Nape kuvaa cheni za gold maana yake nini?

calmdowndear

JF-Expert Member
Jul 12, 2011
605
273
NAPEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.JPG

Nijuavyo mimi Gold ni pambo la mwili na pambo maana yake linalenga kuvutia mbele ya macho ndio maana wanawake wanapenda sana kuvaa mapambo ya dhahabu kwani pamoja na kupendezesha mwili bali pia inasemekana hulainisha mwili

sasa cha kujiuliza ni kwa nini mwanamme ambaye ni rijali anavaa chen ya Gold not only shingoni bali hata mikononi?

Je Nape anajaribu kutupatia message gani au kuna jambo anajaribu kutueleza INDIRECTLY?

Je CCM mliopo humu mnaona huu ni mfano bora au ndio mnaanza kujionyesha mko inclusive of all sorts of pple?

Ingekuwa ndugu yake wa kike Bimdogo kavaa cheni ningeelewa lakini hata huyo bimdo mwenyewe havai haya madubwasha iweje huyu jamaa anaona poa tuuu?
 
Mazee this is 2011, uko chini ya pango gani la ki-Taliban?

Nini Nape, watu tumeona Mkapa rais anavaa gold, na Balozi Cisco Mtiro Mkuu wa itifaki amevaa hereni.

Akikwambia ni katika kuitangaza dhahabu ya Tanzania utamwambiaje? Akikwambia kwao utamaduni wa mwanamme kuvaa dhahabu kuonyesha uwezo upo tangu zamani utasemaje?

Kuna mambo na vijambo, hiki kijambo.
 
Mbona Mkapa alikuwa anavaa Cheni na bado anavaa mpaka leo lakini hatukusema na hatumsemi? Ni ngumu kuieleza lakini laiti ningekuwa na uwezo, hakuna public figure ingekuwa inaruhusiwa kuvaa vitu kama hivi!!!.

Tiba
 
Kwa hili,cna cha kumponda nape,ana uhuru wa kuvaa chochote atakacho mazee.
 
Crap thread, sio lazima uanzishe thread jifunze kwanza kwa kuangalia wanayopost members wengine, huu ni utoto na kumbuka hapa sio facebook.
 
Just like any sane person would, he's putting his money where his mouth is kama hana akili nzuri vile...do you have a problem with that? Its supposed to be good for the economy, you know?
 
Hoja hii si hoja. Je, ulikuwa unataka kusema kitu kama kuvaa cheni ya DHABABU ni gharama sana? Mbona wanaojiita marais wa masharobaro wanavaa? Basi hebu angalia rafiki zako wa karibu hawana hata kacheni? Bila shaka hiyo ni lifestyle yake...kama ambavyo mimi sijawahi kuvaa cheni wala sitaraji kuvaa. Zote hizo ni lifestyle tu.

Leo tunauliza Cheni, kesho tutauliza saa, kisha tutauliza nguo, pia unaweza kutaka kujua kwanini anavaa boxer ya aina fulani... Ungehoji utendaji ningeona umeleta hoja ya maana sana. Lakini si lifestyle ya mtu.
 
Mbona hata waziri Bernard Membe anavaa chain ya dhahabu , hii ni matakwa ya kila mtu unaweza kuvaa chochote ili mradi hauvunji sheria za nchi. Kuna picha wamemtoa katibu wa CCM Mukama amevaa kofia oficn na wala sio issue. Mtoa mada kama unachukia watu kuvaa cheni basi ni wewe lakini kisheria wala sio kosa na kwa taarifa yako kuvaa cheni ni utamaduni wa asili wa mwafrika toka enzi za mababu na viongozi karibu wote wa kijadi uvaa cheni
 
sidhani kama ni suala la kujadili hapa! we should have constructive threads here for the benefits of our society....
 
Ikiwa cheni tuu inakuwa mwao, jee, wanao zaa na wake za watu iweje? compare!
 
Calm acha ushamba na maswal ya kijinga!ndo mana wa-kenya wanatudharau sana wa-tz,sasa ka anavaa si ni yeye?angevaa mguun au sikion ingekuwa mada nyingine!ni hulka yake,ni sawa na mavaz,mwingne anapenda kaptula,mwingne mwanaume lakin anapga jeans vimodo!acha bana calm na maswaliyo
 
hii thread imekaa kikomedi komedi!! correction ...kichwa cha habari kilitakiwa kiwe...'Nape aweka wazi mrengo wake wa u***ga'
 
NAPEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.JPG

Nijuavyo mimi Gold ni pambo la mwili na pambo maana yake linalenga kuvutia mbele ya macho ndio maana wanawake wanapenda sana kuvaa mapambo ya dhahabu kwani pamoja na kupendezesha mwili bali pia inasemekana hulainisha mwili

sasa cha kujiuliza ni kwa nini mwanamme ambaye ni rijali anavaa chen ya Gold not only shingoni bali hata mikononi?

Je Nape anajaribu kutupatia message gani au kuna jambo anajaribu kutueleza INDIRECTLY?

Je CCM mliopo humu mnaona huu ni mfano bora au ndio mnaanza kujionyesha mko inclusive of all sorts of pple?

Ingekuwa ndugu yake wa kike Bimdogo kavaa cheni ningeelewa lakini hata huyo bimdo mwenyewe havai haya madubwasha iweje huyu jamaa anaona poa tuuu?

Amekula na kuvimbiwa kama Mafisadi wenzake waliopo kwenye Chama Cha Majambazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom