Nape kutikisa Arusha/Moshi Jumamosi wiki hii

Eti Arusha. Ujinga mtupu. JK mwenyewe kaishindwa sembuse hilo vuvuzela ?
 
Namuonea huruma kama masela wa Arusha hawajampiga mawe basi ategemee kuzomewa na kina mama.

Halafu mbona huyu dogo ni mvivu wa kujifunza na kusoma alama za nyakati
 
Yep,CCM by blood.Arusha will never belong to CDM,and yes I wanna bet!
Kobello wewe si mruguru mambo ya Arusha yanakuwashia nini mkuu?Nadhani machari wa AR wanaweza kuwapopoa kwa mawe maana sasa hivi AR hamna kabisa umeme wanauona masaa mawili tu tena usiku wa manane halafu waende watu na vitambi vyao wanaokula kodi zao kuwaambia eti wao ni nyoka wa shaba? Utaniambia!
 
Haya sasa Magwanda na Magamba mnakutana Arusha yetu macho
 
Habari ZA uhakika, BAADA ya kufanikiwa MBEYA Yule vuvuzela WA CCM kutua Arusha JUMAMOSI wataandamana na kuhutubia mkutano WA hadhara stendi KUU Arusha.


Source; CCM HQs

kaka una uhakika hapo peusi? nasikia kanunua kadi za CDM feki - Mbeya, Arusha, Mwanza, Moshi - huko anajisumbua tu. Ngome yake imebakia singida mjini na bagamoyo na tabora mjini.
 
Habari ZA uhakika, BAADA ya kufanikiwa MBEYA Yule vuvuzela WA CCM kutua Arusha JUMAMOSI wataandamana na kuhutubia mkutano WA hadhara stendi KUU Arusha.


Source; CCM HQs
Stand kuu kwa wapi? au Sheikh Amri abeid? mbona pale hamna uwanja wa kufanyia mkutano labda wasitishe shughuli zoote za stand. Halafu hapo Pangani, Bondeni na mitaa inayozunguka hapo uswahilini kuna wafuasi wa ccm ila wako kwa ajili ya maslahi ka wauza na wala mirungi pamoja na vijana wa akiboa ambao hutoza hela kwa coaster zinazopakia na wanajua tu wakiasi wanapigwa chini labda wawatumie wao kwa nini wasifanyie NMC? au wanawaogopa wafuasi wa TLP na CDM wa ngalimiiiiiiii
 
Stand kuu kwa wapi? au Sheikh Amri abeid? mbona pale hamna uwanja wa kufanyia mkutano labda wasitishe shughuli zoote za stand. Halafu hapo Pangani, Bondeni na mitaa inayozunguka hapo uswahilini kuna wafuasi wa ccm ila wako kwa ajili ya maslahi ka wauza na wala mirungi pamoja na vijana wa akiboa ambao hutoza hela kwa coaster zinazopakia na wanajua tu wakiasi wanapigwa chini labda wawatumie wao kwa nini wasifanyie NMC? au wanawaogopa wafuasi wa TLP na CDM wa ngalimiiiiiiii

i hope pia ulinzi utakuwa mkubwa kuliko ule wa rais bill clinton alivyotua arusha laa sivyo kuna mtu (nape) atavuliwa nguo na wanachi live kwa hasira ya ndugu zao waliouawa na askari wa magamba, na hasira ya kuwa gizani miaka 3 sasa.
 
You think so?Lema hawezi kusimama na Kinana hata siku moja,we gave you Arusha and you are f2#king it up big time!

we unahisi nani ana nguvu Kinana ana support ya wauza na wala mirungi, na Lema ana nguvu ya mapusher na wala ganja sasa wapi ni wengi?
 
Namuonea huruma sana maana ataishia kuzomewa na kuonyeshwa vidole viwili! Arusha sio pa kuingia hvhv!
 
Habari ZA uhakika, BAADA ya kufanikiwa MBEYA Yule vuvuzela WA CCM kutua Arusha JUMAMOSI wataandamana na kuhutubia mkutano WA hadhara stendi KUU Arusha.


Source; CCM HQs

Hapa ndipo ninapowashangaa watanganyika. Nashangaa kweli kweli. Maana unajiuliza hivi hawa wanaoshabikia hiki chama cha magamba na kuandamana na kuimba nyimbo barabarani wao wana maisha tofauti na wengine katika nchi hii?? Kweli ndiyo maana hata hawa watawala wanajifanyia wanavyotaka. Huwezi kuamini na Inflation yote hii, na ukosefu wa umeme na matatizo lukuki, mtu anaamka asubuhi hajui siku itaishaje, hajui watoto watasomaje, watavaaje, nakadhalika nakadhalika, ndiyo unamkuta mtu huyo huyo anayeteseka katika nchi yake anakwenda kuwapigia makofi na kuwaimbia nyimbo za kuwapongeza watu kama nyape na kundi lake... Hapa ndipo ninapoona kizunguzungu. Watanganyika tuna safari ndefu mno mpaka akili zetu zifunguke. Mungu tusaidie.
 
Habari ZA uhakika, BAADA ya kufanikiwa MBEYA Yule vuvuzela WA CCM kutua Arusha JUMAMOSI wataandamana na kuhutubia mkutano WA hadhara stendi KUU Arusha.


Source; CCM HQs

Kutokana na sababu za kiintelijensia, IGP-Mr Said Mwema ameamuru mkutano wa Nape ambao umepangwa ufanyike this Saturday ufutwe ASAP!
 
Naomba niwasaidie CCM nini wakifanye ili kurudisha imani za watanzania.

Wananchi wa Tanzania wameamka kisiasa. Wana upeo mkubwa na uelewa. Wanaelewa wazi kwamba wananchi wengi 90% ni watumwa ndani ya nchi yao. Na ni watanzania wachache sana 10% wamekamata nchi na mapato yote ya nchi. Na hao 10% wametumia na wanaendelea kutumia mgongo wa CCM kuimaliza Tanzania. Chadema wanafanya maandamano kila kukicha kuendelea kuishtaki CCM kwa wananchi. Hivyo basi CCM inapaswa kuwafukuza wezi wote ndani ya CCM (List of shame) na kuwachukulia hatua kali za kisheria bila kuchelewa. Ikiwa ni pamoja na kuwapeleka magerazani wahusika wote na kuwanyang'anya mali zao zote bila kuwaonea haya. Na rudisheni azimio la Arusha, wafundeni viongozi wenu kwa maana kwamba rudisheni chuo cha chama kigamboni ambacho kilikuwa na kazi ya kuwapika na kuwafundisha maadili viongozi ama viongozi watarajiwa. Kulifanya hili CCM haina haja wala sababu ya kufanya maandamano kwani kila kitu kiko wazi. Hakuna kitu kipya ambacho CCM wataweza kuwaeleza watanzania ili kuweza kueleweka kwa sasa zaidi ya kufanya hayo niliyo shauri hapo juu. Najua ni jambo gumu lakini ni hekima kulifanya sasa kuliko kuchelewa, kwani wahenga walisema usipoziba ufa utajenga ukuta.


You may be wrong. Ukitaka kuelewa kama watanzania wameshaamka angalia mikutano ya chama cha magamba. Hicho ndiyo kipimo unachoweza kuona kama watanganyika kweli wamechoka kuburuzwa na kunyimwa haki zao. Wako waliokwishaamka kweli na kuelewa kinachoendelea katika nchi hii lakini ni wachache mno kulinganisha na asilimia uliyotoa. Safari bado ni ndefu
 
You think so?Lema hawezi kusimama na Kinana hata siku moja,we gave you Arusha and you are f2#king it up big time!

Sidhani kama Arusha inakuwa kama usemavyo hapo kwa kimombo bali pale inachezwa polical games na waambieni na CCM wameisha warubuni madiwani wa CDM kuwa nyie ni wajinga hao wenzenu wabunge wao wana kula je nyinyi inakuwa je kumbe CCM waliwahi au wali danganya au kuchukua u mayor kwanguvu na kufanya mipango yote na ndipo hapo wana CDM madiwani wanapo zozana na mbunge wao kuwa nae Lema alikuja na kulopoka kwa vyombo vya habari bila kuwaita madiwani mbali na tofauti zao still mimi najua ni Njaaaaaa ndio zinazo wauma na wanachukulia kigezo ntawaaambia nini hawa
 
Nimehuzunika sana kusikia wewe ni mwanamagamba! I can't believe it!
I don't belong or affiliated to any political party in this country, but the idea of someone as smart as you belonging to magamba just make my stomach sick.....esp. after all these decades of sufferings, endless poverty, corruption, mgawo wa umeme etc.....Seriously!
I'm just shaking my head in disbelief, Kobello!!

Kwa umri wake(kwenye avatar )nadhani kuwa mwanamagamba si mbaya!
 
Jamani msimshangae huyo mwenezi wa magamba utotoni alisumbuliwa sana na magonjwa ya degedege na kifaduro, so ktaalam ingawa alipona lkn impacts hujionyesha ktk umri ule hvyo basi msilamlaumu sana.
 
Hivi polisi hayo maandamano ya chadema hayana fununu za kiintelejensia maana naona wametulia tuu????
 
Back
Top Bottom