Nape kupanda kizimbani Arusha kwa kutoa hukumu kabla ya jaji

Huna lolote, We ndala tu thamani yako chooni chumbani unaishia mlangoni!!!!!

Huyu dizaini ndio bingwa wa mipasho kanda ya kaskazini!sina cha kukujibu,angle hiyo siko sana,mtafute mzee makamba!samahani sana kwa kuniudhi kwa mara ya pili!
 
Chooni unamfata aku Cameroon? Wengine tunamsikia majukwaani wewe unamfuata hadi chooni alafu unamwita mdogo, amakweli unamjua Nape mh. ROMANTIC !

wewe acha ushamba aliekwambia mchezo huo unafanyika chooni ni nani kamanda!labda huko kwenu arusha,mfereji wa maji taka unatumika popote tu kaka hata hapo ulipo kwenye laptop yako unawaza kupakatwa ukaendelea kutumia lap top yake hapo hapo,ni somo pana,hapa si mahali pake!hapa tuko katika kuamshana tukaikomboe nchi nzima sio arusha na hai tu!
 
wewe nawe bonge la kilaza tena umepitiliza, sasa nepi hapa amekufurahisha kwa sera ipi? kuingilia uhuru wa mahakama? au naye kuitwa mahakamani ni sera? kweli vihiyo wapo wengi.

Aisee wewe ndio umedhihirisha uki hiyo wako kwani inaonesha hata kusoma kiswahili kwako tabu,tafute mstari wowote niliompongeza huyo nape wenu uuweke hapa,acha kudandia treni kwa mbele dogo
 
Anatia huruma mama yako anayenyonywa na CCM wakati wewe unashangili,shame on you.

wewe yafaa ukazwe kitako kufundishwa siasa!tatizo lako ni kubwa zaidi kuliko wenzako!usikubali kutumiwa kinyume na maumbile na akili yake kijana!funguka uwe open minded kidogo acha na siasa za maji taka za zidumu fikra za mwenyekiti!
 
kiukweli Nnape hana tofauti na Makamba kimwenendo na kufikiri baada ya kuongea isipokuwa wanatofautiana na kwani Makamba ni mfuasi wa Lowasa na wkt Nnape ni hasimu wa Lowasa kwa sababu alimkwamisha kuukwaa uenyekiti wa UVCCM
 
kiukweli Nnape hana tofauti na Makamba kimwenendo na kufikiri baada ya kuongea isipokuwa wanatofautiana na kwani Makamba ni mfuasi wa Lowasa na wkt Nnape ni hasimu wa Lowasa kwa sababu alimkwamisha kuukwaa uenyekiti wa UVCCM

kwanini hutaki kusema kwamba alipinga waziwazi mpango wa lowassa na rostam kujibinafsishia jengo la umoja wa vijana ambacho ndicho chanzo kikuu?au kwa kuwa lowassa ni mtu wa huko kwenu basi mnataka kubebana kiaina ili lengo lenu la kuhakikisha rais anatoka arusha kwa kuwa sasa ni "zamu yenu" kama magamba ya arusha yanavyodai?hivi chadema arusha na lowassa mna ndoa gani hiyo ya siri ambayo hamtaki wengine tuijue!we are watching you guyz!
 
ccm wanawaweka tu vilaza ktk hizo post tena wale wanaojua kupayuka kila neno bila hata kufikiri
shetani nae mjanja sana atawaumbua sana ili wasababishe nchi iingie vitani
mfumo dume wa kiutawala tuutoe kabisa sasa tunataka katiba ya serikali ya mpito
 
Mosses Nauye angekuwa hai lazima angemkana huyu mtoto wake. ni Mpumbavu sana
 
Jamani hebu tupeni yaliyojiri Mahakamani Arusha leo. acheni mipasho

Hawajui lolote linaloendelea na wako huko huko arusha!!!wao wanasubiri nape aropoke ndio waje kuweka maneno humu,ndio mana nikasema nape anawashughulisha sana hawa watu wakati ni mtu mdogo sana
 
Nasikia Nape kashinda kesi yake ya huko arusha!wapiganaji wa huko hebu tupeni usahihi wa hili hata kama hatulipendi lazima tulijue sawasawa!
 
Back
Top Bottom