Nape kutikisa Arusha/Moshi Jumamosi wiki hii

Naomba niwasaidie CCM nini wakifanye ili kurudisha imani za watanzania.

Wananchi wa Tanzania wameamka kisiasa. Wana upeo mkubwa na uelewa. Wanaelewa wazi kwamba wananchi wengi 90% ni watumwa ndani ya nchi yao. Na ni watanzania wachache sana 10% wamekamata nchi na mapato yote ya nchi. Na hao 10% wametumia na wanaendelea kutumia mgongo wa CCM kuimaliza Tanzania. Chadema wanafanya maandamano kila kukicha kuendelea kuishtaki CCM kwa wananchi. Hivyo basi CCM inapaswa kuwafukuza wezi wote ndani ya CCM (List of shame) na kuwachukulia hatua kali za kisheria bila kuchelewa. Ikiwa ni pamoja na kuwapeleka magerazani wahusika wote na kuwanyang'anya mali zao zote bila kuwaonea haya. Na rudisheni azimio la Arusha, wafundeni viongozi wenu kwa maana kwamba rudisheni chuo cha chama kigamboni ambacho kilikuwa na kazi ya kuwapika na kuwafundisha maadili viongozi ama viongozi watarajiwa. Kulifanya hili CCM haina haja wala sababu ya kufanya maandamano kwani kila kitu kiko wazi. Hakuna kitu kipya ambacho CCM wataweza kuwaeleza watanzania ili kuweza kueleweka kwa sasa zaidi ya kufanya hayo niliyo shauri hapo juu. Najua ni jambo gumu lakini ni hekima kulifanya sasa kuliko kuchelewa, kwani wahenga walisema usipoziba ufa utajenga ukuta.
 
Filbert Bay alitesa duniani wakati Tanzania inatawaliwa na TANU.

Ilipozaliwa CCM, tukazipiga na nduli Iddi Amini na kuanzia hapo hadi leo tunazidi kufunga mikanda.
1980 Taifa stars.But thats not the issue.
 
Wafuasi watatoka arumeru na simanjiro!safari hii monduli halitoki roli hata moja.kama kawaida arusha mjini wasahau!
 
You think so?Lema hawezi kusimama na Kinana hata siku moja,we gave you Arusha and you are f2#king it up big time!
kobello michango yako mingi inaonyesha wewe ni kazee flani hivi but huu wa leo unadhihirisha you are just a kid unayehadithiwa matukio na babu yako.
 
kobello michango yako mingi inaonyesha wewe ni kazee flani hivi but huu wa leo unadhihirisha you are just a kid unayehadithiwa matukio na babu yako.
Mkuu nadhani kama Arusha ingekuwa ni ngome,meya wa jiji asingekuwa CCM.Msingegawana kura/kula na CCM,afadhali ya Arumeru (ambayo wewe unadhani ni CCM).
 
Jamani Nape ni Mwanasiasa kabisa pamoja na critics kibao lakini ameendelea kuchanja mbuga! Siasa ni kuwa na roho ngumu!
 
Hivi humu JF wengi naona tupo kiitikadi zaidi kuliko facts. Imagine wewe member ni mwalimu, utahutubu itikadi yako ama facts. Tusitumie kutoelewa kwa waTZ wengi kuwapotosha, ni vizuri kueneza ukweli ili wananchi wote tuwe na msimamo sahihi. Nilibahatika kusoma riwaya ya KULI, nilimkubali sana Chonya wa Chilinwa alivyokuwa responsible na kumuhudumia jamaa pale stand alipokuwa anapiga debe na kumpeleka Hospitali ingawa watu walimchukulia ni chizi. Alitoa msaada mkubwa na wa muhimu kuliko watu waliokuwa na uwezo na nafasi zao. Ni vizuri tusithamini watu kwa majina yao, bali kwa uhalisia wao unaohitajika kwenye jamii pamoja na huduma waliyojitolea. Inaleta maana zaidi tukimthamini mtu klwa mchango wake chanya kwenye jamii kuliko umaarufu/usomi/utajiri wake.
Acha Usanii bana!
Katika tamthilia ya KULI, main character sio Chonya wa Chilonwa, bali anaitwa RASHID!
 
Habari ZA uhakika, BAADA ya kufanikiwa MBEYA Yule vuvuzela WA CCM kutua Arusha JUMAMOSI wataandamana na kuhutubia mkutano WA hadhara stendi KUU Arusha.

Source; CCM HQs

Tunamkaribisha sana Nape A town aje tuzisikie hizo pumba zake na magamba yake, ila akiongea tu kuhusu suluhu ya Meya na Naibu meya tutamshusha maana Arusha tunambunge na madiwani tu. mpaka hapo mbunge wetu tuliye mchagua kwa kura nyingi nyingi atakapo tuambia hatima ya jiji letu.

Pia vuvuzela Nape asije akazungumzia kitu kinachoitwa Amani kwani amani kwetu isiyo na maendeleo ni kichefuchefu, tunataka Nape atuambie serikali yake inatoka madarakani lini? atuambie mafisadi wanafikishwa mahakamani lini, atuwambie fedha zetu za, EPA,KAGODA,MEREMETA na nyingine nyingi zinarudishwa lini. haya ni maswala muhimu kwa Nape atakayokutana nayo lasivyo atashuka jukwaani kwa msaada wa polisi.

Arusha hatujazoea kucheza viduku wala mchiriku huku ni vitendo tu maneno baadae.
 
Naomba niwasaidie CCM nini wakifanye ili kurudisha imani za watanzania.

Wananchi wa Tanzania wameamka kisiasa. Wana upeo mkubwa na uelewa. Wanaelewa wazi kwamba wananchi wengi 90% ni watumwa ndani ya nchi yao. Na ni watanzania wachache sana 10% wamekamata nchi na mapato yote ya nchi. Na hao 10% wametumia na wanaendelea kutumia mgongo wa CCM kuimaliza Tanzania. Chadema wanafanya maandamano kila kukicha kuendelea kuishtaki CCM kwa wananchi. Hivyo basi CCM inapaswa kuwafukuza wezi wote ndani ya CCM (List of shame) na kuwachukulia hatua kali za kisheria bila kuchelewa. Ikiwa ni pamoja na kuwapeleka magerazani wahusika wote na kuwanyang'anya mali zao zote bila kuwaonea haya. Na rudisheni azimio la Arusha, wafundeni viongozi wenu kwa maana kwamba rudisheni chuo cha chama kigamboni ambacho kilikuwa na kazi ya kuwapika na kuwafundisha maadili viongozi ama viongozi watarajiwa. Kulifanya hili CCM haina haja wala sababu ya kufanya maandamano kwani kila kitu kiko wazi. Hakuna kitu kipya ambacho CCM wataweza kuwaeleza watanzania ili kuweza kueleweka kwa sasa zaidi ya kufanya hayo niliyo shauri hapo juu. Najua ni jambo gumu lakini ni hekima kulifanya sasa kuliko kuchelewa, kwani wahenga walisema usipoziba ufa utajenga ukuta.

huu ushauri ungempelekea mukama pale lumumba
 
Title ya thread ina utata.Nape anatikisa Arusha kwani hilo ni tawi la mwembe?.........halafu haya magamba si yamelalamika sana kuwa maandamano hayatakiwi kwa kuwa yanavunja amani?
 
aaah jamani tuna haki sawa hapa JF, tupo sisi CCM ila binafsi sikubaliani na muono huu uitwao Magamba, naona kama tunajidharirisha zaidi baada ya kujijenga.....CCM tupo jamani, hatuionei haya kwani tunasimama kwenye ukweli na na sio siasa za upepo.....
 
Tunamkaribisha sana Nape A town aje tuzisikie hizo pumba zake na magamba yake, ila akiongea tu kuhusu suluhu ya Meya na Naibu meya tutamshusha maana Arusha tunambunge na madiwani tu. mpaka hapo mbunge wetu tuliye mchagua kwa kura nyingi nyingi atakapo tuambia hatima ya jiji letu. Pia vuvuzela Nape asije akazungumzia kitu kinachoitwa Amani kwani amani kwetu isiyo na maendeleo ni kichefuchefu, tunataka Nape atuambie serikali yake inatoka madarakani lini? atuambie mafisadi wanafikishwa mahakamani lini, atuwambie fedha zetu za, EPA,KAGODA,MEREMETA na nyingine nyingi zinarudishwa lini. haya ni maswala muhimu kwa Nape atakayokutana nayo lasivyo atashuka jukwaani kwa msaada wa polisi.Arusha hatujazoea kucheza viduku wala mchiriku huku ni vitendo tu maneno baadae.
Kilewo: huyo vuvuzela haijuagi Arachuga ati, tutamfanya hamna mwambie amuulize OCD wao zuberi anaijua Arachuga ikoje. Sasa ngoja aje hapa na ngonjera zake za kinepi nepi tumpe ukweli
 
Habari ZA uhakika, BAADA ya kufanikiwa MBEYA Yule vuvuzela WA CCM kutua Arusha JUMAMOSI wataandamana na kuhutubia mkutano WA hadhara stendi KUU Arusha.

Source; CCM HQs

Sijaona alipofanikiwa huko Mbeya zaidi ya kuwadanganya wananchi na kununua kadi za CDM. Stendi Arusha hamna sehemu mkutano wa hadhara utaweza kufanyika labda aseme anataka kuvuruga tu shughuli za wananchi.
 
Back
Top Bottom