Nape kupanda kizimbani Arusha kwa kutoa hukumu kabla ya jaji

Mbona unasomeka! Maana sasa hivi hakuna aibu kubwa kama mtu kujitangaza kwamba ni MwanaCCM, unless uwe kiongozi ndio unajikuta huwezi kujificha, sisi wenye akili zetu tumekuelewa Mkuu hatutamwambia mtu kwamba wewe ni Gamba.

Fikra mpauko!ni sawa sawa na kusema mimi kwa kuwa sio mchagga basi lazima nitakuwa mpare!ok bwana endeleeni kujifungia kwenye hivyo vyama vyenu mdumishe fikra za wenyeviti wenu!lakini mimi kujiunga na chama ng'o!na enjoy kuwa independent zaidi na kutoa mawazo yangu kama tax payer!

Nitaendelea kufanya maamuzi yangu kwa kutizama sera za mgombea husika kwa wakati husika, uchaguzi uliopita mfano mwanzo nilipomsikiliza slaa na jakaya kwa kuwa ndio walikua wanajitangaza zaidi niliona sera za slaa zinafaa kuliko jakaya lakini nilipokija kitazama mdahalo wa lipumba itv live pale moven pick nikachange mind kutokana na jinsi lipumba alivyoelezea jinsi atakavyoutendea uchumi wa tanzani,nikaona sera zake zinatekelezeka kirahisi kuliko za jakaya na slaa!

Lakini nyie watu wa vyama kutokana na kujifungia kwenye hivyo vyama sidhani hata kama mliwahi kumsikiliza Lipumba ama mgombea mwingine yeyote tofauti na hao wenyeviti na makatibu wa vyama vyenu, mimi nawaskiliza wote ndio nafanya maamuzi, hiyo ndio advantage ya kuwa na mfumo wa vyama vingi, lengo ni kuwa na choices nyie acheni ubwege, hivyo vyama ni kama makoti tu, ukilichoka unalivua!
 
Si kama hivi mnavyokuwa busy kukariri kila analoropoka hata akiwa choon?!Mnaacha ku deal na watu kama lowassa ambao ndio washindani wenu uchaguzi ujao mnadeal na mtu mdogo kama Nape!
Kushinikiza Lema kutema jimbo la Arusha unaona ni kitu kidogo! Wewe ni Nape Boys unalipwa kiasi gani, maana mko wengi hapa kulinda maslahi ya boss wenu?
 
Si kama hivi mnavyokuwa busy kukariri kila analoropoka hata akiwa choon?!Mnaacha ku deal na watu kama lowassa ambao ndio washindani wenu uchaguzi ujao mnadeal na mtu mdogo kama Nape!

Usisahau kuwa alikaririwa na Nipashe, kwani nipashe nao ni chadema?
 
Nape anawapatia kweli chadema nimeamini,maana kwa jinsi anavyowashughulisha mpaka mnatia huruma;ndio maana mimi sina chama naangalia sera zipi zinanivutia kutokana na wakati uliopo ndio napiga kura!ndio maana niko huru kusema chochote na kumgonga yeyote kutoka chama chochote nikihisi anachemka....
CCM kwa kujifanya hawana cham bwana! Anawapatia nn? Tigog au?
 
Anafanya kazi aliotumwa na wakubwa zake, kama hatumwi kwani tangu alivyoanza kuropoka kuna hatua zipi walizomchukulia zaidi ya kumsifia kijana anafanya kazi vizuri.
Waendelee hivyohivyo wanasema usimwamshe aliolala........! sasa waacheni wakizinduka tayari kumekucha

Watanzania mbona mnakua waoga hivyo??eti kuchukuliwa hatua!tatizo mfumo wa chama kimoja umewaharibu mpaka leo,watu mnaogopa kutoa mawazo tofauti na wakubwa kisa mnaweza kuchuliwa hatua!!!!

Jamani this is multi party system amkeni usingizini hatuko tena enzi za chama kimeshika hatamu,tumieni uhuru wenu kutoa mawazo mnayoyaamini hakuna kuchukuliana hatua wala kupotezana tena,si mnaona mimi ninavyo enjoy kutumia uhuru wangu na hakuna kiongozi yeyeote anaeniuliza ama kunitisha labda nyie wawili wa tatu hapa ambao mi nawachukulia ni waoga flani tu ambao bado mzimu wa chama kimoja unawaandama,ule wa chochote utakachosema mwenyekiti atakisikia then utachukuliwa hatua kali!

Amkeni wandugu wapendwa!
 
Chochote watakachofanya Arusha ni bure CCM kamwe haitakaa ishinde uchaguzi hapo........

kweli tuna kazi kubwa ya kuiondoa ccm madarakani,huyu bado anawaza arusha!!!what is arusha brother kwa li nchi likubwa kama tanzania???kama kweli tunataka kuing'oa ccm madarakani we need to think more than arusha na moshi!huo ndio ukweli otherwise tutaishia kushinda Hai,moshi,mjini na arusha tena mjini sio monduli wala simanjiro!
 
Kushinikiza Lema kutema jimbo la Arusha unaona ni kitu kidogo!!!!!!!!Wewe ni Napi Boys unalipwa kiasi gani, maana mko wengi hapa kulinda maslahi ya boss wenu???????

Kwa hiyo ulipenda watz wote wapenda mabadiliko tuhamie arusha ili mwizi wa magari mstaafu mh.Lema asitemeshwe ubunge??tuna kazi nyingine mzee ya kuikomboa nchi yote,mlioko arusha mpambane huko na wengine tunasonga mbele,arusha kwanza kwa sasa is not a big deal kwa upinzani,hata uchaguzi ukiitishwa leo ccm hawaezi tena kushinda hapo,labda kwa hizi tetesi kwamba kuna watu huko chadema arusha wanatajwa tajwa kushirikiana na lowassa na genge lake!muwatazame vizuri hao nyie watu wa huko,tumewaachia hiyo kazi cc tunasonga mbele maeneo mengine ambayo ukombozi umechelewa kuyafikia!
 
kweli tuna kazi kubwa ya kuiondoa ccm madarakani,huyu bado anawaza arusha!!!what is arusha brother kwa li nchi likubwa kama tanzania???kama kweli tunataka kuing'oa ccm madarakani we need to think more than arusha na moshi!huo ndio ukweli otherwise tutaishia kushinda Hai,moshi,mjini na arusha tena mjini sio monduli wala simanjiro!

Nani kakwambia Simanjiro ni Arusha wewe! Man'gaa
 
Mbona unasomeka! Maana sasa hivi hakuna aibu kubwa kama mtu kujitangaza kwamba ni MwanaCCM, unless uwe kiongozi ndio unajikuta huwezi kujificha, sisi wenye akili zetu tumekuelewa Mkuu hatutamwambia mtu kwamba wewe ni Gamba.

Sasa hivi sungura anafukuza mbwa kwenye windo. Ata viongozi wa CCM akiwemo president wanazomewa. Ukiwa mlalahoi ndo unachekwa hadi kutengwa mtaani. Huko Mara usingae kuona mbwa kavalishwa tshirt ya ccm
 
Nani kakwambia Simanjiro ni Arusha wewe! Man'gaa

mimi kwa kuwa ni mpinzani wa kweli wa ccm na serikali yake hii mikoa mipya ya ccm ilitengwa kisiasa(najua wewe mtoto mdogo hujui hii)siitambui!samahani sana kwa kuniudhi!
 
Sasa hivi sungura anafukuza mbwa kwenye windo. Ata viongozi wa CCM akiwemo president wanazomewa. Ukiwa mlalahoi ndo unachekwa hadi kutengwa mtaani. Huko Mara usingae kuona mbwa kavalishwa tshirt ya ccm

ulikua unataka kusema nini pengine kamanda;labda tunaweza kukusaidia kufikisha ujumbe ulioukusudia wakati unajipinda kuandika hiyo mistari yako miwili!
 
Nape anawapatia kweli chadema nimeamini,maana kwa jinsi anavyowashughulisha mpaka mnatia huruma;ndio maana mimi sina chama naangalia sera zipi zinanivutia kutokana na wakati uliopo ndio napiga kura!ndio maana niko huru kusema chochote na kumgonga yeyote kutoka chama chochote nikihisi anachemka....

Wewe ni CCM acha kucheza na akili za watu
 
kama vipi kesho tena mida kama ya leo yani kuanzia saa moja asubuhi mje tena hapa hapa tukutane kuendeleza libeneke hili au sio waungwana wa arusha! huyo mchizi wenu msiwe na wasiwasi atashinda hiyo kesi,Nape asiwashughulishe sana na hata uchaguzi ukirudiwa ccm itashindwa kama lowassa hata wadanganya na vijisenti vyake amuweke yule mama anaemtaka!na sign off!maswali na majibu kesho tena kuanzia saa moja asubuhi papa hapa!sisemi goodbye kwetu mwiko bali nasema see u later guyz!
 
Tunaomba muendelee kutujuza kinachoendelea huko mahakamani. Yawezekana nayeye leo akatoa maamuzi magumu kama ya LEMA!!! te te te .....
 
Back
Top Bottom