Nape KUUNGURUMA MBEYA Kesho tar.16/07/2011

Nipe tano

Senior Member
Jun 16, 2011
100
27
Habar nilizo nazo katika mkutano WA Kesho mjini MBEYA vuvuzela WA CCM Nape Nnauye atakuwepo pia. Mhhh hii timu ya Nape,Sita, Mwakyembe,Olesendeka,Mama Kilango nasikia na Nyalando imekaaje?kilikoni MBEYA !????
 
Nyalandu yule aliyechakachua vyeti?
 
Habar nilizo nazo katika mkutano WA Kesho mjini MBEYA vuvuzela WA CCM Nape Nnauye atakuwepo pia. Mhhh hii timu ya Nape,Sita, Mwakyembe,Olesendeka,Mama Kilango nasikia na Nyalando imekaaje?kilikoni MBEYA !????

hii ndiyo kambi ya CCM ambayo inataka kuongoza 2015 - ile kambi ya wana CCM mtandao vipi tena? akina JK, RA, EL, January n.k
 
Habar nilizo nazo katika mkutano WA Kesho mjini MBEYA vuvuzela WA CCM Nape Nnauye atakuwepo pia. Mhhh hii timu ya Nape,Sita, Mwakyembe,Olesendeka,Mama Kilango nasikia na Nyalando imekaaje?kilikoni MBEYA !????
inaonekana ni mwenderezo wa kujisafisha kuvua gamba hawatakosa kusema r a kujivuwa mbeya muwahoji kodi na rathilimali zetu alizo iba atazirudisha lini? umeme umefanyika uhuni ili wahalarishe mikataba ya kuiba pesa ya uchaguzi 2015 mugao ni wakutengeneza ili waendele kutuibiya
 
Habar nilizo nazo katika mkutano WA Kesho mjini MBEYA vuvuzela WA CCM Nape Nnauye atakuwepo pia. Mhhh hii timu ya Nape,Sita, Mwakyembe,Olesendeka,Mama Kilango nasikia na Nyalando imekaaje?kilikoni MBEYA !????
Hiyo ni kambi ya CCM-J
 
Habar nilizo nazo katika mkutano WA Kesho mjini MBEYA vuvuzela WA CCM Nape Nnauye atakuwepo pia. Mhhh hii timu ya Nape,Sita, Mwakyembe,Olesendeka,Mama Kilango nasikia na Nyalando imekaaje?kilikoni MBEYA !????

Mbona umesema atanguruma? toka lini panya akanguruma? watu wa kunguruma(Slaa & co) walishapita huko kitambo....
 
Aibu kubwa itawakuta labda wakasombe watu vijijini na malori kama kawaida yao ili wajaze maandamano na mkutano wao wamechemka biiigggg tyyyyyme
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom