuiweka rehani nchi hii na chama chako kwa kushiriki matambiko ambayo athari zake ni ukithiri wa umaskini wa kiakili na kiuchumi. Leo hii CCM mnafanya kila aina ya upuuzi, kwa kuwa mnaamini mmeshikilia akili za Watanzania kiuchawi.

Angalia jinsi serikali ya chama chako ilivyompaisha yule mshirikina wa Loliondo, siku zote anayeshirikiana na mchawi bila shaka naye ni mchawi. Mlifanya kila jitihada kumtangaza na kumpatia kila aina ya msaada, moja ni kwa sababu CCM na serikali yote kwa ujumla imejengwa juu ya misingi ya kichawi, pili mlikua mnataka kuuaminisha umma wa Watanzania na ulimwengu kuwa uchawi una nguvu.

Kwa leo niishie hapa...mwisho wenu u karibu kuja!
 
Mahaba anayokupa Mwigulu ni zaidi ya anayopata Kanye West kwa Kim Kardnashan.......sio bure, hii haiwezi kuwa pesa tu lazima kuna mengine mazito-mazito

ha ha haaa,unadhani kwa kuwa wewe unamkatikia mbowe basi ni kila mtu?ndio mana tunawaambia mfadhili wenu kamerun anawaharibu.haya,ndio mida hii katimize sharti la ndoa peleka hilo saburi likasuguliwe.
 
Mtu kama marando anaetumikia tumbo lake nae unamleta hapa tunaacha kuzungumzia mambo makubwa bana.hoja hapa ni mbowe na vibaraka wake kina mnyika kutuma msg za vitisho vikiwepo vimemo.wanatumia vichwa kufuga tu nywele.
 
........Nape amemtaka Marando afute kauli au adhibitishe kauli yake. Nae Mwigulu kaonyesha kimemo alichoandikiwa na kamanda Mbowe na kusema kuwa kilikuwa na lugha kali sana, na amesema kuna siku kamanda Mbowe alienda akampiga biti live akiwa na Chiligati.

Source : ITV

NILIKUWAPo kwenye mkutano wa waandishi wa habari ambao Marando alihutubia. Katika mkutano ule, Marando hakutaja mahali popote kuwa mtambo huo umeletwa na CCM. Amesema umeletwa na mtoto wa kigogo mmoja wa ngazi ya juu serikalini. Wala Marando hakutaja jina la huyo mtoto wa kigogo. Labda Nape aseme ametumwa na huyo mtoto wa kigogo kumjibia.

Sasa hili la kumtaka Marando athibitishe linamaana gani? Nadhani huku ni kutapatapa kisiasa.
 
Kwa kweli mauaji mliyoyafanya iramba ni adhabu kubwa kwenu,hamtasameheka.nyie ni magaidi.mbona hamuui wachaga wenzenu kule moshi?
 
tatizo lenu ccm ni hili korosho ni korosho haiitwi zabibu mambo yenu tumeyazoea liwalo na liwe =mr dhaifu kwi kwi kwi
kwa kweli mauaji mliyoyafanya iramba ni adhabu kubwa kwenu,hamtasameheka.nyie ni magaidi.mbona hamuui wachaga wenzenu kule moshi?
 
Back
Top Bottom