Nape kuwataja wanaoharibu CCM

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
5,023
2,553
Kada maarufu wa CCM ndugu Nape Nnauye ameeleza kubaini kundi la watu waliojipanga ambao wanafanya kila jitahada ili kuhakikisha kuwa chama hicho kinasambaratika.

Nape alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari kwamba anawajua kwa majina watu hao wanaojitagidi kupandikiza fitina na kuwataka waache mara moja kufanya hivyo vinginevyo muda wowote atawataja kwa majina.

Source: Gazeti la Nipashe ukurasa wa tatu
 
Awataje lakini aanze na yeye mwenyewe coz yeye anafanya bomoabomoa kwa nguvu zake zote'
 
Utshangaa akiwataja,
Wa kwanza Dr Slaa,
wa pili John Mnyika,
list yote itajaa,
wapinzani.
 
uzuri anajua kuwa chama ni kimoja ila kina makundi na kila kundi linajiona lipo sawa na linajitahidi kulisambalatisha jenzake

na yeye ana kundi linalo pigana kuua makundi mengine

mwisho wa siku chama kinakufa kirahisi sana - Atakapo taja asijisahau yeye kwani naye anachangia sana
 
Akamalizie kazi ya kuvua magamba ambayo haijafanyika kwanza. Asijilundikie na hili kwani kazi ya kuwatimua mafisadi CCM hajaikamilisha hata chembe.
 
...kama ni kuwataja mbona alishawataja!,tunachotaka kusikia ni lini anawavua magamba?...
 
kada maarufu wa ccm ndugu nape nnauye ameeleza kubaini kundi la watu waliojipanga ambao wanafanya kila jitahada ili kuhakikisha kuwa chama hicho kinasambaratika.nape alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari kwamba anawajua kwa majina watu hao wanaojitagidi kupandikiza fitina na kuwataka waache mara moja kufanya hivyo vinginevyo muda wowote atawataja kwa majina.

Source : Gazeti la nipashe ukurasa wa tatu
hajui wala nini. Nape acha kutisha watu. Ndo maana mukama alisema mtoto si riziki huyu hataki kuzingatia alichoambia. 'wewe si tulikuambia Usiende igunga " alipopuuza akakutana na baunsa mmoja
 
Kwenye hiyo orodha asiwasahau;
-Makinda
-Ndugai
-Mabumba
-Mwigulu
-Eng. Manyanya
-Mzee wa Kibajaji
Mwisho kabisa yeye mwenyewe!
 
Kundi litakuwa
1. CDM
2. Madaktari
3. Waalimu
4. Wanafunzi wa vyuo vya Elimu ya juu
5. Wanafunzi wanaosoma shule za kata
 
Wa kwanza ni yeye wa pili mwenyekiti wao tatu member wote wa ccm
 
sio tena CDM? du ilianza mafisadi ikawashindwa, CDM ikawashinda pia naona sasa ni wenyewe kwa wenyewe. Picha linaendelea na staring ndio keshakufa.
 
Utshangaa akiwataja,
Wa kwanza Dr Slaa,
wa pili John Mnyika,
list yote itajaa,
wapinzani.

Ingekuwa wapinzani sasa hivi tayari keshawataja. We hujui kuwa kaona akitoa singo kwa kufanya kuweka mistar ya upinzani haiuzi tena yaani ishachuja kama zile za mr nice...
 
Huu mchezo wa kuogopana huu, siku zina kwenda hakuna utekelezaji, chama kinapoteza imani siku hadi siku. Mwenyekiti aalea makundi chama kinakufa hivihivi anaona kwa macho!
DHAIFU KWELI NI DHAIFU!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom