Nape kuwa makini sana

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Nape kutokana na vita uliyokuwa unaiendesha inabidi uwe makini sana ....sio kunywa kunywa mimaji tu juu ya meza zenu hizo au kutumia tumia vitambaa...kuna kitu kitaitwa ''polonium''...ni hatari...

''tunataka kuwalinda wanasiasa wachanga na machachari dhidi ya makupe'' kwa hio huu uzi mod msiutoe.
 
Nape mtoto mdogo tu, hawawezi kumpeleka India. Wazee wanajua anapayuka tu, hajui analolitenda. Sema sasa adhabu yake ni kuondolewa kwenye system ya CCM kabla au just after 2015, wakimhurumia sana anapigwa transfer Mtwara (kwa majukumu mengine ya kichama).
 
Mtoto haramu ni haramu na tabia zake ni za kiharamu! kama kweli NAPE ni mtoto wa nje ya Ndoa kama tunavyosikia basi alikosa mapenzi ya Baba na Mama na hivyo amekuwa na tabia ya kiharamu haramu!
 
huyu kautikisa sana mbuyu na ana effect hata kama sio kubwa wewe si unakumbuka lile gamba lililon'goka lilimtaja sana kwenye hotuba yake?
 
Mtoto haramu ni haramu na tabia zake ni za kiharamu! kama kweli NAPE ni mtoto wa nje ya Ndoa kama tunavyosikia basi alikosa mapenzi ya Baba na Mama na hivyo amekuwa na tabia ya kiharamu haramu!

mkuu huoni kuwa haya maneno yako hayana tija kwa taifa?
 
Nape kutokana na vita uliyokuwa unaiendesha inabidi uwe makini sana ....sio kunywa kunywa mimaji tu juu ya meza zenu hizo au kutumia tumia vitambaa...kuna kitu kitaitwa ''polonium''...ni hatari...

''tunataka kuwalinda wanasiasa wachanga na machachari dhidi ya makupe'' kwa hio huu uzi mod msiutoe.
Kenge huwa hasikii mpaka umpige hadi damu zimtoke maskioni nda ataskia.
 
Mtoto haramu ni haramu na tabia zake ni za kiharamu! kama kweli NAPE ni mtoto wa nje ya Ndoa kama tunavyosikia basi alikosa mapenzi ya Baba na Mama na hivyo amekuwa na tabia ya kiharamu haramu!
Ingawa Simpendi nape na pia Siipendi CCM, lakini hapa hujaongea kitu cha maana.....Hakuna mtoto haramu na halali..kwani huyo haramu alitokea mbele au nyuma? si wote wametokea sehemu moja? Acha kuwa mfuasi wa misemo inayotugawa bila sababu ya msingi ilihali sisi wote ni watoto wa mungu..na hii Dunia ni ya mungu kwa ajili ya watu wote....Usirudie tena kumuita binadamu mwenzio haramu.
Labda ungesema hivi....NAPE NA CC, NEC, CCM NI VIGEUGEU WALIOSHINDIKANA!
 
Ingawa Simpendi nape Siipendi CCM, lakini hapa hujaongea kitu cha maana.....Hakuna mtoto harama na halali..kwani huyo haramu alitokea mbele au nyuma? si wote wametokea sehemu moja? Acha kuwa mfuasi wa misemo inayotugawa bila sababu ya msingi ilihali sisi wote ni watoto wa mungu..na hii Dunia ni ya mungu kwa ajili ya watu wote....Usirudie tena kumuita binadamu mwenzio haramu.
Labda ungesema hivi....NAPE NA CC, NEC, CCM NI VIGEUGEU WALIOSHINDIKANA!
mkuu umeongea sawa hapa tatizo sio kumsema nape peke yaje tatizo ni ccm nzima ndio imeoza
 
Nape kutokana na vita uliyokuwa unaiendesha inabidi uwe makini sana ....sio kunywa kunywa mimaji tu juu ya meza zenu hizo au kutumia tumia vitambaa...kuna kitu kitaitwa ''polonium''...ni hatari...

''tunataka kuwalinda wanasiasa wachanga na machachari dhidi ya makupe'' kwa hio huu uzi mod msiutoe.

Inabidi aangalia maadui wengine sio size yake kabisa wamemzidi kwa kila kitu wanamwonea huruma tu
 
Wana JF mnakumbuka tulimshauri sana Nape kwamba 'He needed to tread very carefully'. Sababu tuliyompa ni kwamba alikuwa anatumika kuwaponda aliowaita mafisadi na kusema wasipotoka wenyewe watawatoa.

Nakumbuka hata wakati wa mjadala fulani akiwa na Marando na Jussa aliwaambia chadema 'Nyie hamthubutu kumfukuza Shibuda maana chama chenu kitasambaratika.

Sisi CCM tunaenda kuwafukuza mapacha watatu na chama kitabaki imara'. Tukamshauri aache kutumika labda tu kama alikuwa anaamini kweli kuwa hayo anayoyazungumza mabosi wake walikuwa wanayaamini.

Kilichotokea mabosi wake wamemkana na hivyo yeye ndie anaonekana tatizo ndani ya ccm. Alipofika Nape nakushauri ujipime na ujiuzulu. Kwanza ni embarassment kubwa sana kukanwa mbele ya umma na kuonekana mbea.

Pili vita vyako vya ufisadi vimefika mwisho. Tatu, kambi yako ya akina sitta haina meno tena na hawana nafasi tena ndani ya chama. Karinu chadema kijana unafaa bado lakini iwe kabla hujafa kabisa kisiasa
 
Nape ana heshima wapi?hata househgirl wake tu hamuheshimu itakuwa wananchi..lile ni kama door mat la cho cha bar...limetumiwa sasa anaungua peke yake..na kwa msimamo ule wa akina lowassa haki ya mungu nape haponi
 
Mtoto haramu ni haramu na tabia zake ni za kiharamu! kama kweli NAPE ni mtoto wa nje ya Ndoa kama tunavyosikia basi alikosa mapenzi ya Baba na Mama na hivyo amekuwa na tabia ya kiharamu haramu!
Tujadili hoja na sio mtu. Huna haki ya kumhukumu mtu kutokana na wazazi wake, kwani wewe au yeye mlipata nafasi ya kuwachagua wazazi waliowazaeni?, wacha ujuha wako wewe.
 
msameheni, hajui atendalo. Wote tumetokana na mbegu za kiume na akiwemo huyo. Au mwenzetu alitoka kama mnazareti?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom