Nape, Labda ukisoma hapa itakusaidia!

The Analyst

JF-Expert Member
Feb 26, 2011
464
246
Wapendwa wana JF ufuatao ni ujumbe wangu kwa Nape Mnauye kufuatia mashambulizi yake kwa CDM akijaribu kukwepa ahadi zake za kuwapa Mapacha watatu siku 90. Naomba nyongeza na mtazamo wenu katika hili maana itamsaidia jamaa kujua kama anachapia au amewini bingo.

Nape.....! Nape.....! Nape.....! Nape.....!
Tangu ulipoteuliwa katika Kamati Kuu Mpya ya chama chako cha Magamba umekuwa msemaji/mropokaji sana na umesababisha baadhi ya watanzania kudhania JK anakuunga mkono kuwashambulia mafisadi wenzenu usiokubaliana nao. (wenye kuelewa tunajua ulikuwa unakurupuka tu maana hakuna siku JK atashirikiana na wewe against RA au EL).

Baada ya kuonywa na mabosi wako dhidi ya uropokaji sasa unataka kujaribu kuwashambulia Chadema ukidhania itabadilisha mitazamo ya wanajamii waliochoka na chama chenu na kurejesha kijiheshima kidogo ulichostahili. Hapo umepotea zaidi maana kinachotukera ni ufisadi wenu mkubwa ambao unasababisha asilimia 100 ya matatizo yote yanaoyoweza kudhibitiwa na binadamu katika nchi yetu. Pengine huna akili ya kuelewa hilo lakini ukweli ni kwamba hata ile rushwa ndogo ya serikali za mitaa inasababishwa na rushwa kubwa ambazo zinamnyima mwenyekiti wenu moral authority kukemea maovu mengine yote katika jamii.

Mimi naamini hata hiyo nafasi ulipewa kwa sababu walidhania ufisadi wako binafsi umejificha kidogo katika jamii kuliko wengine na ingeweza ku-buy time wakati mafisadi wakuu wanajipanga kuweka kibaraka wao mwingine ikulu kupitia chama chenu ifikapo mwaka 2015. Mungu atuepushe na dhahama hiyo. Ndiyo maana tunawaunga mkono Chadema si kwa kuwa wewe unawasilfu au la bali kwa kuwa wanaweza kutusaidia kutuepusha na fisadi mwingine hapo Magogoni.
Ukichunguza vizuri utagundua hata ukuu wa wilaya ulipewa ili utulie maana wakubwa waliona umezidi kelele. Chama chako na viongozi wake wote mnajijua mlivyooza na unyoka wenu, ndiyo maana mnatoa mifano ya kujivua magamba. Nyoka ndiyo wanaojivua magamba na si wanasiasa. Wanasiasa wanawajibika na kusafisasha vyama vyao.

Nakushauri utafute approach nyingine ya kupata umaarufu maana, ufisadi wa Slaa (hata kama upo kweli) si ajenda ktk Tanzania hii mliyoifilisi kwa matumizi yenu mabaya na kutusababishia maisha magumu wakati baba zenu na viongozi wenu wakiendelea kutajirika kwa ufisadi.
 
Well said bro jamaa mlopokaji tu,hawezi kushindana na nguvu ya uma wa lowasa....hakumsikia lowasa alivyosema akukutana na jk barabarani
 
kazi waliyompa huyu bwa mdogo ni kubwa - sina imani kama ataitimiza kwani kuna vichaka ambavyo haviwezi kuvifyeka wamejificha ma papa wenyewe. isije dogo akawa mbuzi wa mnadani aka kafara. ni mtizamo tu.

Sidhani kama CCM inasafishika - hakuna kitu ka hiyo.
 
wewe mwenyewe hujatulia sijui ndio fisadi maana hata jina la baba Nape hujui kuliandika: Nnauye sio kama ulivyoandika wewe.

Pili ujumbe wako hauna maana hata tone. kaa utulie kama umefulia utajiju
 
wewe mwenyewe hujatulia sijui ndio fisadi maana hata jina la baba Nape hujui kuliandika: Nnauye sio kama ulivyoandika wewe.

Pili ujumbe wako hauna maana hata tone. kaa utulie kama umefulia utajiju

kweli we kichwa cha mwendawazimu yani hapo huoni point yoyote?dah!
 
wewe mwenyewe hujatulia sijui ndio fisadi maana hata jina la baba Nape hujui kuliandika: Nnauye sio kama ulivyoandika wewe.

Pili ujumbe wako hauna maana hata tone. kaa utulie kama umefulia utajiju

Sishangai kwa maneno yako. Watu wa magamba wote akili zenu hazifikirii zaidi ya pua na matumbo yenu. Uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo mno.
Pamoja na haya uliyoandika hapo juu bado naamini unawazidi hekima viongozi wako. Mwenyekiti wa Chama chako na wasaidizi wake ni mbumbumbu zaidi. Nafuu hata weye umeanza kwa kukosoa jina viongozi wa chama chenu wangeishia kusema nawaonea wivu.
Yeelewi.....! Magamba.... mwaka huu ipo kazi!
 
Acha kumfuatilia Nape wafuatilie Viongozi wako wa Chadema,pilipili usio ila inakuwashia nini? Nani kakwambia mafisadi wameachwa?
 
Acha kumfuatilia Nape wafuatilie Viongozi wako wa Chadema,pilipili usio ila inakuwashia nini? Nani kakwambia mafisadi wameachwa?

hakuna anaemfuatilia Nape. Kwakua jamii inatilia shaka uelewa wake ndio hayo unayoyaona.
Nape katuahidi juzi, kuwa jana angefichua mafisadi na ufisadi wa Cdm, anakuja kuwa dr Slaa ni fisadi kwakua anashinikiza kulipwa mshahara mkubwa !
Huo ni ufisadi ? Nini tofauti ya Nape na Makamba ? Unaiona tofauti yake na Tambwe Hiza ?
Nape ni fukara wafikra! Kuwadi wa fikra na maisha yake.
 
wewe mwenyewe hujatulia sijui ndio fisadi maana hata jina la baba Nape hujui kuliandika: Nnauye sio kama ulivyoandika wewe.

Pili ujumbe wako hauna maana hata tone. kaa utulie kama umefulia utajiju

kumbe Makinda hajatulia alipomwita mh Lisu kua Tindu Lisu instead of Tundu.
 
Nini tofauti ya Nape na Makamba ?
Makamba ni bora kuliko Nape ,Kuna tofauti kubwa kati ya Makamba na Nape. 1. Makamba si mchochezi na ana busara anapozungumza, 2. Makamba ana staha na adabu kwa rika zote wazee na vijana,3. Makamba ni mzoefu zaidi ya Nape. 4.Makamba aliweza kusoma alama za nyakati ingawa hakuweza kiutendaji kulingana na system. 5 Kielimu kwa umri na wakati wake Makamba ana elimu zaidi, Nasema kwa level ya tecknology na utandawazi Kijana kama Nape alitakiwa kuwa na degree walau 1 toka chuo kikuu kinachojulikana duniani sio Magogoni, na kivukoni,6. Makamba ana walau taaluma ya kuzugia MJESHI Nape ana nini? wananchi wanajua wanachotaka na wanaona Dr. Slaa na sera za CDM ndio mwongozo. Ataifikisha CCM Kubaya kuliko Makamba.
 
CCM = SHETANI
Shetani hatubu hivyo CCM haiwezi kubadilika na kuwa kisafi
 
hivi huyo dogo yumo humu? kama hayumo mwambieni ajisajili JF tumfunze siasa za kileo.. sio siasa za kizee za kina Tambwe hiza

Nape usikubali kudumaza ubongo wako shauri ya hela zenye laana hizo.. tetea nchi hii kwani wewe, wanao na wajukuu zako ndio taifa la kesho
 
wapendwa wana jf ufuatao ni ujumbe wangu kwa nape mnawiye kufuatia mashambulizi yake kwa cdm akijaribu kukwepa ahadi zake za kuwapa mapacha watatu siku 90. Naomba nyongeza na mtazamo wenu katika hili maana itamsaidia jamaa kujua kama anachapia au amewini bingo.

nape.....! Nape.....! Nape.....! Nape.....!
tangu ulipoteuliwa katika kamati kuu mpya ya chama chako cha magamba umekuwa msemaji/mropokaji sana na umesababisha baadhi ya watanzania kudhania jk anakuunga mkono kuwashambulia mafisadi wenzenu usiokubaliana nao. (wenye kuelewa tunajua ulikuwa unakurupuka tu maana hakuna siku jk atashirikiana na wewe against ra au el).

