Nape kuwahadaa wananchi mjini Songea leo

kuku dume

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
414
62
Jana jumamosi nilipokuwa kwenye mishughuliko yangu nilisikia matangazo ya gari ililokuwa likizunguka katika viunga vya mji wa Songea likitangaza kwamba kijana Nape atahutubia wananchi juu ya uhalisia wa mambo.

Ninajua kwamba hakutakuwa na watu wengi kwenye mkutano huo maana wanaruvuma wamesema basi tena. Hili linadhihirishwa na matukio na matokeo ya hivi karibuni katika maandamano na uchaguzi mdogo wa kata ya Lizaboni.

Mytake: M4C IJE RUVUMA HARAKA IWEZEKANAVYO.
 
Ukilewa ushabiki wa vyama ni shida kweli,

Si usubiri aongee ndo uje kujudge alichosema. sasa kama wanaruvuma hawamtaki kwa nini unaita M4C!

Washabiki mnatiana chuki wakati viongozi wenu wakikutana wanagonga glass na ku-enjoy life.
Tafakari!
 
kwani lipi la msingi alishawahi kuongea huyo Nape?
 
wewe kama unakula ujira wa mafisadi endelea tu kujipa moyo. hakuna mwanasiasa msema uongo na mwenye kauli za kubomoa kama huyu kijana..

ikiwa nitakuwa na uvumilivu wa kutosha ntaripoti kutoka kwenye eneo la tukio lakini haitakuwa rahisi kwangu kufika.
 
Back
Top Bottom