NAPE: Kuna mtandao wa Ufisadi na CCM hamuuwezi

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,947
253
Mnajuana, Mnashirikiana, Mnalindana, Mnaogopana..Hili ndilo tatizo la CCM. Tetesi zimeanza siku nyingi kuhusu mafisadi na mmekaa kimya. Eti leo mmebariki.
Ni sawa lakini ndiyo tiba? Mafisadi mmeshindwa kupambana nao, leo mtafanya nini kwa hao mliowatetea siku nyingi?

Kwa hiyo tunashukuru mmebariki kubadili baraza lakini bado si chanjo ya kung'oa ufisadi Tanzania...

Wana JF: hii ni baada ya kauli ya Nape TBC kubariki mabadiliko ya baraza..... Ninadhani bado hawawezi...hisia zako pia muhimu.....
 
Bado wanajipanga, wapo kwenye mchakato, wako mbioni na mazungumzo yanaendelea vizuri ili kulisukuma hili liende vizuri bila kuathiri chama. Lets wait... HIVI ZILE SIKU WALIZOTOA ZIMEISHA? Hakuna ultimatum no 2? kweli hakunaga kama chichiem
 
kwanza nashukuru kwamba nape kaona kwamba chama chake kimewakuza na kuwalea mafisadi na sasa wamekua na wapo kazini lakini sikubaliani nae kwamba kubadili baraza si chanjo ya mafisadi, kila jambo lazima uoneshe uwajibikaji wa namna moja ama nyingine hivyo kubadili baraza la mawaziri ni mwanzo tu wa kuonesha uwajibikaji wa serikali makini ingawa tunapenda hatua nyingine zichukuliwe dhidi ya wahujumu wa rasilimali za taifa kama vile kunyongwa, vifungo vya maisha n.k.
 
Hela nyingi zilizoibwa zimetumika kununua kofia za kijani, mashati ya kijani na kanga

Pia wafanyakazi wa halmashauri wameachwa zitafune hela maana wao ndo wanasimamia uchaguzi na ndo wanashiriki katika wizi wa kura na uchakachuaji.
 
Mnajuana, Mnashirikiana, Mnalindana, Mnaogopana..Hili ndilo tatizo la CCM. Tetesi zimeanza siku nyingi kuhusu mafisadi na mmekaa kimya. Eti leo mmebariki.
Ni sawa lakini ndiyo tiba? Mafisadi mmeshindwa kupambana nao, leo mtafanya nini kwa hao mliowatetea siku nyingi?

Kwa hiyo tunashukuru mmebariki kubadili baraza lakini bado si chanjo ya kung'oa ufisadi Tanzania...

Wana JF: hii ni baada ya kauli ya Nape TBC kubariki mabadiliko ya baraza..... Ninadhani bado hawawezi...hisia zako pia muhimu.....

Kansa ikishasambaa mwili mzima haiponi si kwa upasuaji wala mionzi. Unaweza jaribu chemotherapy lakini mgojwa ataishi kwa shida nyingi mwishowe atakufa.
 
Lkn bado sheria juu ya wahujumu uchumi lzm iwepo ili iweze kutekeleza majukumu yake sababu wanahujumu rasilimali za nchi mwisho wa cku wanaishia kubadilishwa kwa kuvunja baraza la mawaziri. je zile mali wanazomiliki jkinyume cha sheria ndo tunawaachia? mmmmmmh NAPE Naye...!
 
Je watapandishwa kizimbani????TAKUKURU haitawa cover kama ishu ya rada??? Hadi lini tutakuwa tuna opt kuvunja baraza kwa wezi then waendelee ku enjoy mafao yao???
 
Back
Top Bottom