baada ya kuonywa na mabosi wako dhidi ya uropokaji sasa unataka kujaribu kuwashambulia chadema ukidhania itabadilisha mitazamo ya wanajamii waliochoka na chama chenu na kurejesha kijiheshima kidogo ulichostahili. Hapo umepotea zaidi maana kinachotukera ni ufisadi wenu mkubwa ambao unasababisha asilimia 100 ya matatizo yote yanaoyoweza kudhibitiwa na binadamu katika nchi yetu. Pengine huna akili ya kuelewa hilo lakini ukweli ni kwamba hata ile rushwa ndogo ya serikali za mitaa inasababishwa na rushwa kubwa ambazo zinamnyima mwenyekiti wenu moral authority kukemea maovu mengine yote katika jamii.

mimi naamini hata hiyo nafasi ulipewa kwa sababu walidhania ufisadi wako binafsi umejificha kidogo katika jamii kuliko wengine na ingeweza ku-buy time wakati mafisadi wakuu wanajipanga kuweka kibaraka wao mwingine ikulu kupitia chama chenu ifikapo mwaka 2015. Mungu atuepushe na dhahama hiyo. Ndiyo maana tunawaunga mkono chadema si kwa kuwa wewe unawasilfu au la bali kwa kuwa wanaweza kutusaidia kutuepusha na fisadi mwingine hapo magogoni.
ukichunguza vizuri utagundua hata ukuu wa wilaya ulipepa ili utulie maana wakubwa waliona umezidi kelele. Chama chako na viongozi wake wote mnajijua mlivyooza na unyoka wenu, ndiyo maana mnatoa mifano ya kujivua magamba. Nyoka ndiyo wanaojivua magamba na si wanasiasa. Wanasiasa wanawajibika na kusafisasha vyama vyao.

nakushauri utafute approach nyingine ya kupata umaarufu maana, ufisadi wa slaa (hata kama upo kweli) si ajenda ktk tanzania hii mliyoifilisi kwa matumizi yenu mabaya na kutusababishia maisha magumu wakati baba zenu na viongozi wenu wakiendelea kutajirika kwa ufisadi.

crap crap
 
Hivi Nape kaoa mwanamke wa wapi? Maana mawazo yake mengi ya kisiasa inaonekana anashauriwa na mkewe
 
Nini tofauti ya Nape na Makamba ?
Makamba ni bora kuliko Nape ,Kuna tofauti kubwa kati ya Makamba na Nape. 1. Makamba si mchochezi na ana busara anapozungumza, 2. Makamba ana staha na adabu kwa rika zote wazee na vijana,3. Makamba ni mzoefu zaidi ya Nape. 4.Makamba aliweza kusoma alama za nyakati ingawa hakuweza kiutendaji kulingana na system. 5 Kielimu kwa umri na wakati wake Makamba ana elimu zaidi, Nasema kwa level ya tecknology na utandawazi Kijana kama Nape alitakiwa kuwa na degree walau 1 toka chuo kikuu kinachojulikana duniani sio Magogoni, na kivukoni,6. Makamba ana walau taaluma ya kuzugia MJESHI Nape ana nini? wananchi wanajua wanachotaka na wanaona Dr. Slaa na sera za CDM ndio mwongozo. Ataifikisha CCM Kubaya kuliko Makamba.
mkuu umeongea niliyotaka kusema.
 
Acha kumfuatilia Nape wafuatilie Viongozi wako wa Chadema,pilipili usio ila inakuwashia nini? Nani kakwambia mafisadi wameachwa?

Nape ni mbuzi wa kafara kwani Kikwete hana ubavu wa kuwathibiti wakina Lowassa hivyo kujikinga anawatumia hawa vilaza kufikia lengo lake la kuwatosa waliomuingiza Ikulu; kwa bahati nzuri hao mafisadi wanamuelewa Kikwete kama table ya pili katika hesabu na ndio maana wameanza kwa kumtumia Mtikila amuumbue Kikwete na mali alizonazo kwa kumshutumu mwanae Ridhwani!! Hilo wamefaulu kwani Kikwete kakunja mkia wake na wala hutamsikia Nape au Mukama wakizungumza juu ya siku 90 au 120 za kuwafukuza mapacha watatu!! They know so much about him that they have blackmailed him hence incapacitating him completely!!
 
Back
Top Bottom