nape kufanya ziara monduli,bariadi,na igunga wiki

Ngoja tuone atawambiya watu wa monduli nini? kwani anaweza akaishiya kusomewa kwani watu uwambii kitu mbele ya lowassa
Ninatamani niwepo cku hiyo nione mapokezi yake na nisikie kauli yake kuhusu magamba na nafikiri pale akizungumzia tu bila shaka kutachimbika.
 
natamani ningekuwepo kwani naamini itakuwa kama movie kwani akijaribu kumponda lowassa tu atawatambuwa wamasai anaweza akaishiya kupata viboko na mambo mengine kama matusi,kejeli kwani wale uwaelezi kitu mbele ya lowassa
 
Dogo sasa ndiyo anaingia kwenye mtihani muhimu wa maisha yake ya kisiasa! Atajutia kauli zake za awali kuhusu mapacha watatu.
 
Kuufyata kwa Rostam kumemuondolea kikwazo ambacho wengi walikihofia. Atakwenda kule na kuchonga apendavyo kupeta na kurejea kifua mbele kutokana na hili la kuachia ngazi kwa Rostam.
 
natamani ningekuwepo kwani naamini itakuwa kama movie kwani akijaribu kumponda lowassa tu atawatambuwa wamasai anaweza akaishiya kupata viboko na mambo mengine kama matusi,kejeli kwani wale uwaelezi kitu mbele ya lowassa
kwa hyo we unaona ni sifa au?
 
Huyu dogo anataka kujichanganya kwani watu wamezirai jana kule igunga kwa sbb ya fisadi wao kuvua gamba yeye ataongea nini kule?, hlf jamani hivi huyu jamaa alishajiuzuru U-DC?
 
Nilikuwa najiuliza hivi Nape alishawahi kutembelea Monduli? Nikaona JF inaweza kunipa majibu, sasa thread niliyoikuta ni hii na haina Majibu kabisa, swali linabaki, jee Nape alishawahi kwenda Monduli kwa kazi yake kama Mwenezi? Na alisema nini kuhusu mbunge wao? Kama hajaenda anaogopa nini wakati kichama yeye ni mkubwa kuliko mbunge?
 
Back
Top Bottom